Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Last edited by a moderator:
Aiseee haiwezekani ndugu zangu wanatendwa namna hii!
Daaaaaaaah so sad
Bishanga kamwagwa na The secretary
KakaKiiza katoka kumwagwa muda si mrefu na amu+ Nivea
nitonye nae anatendwa kiasi hiki siamini!

Hakika sikubali na hakuna migomba itakayosalia nyumbani kwa mtu
Mimi nasikia kwenu ila sijaambiwa lasimi na sina barua au nyinikama wanachama wa simba mmemuengua Rage kihuni?? Nivea hajasema mnamsingizia huyo ndo pambo langu sitegemei kunifanyia hivi ila amu anaweza wiki jana siuliona alichomfanyia mtu humu mpaka mchozi unammwagika mtu mzima!!
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.
beautiful+black+baby+photo.jpg
Hapo kwenye red panahusika zaidi au uliyemzalisha??Mwongozo tafadhali nitaomba walimu wa kiswahili waje hapa
CC Madame B, gfsonwin, snowhite.....Mwongozo mheshimiwa Paw
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom