Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Umeniua,nimecheka hadi watu wamenishangaa,..eti "king kong,idi amin dadaa,kabar singh singh kubwa la maadui"....lara sipati picha utotoni ulikuwaje..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We mbona nahisi ni team Godfather wa chini chini. Hahahaaaa! Jitokezeee tu hadharani


Bado nasikilizia maumivu ya mguu wa punda. Ulitupiga knockout. All in all nna moyo Mdogo Sana, kuwa upande wa madude Kama Siza, Godfather au Leila Ni kutafutiana kifaduro...
 
Hahahaa mie moderator tu! Kamisaa au almaarufu Jecha. Natakiwa kuwa neutral nisiegemee upande wowote hadi pale goli la mkono linpoonekana ndio suluhu pekee.
Lara kashatupa ushindi wa mezani yani labda Leila ashikwe nyege za kisasi[emoji23] [emoji23].
 
Ambao hamjani follow leo ndo mtasoma saa 4 usiku. Leo ni bumper to bumper tu. Toa kitu tunaweka kitu. HAINAGA USHEMEJI TUNA KURAGAAAAAAAAA.

Lara unaleta mambo ya uongozi wa wamu ya 5 sio!! ! kuishi ile ntafanyeje sasa na ugali nautaka !
 
Ticha mgese sana na iyo biashara inabuma manina zako or siza anajirudisha kwa Leila
Maskini godfather pona baba
 
The art of surviving betrayal.

Kiukweli kwa Godfather nilikuwa nimefikaaa. Japo ana keroo keroo zake flani ndogo ndogo ila ni mtu anaejua kupendaaa. Mpaka you can feel it kwamba napendwaaa. Sssssssssss! Upendo kama wa Godfather if you are lucky like me unakutana nao mara moja tu kwenye maisha yako. Wengi wanaishi bila kukutana nao.

Kwanza jinsi hata mnavolala na kufanya yale mambo, you can tell akili yake yote iko paleeee, na anafanya as if you are the only one in this world for him. Kupendwa rahaaa sanaa jamani. Alafu ana time table maalumu ya kupiga simu. Nahisi alikuwa anweka kwenye google calendar yake, call Leila, inamletea alert.

Kubembelezwaaa sasa. Naulizwa nataka nini, najisikia kwenda wapi, au kufanya chochote. Ndani kuna safe naambiwa au kama nimechoka nifanye mpango niende Uk au US au Italy kutembea tu, nichukue kiasi chochote nachotakaaa. Na nikawa sichukui. Sina hamu ya kwenda kokote zaidi ya kungoja Godfather aje, tutianeeee weeeee mpaka basi. Ndo hobby yangu mpya hio iliokuwa. Akiwa hayupo nimtext kumtia nyege weee, sijui hata kama kazi alikuwa anafanya vizuriii.

Hata nikienda saloon which i used to enjoy naona kila kitu kina nibooaaaa tu. Naona nachelewa kurudi nyumbani nikae na mwanangu na mume. Mume mtamuuu, haswaa akiwa na mihelaaa, huwazi kodi, huwazi nini wala nini. Mda wa kukaa na Vicky nikawa sinaa, yaani sina kabisaaa. Naupata wapi. Godfather anashinda nyumbani mchanaa ndo tunafanya sasa zile cardio za kutiana siku nzimaaa. Na sichokii wala sikinai. Na yeye hachoki wala hakinai. Mkikutana watu wa 2 mnapendanaa ndo mpango mzimaa, unaweza usile na ukaishi vile vile. Usiku ndo anatoka anaenda kazini.

Vicky walioana na Mangi harusi kabisaaa. Na muhaya alioa huko huko mdada latin american mdada kwa mashauzi yuleeee. Nyoko kweliii. Mnyalu sikuweza kuonana nae tenaaa. I just couldnt. Vicky analalamika ndoa ngumuuuu, ndoa chunguuuu, mimi hata simuelewi. Naona ananichoshaaa tu. Kwa jinsi navompendaaa na kumfeel mtu mzimaaaa weeeeeeee.

Kuna siku nimejiandaa kabisaaa, nimemsikia kaingia ndani kabisaa najua anakuja chumbani, nimekaaaaa kimitego mitego kabisaaa, nasikia anapita anaenda chumba kingine. Nikajua anakujaa. Mda ukapiitaaa haji. Kwenda kumchungulia amelala kule. Roho iliniumaaaaa. Sana sanaaa. Kidogo nizaeee bila mimba. Nikaona chungu ya ndoa.

Nikarudi kulala nilibamiza lango. Stress level 200% Yani siku hio kina dada walinikomaaa. Na fokaa fokaaa tu, hata nachofoka hakunaa. Na nilikuwa sijawahi kuwafokea, hawajui nikivurugwa nafanana vipi. Ndo walinijuaaa. Dada Antonia mwenyewe alikuwa hanijuiii, hajawahi kuniona nimeshkwa na uchungu wa mume.

Nikaitafuta line yangu ya zamani. Nimevurugikaaa kweli kweli. Akili yote yule katoka kutomba nje, kilichomlaza kule ni janaba lake tu aibu zake. Ashakamuliwa shahawa zote, vipira vyepesiiii. Nikapata hasira. Nikachukua simu nikaweka ile line, Ni kamtumia mnyalu Hi! Ikapita nusu saa haijajibiwa. Nikawa nawaka naiona hata mchawi gagulaaa, nimeishika niibamize ukutani, ikaitaaaa, Mnyalukolo. Bahati yake. Nikaipokeaa Hallo!

Tukasalimia pale, akauliza umefufukia wapi? Nikajikosha kosha pale uongo na kweli. Akaniambia tuonane basi siku 2 hizi tukumbushie, mahawara hawaachani, wanatengana tu kwa mda. Nikakubali kiroho safiii, kwamba nitamtafuta mimi. Ananiambia mke wangu kanipa ruhusa ya kuoa, ukija tunaongea. Baada ya kukata ile simu nikajisikia remorse na regrets kwanini nilifanya hivo. For once i felt how mke wa mnyalu was feeling mimi kumtombea mumewe all these years. No wonder yule mama alikuwa hanipendiii hata kunionaaa.

Nikawaza mimi siwi mke wa Mnyaluuu ngoo. Kama katomba huko nje itafahamika, nikamfata huko huko aliko lala. Analeta Leila please not now, not today nina stress zangu tutazinguana. Khaaaaaa! Nikamwambia mi si ndio mkeo sasa unielezee hizo stress, nikusadie ku relax. Anasema i am in mood to talk about it. Nikamwambia kwa hio wewe uko hivo unategemea mi mkeo niko kwenye hali gani, na unaniacha gizani, nawaza mambo makubwa mabaya ya kutishaaa. All you need to talk is a voice sasa hio mood ndo inatamka maneno au?

Oooh we jua kazini sio kuzuri. Sio kuzuri vipi sasa? Polisi wamechukua mzigo au? Leila i am not in mood, uwe unaelewaaa kiswahili. Nikamkazia jicho, kuna kitu unanificha na nitakijua. Nikatoka zangu, safari hii sina hasira ila nimejaa udadisi. Nikaanza kumtongoza Ommy ofisini kimetokea nini?

Akaniambia yeye hajui, ila since habari SIZA narudi na mpaka alivorudi Godfather hayuko poaaa. Nikamuuliza nini? Nani karudi? Akasema Siza karudi jana. Nikasikia nabanwaaa pumzi. Nikamuuliza karudi kufungwa Tanzania au? Akasema karudi free yuko huru. Nika kata simu. Nikajua kweli Godfather lazima awe vile. Kubababaaaaaaake!

Nikamfata tena chumbani, kwa upole safari hii, nikamwambia najua Siza karudi. Akapanic umejuajeeee au Siza keshakutafuta, chukua toto lenu mkaishi hukoo and see if i care. Nikajua hiki ndo kilikuwa kinamla ndani kwa ndani anashindwa kusema. Hapo labda alikuwa anasubiria kusikia narudi kwa baby daddy. Nikakaa tu kimya niseme nini.

