Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Naipenda Simba mshabiki wa damu woyoooooooooooooooooo.Tatizo ushangiliaji wenu sio kabisaaa! Unakeraaaaa. Hapa tu wamenisahau kama Nina mdomo mrefu. Hahaaaa! Ngoma 5 tofauti afu zinapigwa zoteeee kwa mkupuo, Na msaga sumu anaimba ile shabiki wa damu Live. Hatulali huku leoo. Na umeme umekatika basi Simba anatawala anga tu. Hahaaaa! Akajisemea MTU Na miguo yao mekundu ije tu radi moja kuwatia adabu. Hahaaaaa.
Teh tupo break ya kisingeli now KLM, lete story basi bana. Leo kila kitu nimevaa chekundu, Nasubiri na shuka langu jekundu likauke nilitandike. Kama napiga ramli vile teh