Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Gill baada ya kuona mtawanyiko wa Lau, ilimstusha kidogo maana akawaza endapo yeye sasa mkewe akimshikia kidedea kumpelekea file lake mahakamani si ataadhirika sanaa. Mmmmmmh! Hakimu mwenyewe atafurahi na roho yake kwa ufirauni atakao funuliwaaa. Mawakili wenyewe angewafurahisha si kidogo.

Akawaza na kuwazua kweli mkewe ni special case. Akaamua apitie kwa sonara amchukuloe na yeye kicheni cha gold, akamchukulia na Rhoda cheni, njiani akachukua maua rose, akaamua tu he wants to put a little effort kwenye ndoa yake upyaaa. Karudi na bashasha dada weka hii kwenye vase akaweka yale yale maua mkewe anacheka tu. Akamshukuru for the gifts kama sio yeye.

Gill akasema leo daddy is cooking. Daddy anajua kuchoma tu, sasa leo atawachomea mambo mazuri mpaka mfurahiii. Berbecue day. Akatoa majiko yake kama mpishi kweli, aka marrinate nyama zile, na whisky yake na mkewe, story story huku wanachoma nyama on the back yard watoto wanacheza uwanjani. Akakumbuka this is a family picture aliokuwa nayo akiwa kijana ana hustle anataka 40s zimkite vipi. Ilikiwa Quality time akawaza my home is not that bad, i can do this offen.

Jioni wakala chakula, watoto wakasema wanaenda out siku hio, ndo teen age ishaanza anza. Anamsisitiza rodgers look after your sister. Akamwambia mkewe jiandae si unaona watoto wanatoka, dada mpe off hapa we have the house for ourself. Mkewe akaguna mmmmmmh! Mi naumwa kiuno bwanaaaa. Gill anamwambia hamna cha kuumwa kiuno wala nini nakwambia leo hapa patageuka uwanja wa kamasutraaa. Wakachekaaaaa.

Imefika jioni saa 1 moja, Gill akasema ngoja kwanza ni take a naked night swim, maana watoto wananibanaga pool langu mwenyewe nashindwa hata kulifaidiiii. Kids have a way to suck life out of you! Yani mda wote unawaza what is best for them and not for you. Kama naked swim anazipendaga sanaa, ila tangu watoto wakie pool analiangalia kwa mbali tu, maana hawakawii kumshangaa baba ,bona mambo hadharani. Hata akisema aogelee usiku, hawaamini amini unaweza kuta wanamchungulia dirishaniii wana mchekaa. Na yeye kuogelea na bookter anaona bora asiogeleee.

Basi akatoka mtupu hivo hivo nyumba yake kwani nani ana mdai, akaingia chumbani. Pamoja na notice aliotoa akakuta mkewe kavaa pajama lake kama sio yeye aliopewa notice ya kamastura kuhusika usiku huo, kavaa na miwani yake anasoma biblia. Mkewe was jus in her late 30s kama yeye ila mambo yake kama bibi wa 50s. Hakutaka maneno mengi akajua tu pale mechi hakunaaaa. Akavaa nae pajama lake akajitupa kitandani. Usingizi ukampitia.

Saa 8 usiku mkewe kamuamsha ana maongezi nae. Akastukaaa huo mda na maongezi akawaza anataka kuniambia ana cancer nini? Akawa hana amani kabisaa, yo serious kumsikiliza, na kutoa support itakayohitajikaaa. Mkewe akaanza direct to the point hata hajaanza na risala ndefu sanaa.

"Gill i am leaving you! I am getting a divorse. I have thought about it over and over and that is what is best for us. We might be married but we are not compatible. I dont blame you, it is who you are. You have been the best husband ever and best daddy ever on your own way.

I have given you best 15 years of my life, and i am not ready and wont give you more. Only God knows what you have done with these 15 years of my life. There is infidelity which became part of our familly, i accepted Stacy, and made peace with her, that you needed her, bacause when we met you were with her, so i figured maybe you just couldnt forget her. So many times in our sex life before and after marriage you called me Stacy during sex. You dont wanna know how that feels.