Akajistukia kwa alivoninyosoaaaa. Mi nimekaaa tu niko kimyaaaa. Nilikuwa na very very good news sema nikawa nazitafutia mda muafaka wa kumpa. Nikaona mda muafaka hakunaaaa zaidi ya huo. Nikamwambia tu sawa we nitukaneee tu ila jua mimi nina mimba, we nipe stress tu. Nikaenda chumbani nikafunga na funguo. Aligongaaa aligongaaaa, aligongaaaa. Alipiga simuuu, aliomba misamaha yote. Navomjua lazima alimuuliza Dr wetu wa familia. Na Dr ndo alioniambia mimi.

Japo nilisema sizai tenaa, ila nikaona atalea watoto wa watu mpaka lini. Bora nizae huyu mmoja wa ushahidi wa kuja kurithi. Nikawa sijamwambia natafuta special ocassion nim surprise. Naona kidudu mtu jini mkata kamaba akawa kapita kati kati yetu.

Baadaenikamfungulia akawa kashika adabu. Anajieleza maelezo mia 2. Nikamuuliza Siza anasemaje? Yupo hana usemi, nimemwambia upo huku he was not happy. Nikamuuliza umemwambia yeye baba yangu mzazi useme ana haki na mimi sababu shahawa yake ilitumika kunipa uhai au umemwambia kama nani? Anajitetea it had to happen at some point. Nikamwambia sitaki kusikia jina la Siza humu ndani kwangu milele. Mimi ni mtu huru, Siza was a mistake and nothing more. Akasema hii kiboko.

Nimejikalia zangu mimba kubwa tu miezi 8, mtumbo huoooo, mapacha hao. Mfumo wa Godfather ule uleunakaa buree, kula na kunyaaa. Hataki ufanye chochote. Ukitaka kwenda sehemu dereva huyu hapa. Haniambii chochote kuhusu biashara yake. Nimegombana nae snaaa akasema kwa kunipa details za kazi yake atahatarisha maisha yangu. Maana wanawake tuna roho nyepesi bora hivo niwe sijui chochote. Nikawa sijui chochote yani sijui.

Kufika miezi 9, Godfather was so stressed hajiaminii, akaniambia tu THE END MIGHT BE NEAR. Nikawa simuelewi, The end gani mi nakaribi kuleta binadamu wa 2 kwa mpigooo. That will make me mother of 3 kids and technically my life will be over. Ndo nitakuwa nime commit social suicide tenaaa. Nitaenda wapi na watoto wa 3. Damn! Alinivurugaaaa. Nikawa tu namuomba Mungu.

Siku ya kwenda kujifungua na operation, ananiambia itabidi niende na K yeye kuna mambo anayasimamia. Hatoweza kuja. Nikamuuliza K ndo baba wa watoto? K alikuwa ananitomba? Asinitanieee. Akasema hali ni mbaya pipe imefungwaaa, unga haujiii tena, supplier kapewa habari afya yake yeye Godfather ni mbaya sanaa, mda wowote anakufa. Be it cance, be it sugar, be it blood presssure hawawezi ku risk consigment. Wanadai endapo akifa kweli kukusanya madeni itakuwa kazi kubwa sanaaa. Wame mshukuru kwa 10 years of sucessful business na kumshauri it is about time he retires. Ila hawaleti supplies any time soon. Ndo anaieleza kwa heshima yake baada ya kuwahakikishia siku hio wametuma Dr, wao aje amfanyie vipimo vyote kama afya yake iko vizuiriiiii. Asipoenda watahakikisha kuna kitu anaficha.

Sikuelewa A wala B. Tukanana tukanaa sanaaaa. Nilimtukanaaaa mwanaumeeee yule. Hiiiiiiiii! Sijui mimi au mimba ila nilimfokeaaaa, ugomvi wake ulikuwa next level. Nikaenda hospital. Nikajifungua salama watoto wa 2 wa kiume kwa operation lakini sikutaka kuongeza diameter kwenda circumference. Nimezaa saa 9 mpaka saa 3 usiku mtu mzima hajaja. Mama yupo hapo nachungulia vijukuuu. Nikamwambia K nenda nyumbani kaangalie kuna nini mbona mtu mzima hajiiii. Hata kama yuko chooni mchomoe humo umlete huku. Nakutegemea K.

