Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,416
NoTeh unatutamaniaje hapo kimoyomoyo
Nooo
Noooo
Nooooo
Noooooo
Noooooooo
Haha..Kwa simbaa kila siku no inaongezekaaa!
NoTeh unatutamaniaje hapo kimoyomoyo
Teh na kwenye ufilipino nimekufuta, njano na ufilipino wapi na wapiNo
Nooo
Noooo
Nooooo
Noooooo
Noooooooo
Haha..Kwa simbaa kila siku no inaongezekaaa!
Huo ushangiliaji ndio Jadi yenyewe...mamaaTatizo ushangiliaji wenu sio kabisaaa! Unakeraaaaa. Hapa tu wamenisahau kama Nina mdomo mrefu. Hahaaaa! Ngoma 5 tofauti afu zinapigwa zoteeee kwa mkupuo, Na msaga sumu anaimba ile shabiki wa damu Live. Hatulali huku leoo. Na umeme umekatika basi Simba anatawala anga tu. Hahaaaa! Akajisemea MTU Na miguo yao mekundu ije tu radi moja kuwatia adabu. Hahaaaaa.
Hahah...bendera ya filipino ina rangi ya njano....japo ile nyekundu kidogo pale wamezingua sanaa hahaTeh na kwenye ufilipino nimekufuta, njano na ufilipino wapi na wapi
Teh ngoja nikupumzishe kidogo teh, isalimie hiyo kofia yako. Napenda rangi yake tehHahah...bendera ya filipino ina rangi ya njano....japo ile nyekundu kidogo pale wamezingua sanaa haha
Teh ngoja nikupumzishe kidogo teh, isalimie hiyo kofia yako. Napenda rangi yake teh
Pyeee sitaki majinamizi usiku mimiHahaha....usiku mwema huyo ni Trey
Kabla hujalala useme "Yanga ni noma" ×3 na kesho utakua na siku poaa sanaaa!
Pyeee sitaki majinamizi usiku mimi
Sema woyo woyo woyo
Sema siiiiiiiiiiiiiiiimba
Hahahah utatupenda na kutukubali tu kimoyomoyo. Nimekoroga super deep nyekundu teh, ni mwendo wa red tu leo. Afu fanya kuniletea ile mishumaa yetu ya kifilipino, na hili shuka jekundu woyoooooooooooooooooo
Pyeee sitaki majinamizi usiku mimi
Sema woyo woyo woyo
Sema siiiiiiiiiiiiiiiimba
Hahha mishumaa muhimu sanaHahah nilikua sijaona umetaka na ile mishumaa?
Kwa rangi hizo na masika hii utakula radiiii sio bure kuna mkono wa mtu lala sasa labda asubuhi utakua poa!
Ahsanteni sana tehDaah!! Kausha basii!! Lara 1 ataacha hata kuandika mastory hapa!!
BTW hongereni!!