Over the years the infidelity has been growing, number of girls increasing, and age of the girls going lower nad lower. Untill i questioned myself who are these days? You are rarely home, and when you are here your mind is some where else. You lost desire on me, and you cant even mask your lack of attraction towards me anymore, we dont have a bond nor chemistry we just evolved to 2 people living together.

You are a social person, going out is your thing, having fan, getting drunk and change girls is your way of life, i am a familly person, i like staying home, i love doing things that bore you to death like cooking, watching tv, gardening. Trying to make this work is lieing to our selves.

I found someone, he is like me, he loves familly, gardening, cooking, he loves God and he sings in the choir too. And i dont want to cheat on you. I dont want to waste his time. Our kids ate grown, i wanna live the rest of my life form me, myself, find my own joy. So i filed for divorse officially, i dont wanna date him as your wife, and i know you want your freedom back.

Kids will understand, nao they are teenagers 12 nad 13 they will understand. You should move out but you can have a room and come to visit whenever you want. And they can hang up with pops whenever they want. I dont want us to be enemies, just parents who also live their lives.

Gill maneno yakamuishaaa kabisaa. Alitamani kuongea ila akakosa pa kuanzia wala kumalizia. Usione kwa Lau kunaungua kumbe kwake kumeshateketea siku nyingi sanaaa. Akawaza yaani mke wanguuu mambo yote niliomfanyia, jumba lina swimming pool, holidays abroad, shule most expensive, i gave her life other women dream of, and all she can think about is finding a guy who sings in the choir, cooks, gaderns and spend his lazy ass in the house all day. Mxiuuuuuuuuuu! Wanawake akili zao Mungu tu awasaidie.

Na Marie mpaka kamwambia it means kampenda huyo boyaa sanaaa. Mke anaumaaaa ila atafanyaje sasa mke ndo kashaamua yake. Haya mambo yasikie kwa jirani yako, yakikufika utaona nyota zote. Na Marrie inavoonekana ashafanya maamuzi na akiamua yule ni mgumu kubadili msimamo. Alafu yeye baba mwenye nyumba anaambiwa ahame yeye sasa sijui huyo mwana kwaya atakuja kuhamia humo, akasema na siku nikimkutaaa namwaga utumbooo. Asinizoee.

Pamoja na kuwa mtu wa fujo, katili, vuruguuu, ila kwa Marrie he had a soft spot for her. Yani kama Marrie ndo hukumu ya dhambi zake, ingekuwa mwanamke mwinhine yoyote analala na Pajama angemtimua honey moon ila Marrie kamvumilia miaka 15. Yani Marrie ana muendesha mambo mengi sanaa ambayo kwa watu wengine pangekuwa vita ila kwa Marrie hana la kusema kama siagi kwenye moto.

Akabakia kuwaza sijui ahamie wapi, labda kwa Stacy, je atamkaribishaa? Akaamua kumtumia sms hio saa 10 usiku haikujibiwa. Akaanza kupaki nguo zake usiku huo huo potelea pote akatafute hata hotel kwanza ndo atapata akili huko huko. Daaaah! His home for 15 years hatimae kugeuka ghetto kila mtu anainhia kwa ratiba zake.

Asubuhi akachukia brief case yake moja tu, pale kwake atahama hata mwaka ikibidi, na document zake, akaenda hotel. Akaanza kunywa asubuhi hio hio. Kwa raha gani aliokuwa nayo mpaka asinywe. Saa 5 akaenda golf club kwa wenzie wanapo chezaga. Kufika pale bwanaa akawakuta nao washaanza kunywa. Yani ile ni kulewa club sio golf club. Sana sana mchezo wanayo cheza ya kilevi, pool table na darts.

Akawaambia yani hapa tunapoongea as of now i am single. Nasubiriwa nitoe talaka 3. Mmmmhhhh! Juzi nilikuwa namsikitikia Lau kumbe na mimi yangu yananingoja nyumbani, yashafikaa yameketi sebuleni na kukunja nne. Hahaaaaa. Maisha hayaaa!

Wenzie wakashangaaa, mmoja aka comment, sasa Gill ukimuacha yule dada msomi, utaishi na na nani? Mbona mkeo peace sanaaa, unahangaika nini uzee huu unamuacha mke, hapo ukute kuna malaya kakukuna ndo unataka kumfanya mke. Hahaaaaaa!

Gilll akaguna "Mmmmmmh! Bora mimi ningekuwa namuacha, yeye ndo ana niacha mimi basi." Wakajikuta wanacheka wenzie Hahahaaaaaaaaaaaa! Hana mbavuuu. Mmoja anajikosha it is not a laughing matter and we are ashamed of ourselves." Huku anaendelea kukaukaa. Gill akaamua kuwaua kabisaaa "Kapata mwana kwaya chekeni vizuri sasa" Ndo wakazidi kupasukaa bandama zao.

Mmoja akadakia "I envy you man! Finally you got your freedom back, before it is too late. I hate my wife and i dont have the balls to divorse her. Navomjua yule mpare atanifilisi mahakamani, na atanlock asilimia 80 ya mshahara for cild support, yaani atanimaliza mpaka nitakuwa nimejitaliki mwenyewe" Hahahaa! Watu wakacheka tu.

Mwingine akasema " Look on the bright side, now hell has its devil back! Hudaiwi na mtu hufungwi na mtu, full kujiachiaaaaaa. The only thing between you and shangrillah is nothing! Huuuuuuuu! Ningeluwa wewe kwanza i form tha dirties and nastiest fratenity ever to grace this city. Yaani hio fratenity ni invites only! Hahahaaaaaa!" Watu wakacheka tu na kumwambia mawazo yako saa zingine yameoza si kidogo.

Kukaa hotel wiki tu, akaona sio mbaya sanaa ujue. Dejavuuuu, dejavuuu kweli. Akavua na pete kabisaaa. Akaanza uparuanja wa kuzunguka jiji usiku kuchaaa. Basi ndo akajua ile pete ilikuwa inamzibia riziki. Wadada wanampiganiaje. Leo akilala na huyu kesho yule na wote anavaa kinga.

Akakutana na dada mmoja wa UN, na alimuona tu lunch siku hio, akasema sahivi full kujiachia najibana nini. Akawa kajiongeza kumsalimia na nini, hapo anamalizia dirty 30s zake. Hana wasi wasi. Yule dada akawa charming sanaa. Akamuuliza divorced recently? Akastukaa umejuaje? Akamwambia kidole chako bado kina alama ya pete. Kuulizana majina akamwambia naitwa Malika, basi nae akajitambulisha yeye anaitwa Gill, Malika yuko UN ana safiri sanaa, Gill shida yake ilikiwa amle tu wala hana mambo mengi anayohitaji. Wakabadilishana namba.

Jioni akakutana na mwanae senior bachelor 43 na hana mke wala hataki kuoa leo wala kesho. Akamwambia leo tu akeshaa mwanangu. Basi wakawa wanazurura zurura kwenye lambi za muziki wakajikuta kwenye show ya Harris. Wakakutana na vidada vikawaambia viko IFM, Harris sasa yule mdada alie na Gill anamjua vizuri, ana mshepu mkubwaa hatariii ila kaunguaaa.Ni muuza k wa hapo siki nyingi. Akajishauri amiokoe au amuache akafe na miwaya akaamua kumuokoa.

Akaenda pale kwenye meza yao akamtimua yule malayaaa, Gill anashangaa vipi? Harry ndo akamwambia huyu mtoto anakunywa dozi. Gill alitetemeka aiseeeee. Basi Harry anamwambia Gill ,bona hutulii na mkeo, utakuja kufa hivi hivi boss wangu, una mke mzuri basi tu. Gill akamwambia mwenzio mke wangu kaniachaaa, sahivi senior bachelor. Ila thanks man for the tip. Ningepoteaaa kabisaaa. Kaa tunywe wote bwanaa, tushakiwa ndugu sasa umetoka kuniokoa mda si mda. Harry akawa kawa join, akamtega kwa hio unamuoa Stacy? Gill akamwambia Stacy toka nimeachika nimemtumia sms tuonane hanitaki tenaaa. Yule hawezi kunisamehe niliwafanyia kitu kibaya sanaaa. Mradi leo umeniokoa, ngoja nikwambia ukweli ila inabidi unisamehe.

Mimi ndo nilimtoa mimba bila yeye kujua, sikuweza kuvumilia mtoto anaweza kuwa wako. Sikumpa hata kumi na hate ninhempa asingepokea. Zile sms nilijitumia na lengo kuwatenganishaa. Nisamehe bure tu. Gill akastukia anakila konde moja zitooooo kutoka kwa Harris. Alipigwaaa, mpaka watu wakawatoa kina Gill nje. Gill akaamua aende kwanza kwake akajiuguze.

Kufika anakuta kashatengwa chumba, akaamua kiinhia hiko chumba akajilaza kwanza. Asubuhi wanae wakaja kumsalimia, wana mwambia Moms BF is comming for lunch, he is really nice, you should meet him if you stay for lunch. Mmmmmh! Kuondoka siku 2 tu jamaniii. Marrie akaja kumuuliza huondoki leo, hutoki? Huendi golf, au yatch club? Gill akasema siendi wala nini, nangoja lunch ma huyo mgeni nimuoneee. Marrie akastukaaa. Akamwambia "Gill promise no funny business" Gill akatabasamu akamuuliza Marrie mbona huniamini? We are friends remember.

Lunch ilikuwa ya nje, imeandaliwa vizurii garden.Gill akawahi kiti cha kwenye kona, yeye si ndo baba mwenye nyumba, huyo Mathiew akaja aka kaa pembeni ya Marrie so kati kati ya Gill na Mathew yuko Marrie. Afu na watoto upande mwingine na dada kwenye kona ingine. Wamepakua wote, Gill akaanza kula wenzie wana muangalia. Rhoda akamwambia "Daddy you havent prayed yet, uncle said it is rude to eat before praying" Hahahaaaa! Gill akarudisha nyama yake akaweka mikono kiibada mmmmmmh! Rhoda akasalisha. Wakaanza lula wote, kimya kimya. Rodgers akasema uncle Mathew we should finish training on the ball, the coach said i had huge improvements. Mathew akasema today ill teach you new trivks. Rhoda akadakia "Uncle Mathiew we should work on my dancing teacher said if i keep practising with you i can ho Pro." Gill akaona kabisaa huyu Mathiew ni tatizoooo kubwaa, anamuibia wanae hivi hivi. Kila kitu unvle Mathew vepeeeeeee? Gill akaamua na yeye kuingia ulingoni, akawauliza "where did you clubbing last ninght mu soldiers? I hope the money was enough, anything for my soldiers." Wakaangaliana watoto, wakamuangalia Mathiew, Rodgers akajibu "Uncle Mathiew said if i wanna be a pro in my game i should always get a goodninght sleep. And it is really working dad!" Gill akawaza enough of uncle Mathiew, if i hear one more Uncle Mathiew nitamkaba mtu. Akatupa napkin mezani na kuingia ndani, chakula kaacha kabisaaa.

Ndani roho ikamuuma yule boya kaanza kuja juzi tu, ila tayari ana bond na wanae. Wanae wakaja kumwambia sorry Dad kama umechukia. Akawaambia sijachukia wala nini. Baade akamuita Rodgers chemba, akamwambia "I called you here because you are a man, so you should lead your sister. Him is not your father and you should never ever consider him as one. I am your father. And it breaks my heart to see you my own son, partner with him. You should be siding with me your father no matter what. He broke our family, stole your mom from me. You should always make it hard for him to stay in this house, my house, your fathers house, your house. This house has space for only 2 men, me and you that is it. Rodgers anakubaliana na baba yake na hilo jukumu la kumuharia Mathew. Alivomaliza kupandikiza chukiii ndani kwake akachukua briefcase huyo akaondoka zake.

