Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.
beautiful+black+baby+photo.jpg

Nawe ondoa upuuzi wako hapa......... sweetlady ni hausgeli wangu na ana ujauzito wa miezi sita mpaka sasa.
We unaonekana ni aina ya wale wanaohudhuria misiba afu wanasema marehemu alisoma naye darasa moja bila kujua kama marehemu ni mtoto mchanga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom