Hupatikani...???Lara wewe ni habari nyingine.Mzigo mwingine utashuka saa ngapi?
Maisha magumu ndio maana sipatikanikiHupatikani...???
kawakataa kwa vile mmnvyobana mtamtumia vocha ya mia tano.Lara ww ni balaaa...nakukubali sana sasa vocha za bundle sie wanawake umezikataa..tutaonyeshaje appreciation zetu jamani...lol
Dah lara jamn please pleaseYaani si kwa Simba kukaa kileleni ligi kuu. Hapa nimejifichaaa. Manake mtaani Simba Na Yanga ni dini, Simba wanafanya kufuru wameleta Singeli, kibati, vanga, kigoma cha urugway, mdundiko na tarumbeta juuu. Na kuna mty kavaa doli la Simba. Si kwa Fujo hilii hapa nime RIP. Ushangiaji huu Magu aupige marufukuuu. Na Hii story ishaingia nuksiiiii, Siimalizii wala nini, manake Ina Simba nyingiii. Tuombe uzimaaa nitakuja kuwapeni story ingineee Mungu akitujaalia sote mbeleni huko. Acheni tu Simba wanikomeshee leo na wiki lote hili.
Basi badili tu hivyo vipande story ije....keleeeeeuuuwwwwwiiiii ( nalia kichagga)Mwisho leo kuanzisha story za michezooo. Nimekomaaaa.
Ile ya Man maker umeiaccha pending hivyoo nayo doh mpira umetuharibia[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mwisho leo kuanzisha story za michezooo. Nimekomaaaa.
Kwani Lara moko yanga nao jana si wamekipiga droo nayo ni ushindi mkuu afu mnamchezo mmoja kipolo usiwaze sana sisi simba kukaa kileleni tupe raha mama tuendelee kuwa na raha.Yaani si kwa Simba kukaa kileleni ligi kuu. Hapa nimejifichaaa. Manake mtaani Simba Na Yanga ni dini, Simba wanafanya kufuru wameleta Singeli, kibati, vanga, kigoma cha urugway, mdundiko na tarumbeta juuu. Na kuna mty kavaa doli la Simba. Si kwa Fujo hilii hapa nime RIP. Ushangiaji huu Magu aupige marufukuuu. Na Hii story ishaingia nuksiiiii, Siimalizii wala nini, manake Ina Simba nyingiii. Tuombe uzimaaa nitakuja kuwapeni story ingineee Mungu akitujaalia sote mbeleni huko. Acheni tu Simba wanikomeshee leo na wiki lote hili.
Tatizo ushangiliaji wenu sio kabisaaa! Unakeraaaaa. Hapa tu wamenisahau kama Nina mdomo mrefu. Hahaaaa! Ngoma 5 tofauti afu zinapigwa zoteeee kwa mkupuo, Na msaga sumu anaimba ile shabiki wa damu Live. Hatulali huku leoo. Na umeme umekatika basi Simba anatawala anga tu. Hahaaaa! Akajisemea MTU Na miguo yao mekundu ije tu radi moja kuwatia adabu. Hahaaaaa.Kwani Lara moko yanga nao jana si wamekipiga droo nayo ni ushindi mkuu afu mnamchezo mmoja kipolo usiwaze sana sisi simba kukaa kileleni tupe raha mama tuendelee kuwa na raha.