Akarudi hotel, akawa kajibariziiii kwanza kwenye Jaccuzz. Akapanga ku renew mashambuliziii. Harry si kajitia kumpiga, sasa ndo anarudisha majeshi kwa Stacy kwa nguvu zote. Akiwa bado yumo kwenye Jaccuzz simu ikaitaaa. Hakuipokeaaaa. Ikaita mara 3, akaamua kuipokeaaa, akachukua na glass yake ya pombe kabisaaa akawa amekaa barazani. Ikawa ishakatika. Akawa amekaa na taulo anaangali mataa ya jiji na whisky mkononi. Ikaitatena, akaipokeaaa, Hallo! Akasikia Hello! Akawaanangoja utambulisho sasa. Akauliza nani mwenzangu? Akajibiwa "Malika, tulikutana juzi nimeona hujanipigiaaa nikaamua nikuanze kukupigia" Moyoni amasema wanawake jamaniii, ukiona hujapigiwa ndo ujue huhitajikiiiiii, sasa unaanza kupiga wewe ili iweje? Akajibu tu "Aaaah Malika, nilikuwa very busy actually nilitaka kukupigia mda si mrefu umeniwahi." Malika akamuuliza "Tunatoka out lini sasa?" Gill akawaza mmmh huyu mwnamke mbona comandoo kipensii hivooo. Akaamua kumkata akamjibu "Mi nasafiri saa 4 usiku huu nitarudi baada ya mwezi, nikiudi nitakutafuta" Akasikia simu imekatwaaa.

Akachukua simu akampigia Stacy, ikapokelewa.

ITAENDELEAAAAAAAA
 
Hahahaaa, umepotea kweli! Pole sana. Lara1, msome huyu anayeomba kukuona, akushike mkono.

Hahahaaa! Huyu anakupenda nakwambiaa, msikize kijanaaa. WAGOMBANAO NDO MPENDANAO. Mi nawafatilia tu kwa ukaribuuu.
 
Hahahaaa! Huyu anakupenda nakwambiaa, msikize kijanaaa. WAGOMBANAO NDO MPENDANAO. Mi nawafatilia tu kwa ukaribuuu.

Akili fupi! Si unaona mambo ya kitoto. Halafu eti akujue jue, wewe Matawi ya Stacy. Hebu shusha vitu vya kina Harry, Gill, Lau na Stacy! Hongera mami, ibarikiwe kazi ya vidole vyako.
 
lara 1 hii dozi ya safari hii utaua. Namuombea msamaha aliyekuchokoza eti umeishiwa story, ila katusaidia, umerudi kama Soziniga kwenye terminator. Kama series la 24, hauwezi kutabiri kabisa what is next. Ingekua ni kamari ungetulamba hadi tuombe po.
 
Daah hizi story zako ndo maana huwa napenda zifike mbali kwanza ili nikianza nimalize.....just imagine siku nzima ya leo episode mbili tu tena za mbali mbali kwa mpishano wa muda kama bao la balehe!
 
Daah hizi story zako ndo maana huwa napenda zifike mbali kwanza ili nikianza nimalize.....just imagine siku nzima ya leo episode mbili tu tena za mbali mbali kwa mpishano wa muda kama bao la balehe!

Si unajua tena anamajukumu mengine? Hii anafanya hisani tu kutupa burudani ya bure.
 
Daah hizi story zako ndo maana huwa napenda zifike mbali kwanza ili nikianza nimalize.....just imagine siku nzima ya leo episode mbili tu tena za mbali mbali kwa mpishano wa muda kama bao la balehe!

Jamaniiii! Mtanifungaaa sasa, nitaweka moja ya team popo asi saa 5 flani 6 hivi. Iko steamy sanaa, si unajua kwenye mtiriiko akifata Harry kuna mavituzzzzz.
 
Ikaitatena, akaipokeaaa, Hallo! Akasikia Hello! Akawaanangoja utambulisho sasa. Akauliza nani mwenzangu? Akajibiwa"Malika, tulikutana juzi nimeona hujanipigiaaa nikaamua nikuanze kukupigia" Moyoni amasema wanawake jamaniii, ukiona hujapigiwa ndo ujue huhitajikiiiiii, sasa unaanza kupiga wewe ili iweje? Akajibu tu "Aaaah Malika, nilikuwa very busy actually nilitaka kukupigia mda si mrefu umeniwahi." Malika akamuuliza "Tunatoka out lini sasa?" Gill akawaza mmmh huyu mwnamke mbona comandoo kipensii hivooo.


Unachekesha sana, Dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom