Weekend Story! Ugly Benny! (Get Rich Or Die Trying)

Weekend Story! Ugly Benny! (Get Rich Or Die Trying)

Hook me up!

Bado sanaaaa level zako. Pale tunakaa MAGWIJI. We chukua pointers tu 2, 3 humu basi. Pale ukikaa na sisi utatunyonyaaaa tu, manake tukakuwa tunatoa kali za mwaka wewe unanyonya tu.
 
Hahahaha Bw Alex kaangusha mmbuyu kwa shoka

Alafu sio kwa hilo picha alilochezeshewa mtoto Jane mweeeeee

Kweli mjini akili nguvu peleka kijijini
 
Bado sanaaaa level zako. Pale tunakaa MAGWIJI. We chukua pointers tu 2, 3 humu basi. Pale ukikaa na sisi utatunyonyaaaa tu, manake tukakuwa tunatoa kali za mwaka wewe unanyonya tu.
Nyoo, km vile unanipata!
 
We Lara wewe ha ha haaaaa Mwinyi kapandia Mikumi lakini kaunga hadi Zambia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina kuuliza destination
 
lara 1, ww ni mkali wa simulizi kwa sisi wapenzi wa kusoma hadithi zamani za kina Hamie Rajabu "Sizitaki Pesa Zako Zinanuka" Ben R Mtobwa, Elvis Musiba and the like japo style ni tofauti principally speeking huna tofaoti na hawa jamaa
 
Back
Top Bottom