lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
- Thread starter
- #141
Muddy akiwa Makongo, akashauriwa na Luteni Kanali Kipingu kuwa mpira bongo hauna hela sanaaa, sababu umri anao mkononi bora aingie kwenye mbio za umbali mrefu maana alishindaga mataji mengi ya mbio kwenye Umitashunta na Umiseta. Akampa tu live mashindano yako mengi, na ufadhili ni mwingi mnooo, anaweza faidika kimaisha haraka mnooo kuliko kupoteza mda kwenye mpira. Muddy akawa amekubali, akaachana na mpira kabisaaa akaanza kutrain mbio.
Na Makongo ilisifika kwa michezo, akapewa mwalimu wake wa michezo kabisaa wa kumtrain, amabpo ratiba yake ya wiki ilijumuisha kuamka saa 10 usiku mara 5 kwa wiki, kukimbia mita 7000 na kuhudhuria masomo darasani, na mwisho wa wiki kushiriki mbio mbali mbali za kitaifa. Muddy was committed, very comitted mpaka mwalimu wake akamwambia utafika mbali Muddy maana katika kufanya kwako vitu unaweka moyo woteeee.
In no time Muddy akaanza kushinda mbio za hapa nchini, za mashule, na Luteni akaona amekwivaaa. Akamsukumia mbio za Amsterdam. Muddy kama kawaida hakufanya ajizi, akachukua medali ya dhahabu. Ofcourse kanali alijua Muddy ni mzuri ila sio wa kushinda dhahabu fasta kiasi hikooo. Akazidi kumuamini. Katika hizo mbio za Amsterdam Muddy alilipwa $ 8000 kama zawadi, na allowance zingine akapata kama $$$ 10,000. Alivorudi Bongo akanunua gari yake ya kwanza Toyota Mark 2 Grande. Basi shule wadada wote wazurii Muddy, Muddy. Sio kwa gari lile kwenda nalo shule.
Akiwa canteen siku moja kaja msichana akampa kikaratasi. Wapambe wake wako kina nini kina nini? Muddy ushachukua chiu wa bureeee. Muddy ushachukua chiu wa bureee. Muddy akawaambia tulizeni ball, msitake kunipanda kichwani. Baadae kwa mda wake akakisoma kile kikaratasi kumbe namba ya simu, imeandikwa nitafute, Shufaaa. Muddy akasema kuku kaingia bandani. Akampigia Shufaa, niambie mrembo! Shufaa anajichekesha chekesha tu, akamwambia tunaweza onana weekend hii labda, pale Mwenge, Utajiju guest house saa 5 flani. Shufaa yuko haina shida kabisaaaa. Muddy akawa kajiandaa kula mambo. Akawaambia wenzie hivi mtaamini huyu Shufaa wa form 4, kanitakaaa?
Wenzie wakamwambia tunaamini kwani si mwanamke, na mwanamke yeyote lazima aliwe. Muddy saa 5 weekend kajiandaa kabisaaa kwa mechi kali, hakukimbia siku hio wala nini, ili kutunza staminaaa. Kanyoa kabisaa, anajua anaenda kumla Shufaa, afu akifikiria katamuuu, kanavoonekana anadata kabisaaaa. Akawa anawaza akimzingua takuwa kamchefuaaaa. Mara asitokeee si balaaa, hilo. Akajipa moyo, akasogea maeneo ya tukio. Akamnunuliazawadi kabisaa maana kumla mtu bure si hulka yake wala nini. Kufika pale hajakaa sanaa, Shufaa huyu hapa, akajua ashakula mzigooo.
Wakaingia guest fresh kabisaaa, akampa zawadi yake ya cheni na hereni za silver, alizinunuaga Amsterdam akawa kakosa wa kumpa, so alikuwa nazo tu. Akamuuliza utakula nini, Shufaa yupo chips kuku, akanunua na soda. Shufaa kala weee pale, kashiba ndiii. Muddy sasa anaanza kumsogeza waanze mambo, Shufaa natia nipo Mp! Muddy akamuuliza nini? Nipo MP! Muddy akamuuliza sasa hapa tumekuja kufanya nini labda? kwanini hukusema mda wote? Shufaa yupo nilitaka tu tuongeee siji nini. Muddy huyo kaamsha kamwacha mule ndani kachimba zake.
