Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nilikuwa sijui kumbe gari limekwama kwa Rutta tehe tehe, haya bana kila la kheri huko unapokwenda bila zengwe wala nini.
kumbe we mrombooooo ndo mana ni mshamba wewe unakwenda beach huku umevaa suti aiiii yani warombo ni washamba sana jamani heee!
hahahaha......au kibosho teh teh
Usipomwaga uwezi kujua raha ya mapenzi milele!! madame bkwanza mimi ni mtu wakumwagwa??haitatatokea!!kwani mimi nasomaga alama za nyakati!!kunguru apigwi kwa jiwe kwani ana timing kali!nadhani na wewe unatmbua hilo!!
Heeeee..... ladyfurahia kumbe hujui waromboo ndo wenye hela.................. sisi tunahifadhi hela zetu kwenye suti badala ya benki!
kitoto kizuri........lakini mbona kinya nywele za "kiarabu" Nicas Mtei embu kuja eleza hapaaaaaa
hiiivviiiii.................una uhakika na unachokiandika hapa!!!???