Shufaa kampigia kampigia kila akipiga anaambiwa hio namba haipatikani. Akamfata Muddy kamkazia kama hamjuiii. Si kwa kula kuku wake bureee. Mara Muddy akapta mtoto wa kishua Patricia, Muddy kwanza alisita kuwa nae, maana ana mambo mengi kama unga wa ngano, ila akasema no sweat, ngoja tu nimle maana keshanielewa nifanyeje sasa. Patricia hakuwa mbanaji, tena kwao wazazi mara nyingi hawakuwepo mda mwingine akawa anamla kwao humo humo. Akitoka anagongana na kaka zake nao wanatoka na mademu, wanasalimiana tu, tu vipi? Anajibu poa! Wanamwambia fresh. Imetoka hiooo. Mara wamchimbe biti akimzingua mdogo wao wanae. Tatizo Pat alikuwa mtoto sanaaa. Ana vimambo vya kitoto toto akaachana nae.
Akaja kukutana na binti wa kiarabu anaitwa Sultana. Muddy kwanza hakutaka kumchafua huyu binti maana anawajua waarabu hawawezi kumkubalia amuoe huyu Sultana wakati yeye Muddy japo kachanganya kwa mbali ila bado kwao mtwana tu. Ila Sultana pozi zake ndo zilimtega Muddy, kwanza rangi ya Mtume ile ilimchanganya vibayaa, afu mambo yake yale ya shungi masaa 24. Hakuwai kuiona nywele yake. Akajiambia ngoja nimfanye rafiki. Huku na huku shetani kamuingia akasema ngoja nimle ila nitamuoa. Akamjaribu Sultana wakutane Mwenge guest yake ile ile Utajiju. Sultana aka kataa katu katu. Muddy akachange flani hivi, sasa Sultana ile kutaka kumridhisha Muddy akakubali. Muddy kama kawaida kaomba mchezo, Sultana akamuuliza utanioa, mara 100, Muddy akasema ndio nitakuoa usiwe na wasi wasi. Sultana anwambia ujue sisi warabu lazim tuolewe bikira, Muddy anampooza mimi ndo mumeo wasi wasi wako nini? Ukimaliza form 4, nakuoa nakusomesha mwenyeweee.
Mmmmmmmhhhh! Sultana kaingia kingi, akatoa mchezo kwa Muddy. Muddy akamkuta bikira bwanaaa. Weeeee! Hio shurba akasema atakuwa anawafanyia sensa kabisaa, maana sio kwa shurba ileee. Kangatwaaa, kakabwa, raha yenyewe hajaionaaa. Yeye bikra hataki tenaaa. Na kazi ya kummalizia Sultana akawaachia wengine. Alivotoka tu ppale, Sultana akajua tabembelezwa au vipi, Kauzu Muddy akawa haeleweki. Sasa Sultana kanasa, maana bikra ndo hana tenaaa, na bibi zake wale wa kiarabu watamtandikia shuka nyeupeee, siku ya harusi itakuwa kimbembe. Akawa anaona hana jinsi zaidi ya kumbembeleza Muddy.
Muddy bandiduuuu, sazingine Sultana akimfata anamkuta na demu mwingine anasimama pembeni mpaka wamalize kuongea, ndo na yeye aongee. Au akipiga simu anaambiwa kuna demu namkaza huku sio kupiga piga simu, anamwambia basi ukimaliza kumkaza ni beep. Cha moto alikiona Sultana. Sema Muddy akiamka vizuri siku zingine anakuwa mkarimu kweli kwake. Kifupi Sultana alikuwa nyavuni. Ila mvumilivu hula mbivu, kuna safari alienda Swiss kwenye mbio akapewa ofa ya kwenda na familia yake mmoja akaenda na Sultna. Mara amwambie Sultana mwanamke wa maisha yake yupo Arusha ambae ni Irene. Sultana anasema tu sawaaaa.
Walivorudi Sultana kakatiwa ya kushuka JKN, Muddy aakaend akushuka KIA, wakala bata na Irene refuuu kama wiki ndo akarudi bongo na Sultana alikuwa anajua kabisaaa.
ITAENDELEA KESHO SAA 7.