K hakurudi mpaka kesho yake. Nikawa naataka niende mwenyewe nyumbani naona wananizingua. Nikaomba discharge wakagoma mpaka siku 7. Nikajuta kuzaa na operation bora ningesukuma tu. Kweli hali yangu ilikuwa mbaya. Kesho K akaja akamuita bi mkubwa nje wakaongea nusu saaa. Hakuingia tena. Bibi namuona tu hana rahaaa, hatuliii kama kapagawa. Namuuliza bibi Baba wa hawa watoto yuko wapi? Bibi akaanza kulia.

Nikachomoa drip, nasema hapa naondoka hivi hivi. Akaniambia bwana anaumwaaa. Namuuliza anchoumwa nini mpaka ashindwe kuja kuwaona wanae. Akasema bwana K jana ulivomtuma kamkuta kaanguka pressure ofisini ndo wamempeleka hospital, ikabidi akae hio jana, ndo anaenda tenaaa sasa hivi. Anasema anaendelea vizuri. Yani uso wake hauoneshi kuendelea vizuri kwa mgonjwa hata kidogo.

Nikarudi kulala. Nilitegemea watakuja watu nyomi kunionaaa, ila walikuja watu wachache ambao hawaniangalii usoni. Nikajua ukiacha kuumwa Godfather, ile END alio ongea ndo imefika kweli. Siku 7 nimetoka nikaenda direct kwa mgonjwaaa. Nilipofikaaa nilichokaaaaa.

Nimefika sijajua, najua kalala anaumwa, namwambia kaa uwaone wanao analia, Ommy ndo alikuwa pembeni, akasema hawezi kukaaa ame paralyse upande mzima. Walichelewa kumuona. Roho ikafanya paaaaaah! Nilikaa kama nusu saa kimya tu, blank. Mama akajitahidi kutia matumaini anaongea ongea, akamuonesha watoto juu juu. Akawapa majina Tyron na Tyrell. Mi nasikia mshono unaumaaaaaa. Tukaaga na kwenda nyumbani.

Nyumbani nikakuta kaajiri manesi wa 2, wako professional. Maziwa hayatoki tena. Nikawa napumzika, maana watoto hawalii wala kusumbuaaa. Nikawa nawaza hivi inakuaje? Au mimi Leila nina nuksiii na mikosiii. Mbona hiviiii? Au nimemleta Godfather mikosi yanguuu maskini baba wa watu. Roho iliniumaaa mpaka basiiii.

Asubuhi mshono unaniumaa, ila nikatoka hivo hivo mpaka hospital. Siawaamini manesi kabisaaa. Nimeenda kumuogesha mgonjwaaa. Mgonjwa amekazana i am sorry. I am sorry we ndo umejiparalyzisha. Mi nikawa najitahidi kuonekana strong. Walau nimtie nguvu. Japo moyoni nimerojeka ndembe ndembe. Mmmmmmh! Nikiwaza na wale watoto kule nyumbani nachoka kabisaaa. Namlisha mwenyewe mgonjwa. Saa 4 nikamwambia anenda kwa watoto nitakuja jioni. Akasema sawa.

Natoka akaja K, ananiambia hali sio nzuri kabisaaa. Nikamjibu naionaaa ndugu yangu tuombe Mungu. Akasema sio mgonjwa ofisini. Nikamuuliza unamaanisha nini? Akanipa simu. Zina ingia sms za ku decamp tu, kuhamia kwa Siza. Kuhamia kwa Siza. Nikaelewa kwanini hawajaja kumuona Godfather. We were alone. Na mimi sijui chochote kuhusu hio biashara, zaidi najua tu kuwa bomba limekaushwaaaa. Nikaenda kwanza kwa wanangu.

Kule mambo safi, wanalala tu mda wote. Wanalishwa fresh. Nikamwambia Ommy niitie kikao cha watu wote naongea mimi. Msimwambie Godfather kabisaa kinachoendelea. We ita kikao cha dharura iwe ume decamp huja decamp as long as ume serve under Godfather ni lazima kuja. Na kutakuwa na consequences kubwa kwa amabe hatoitikia wito.

Wakaja wote sijui sio wote maana siwajui wote. Katika pekua pekua nikakuta orodha ya watu imeandikwa workers niliibeba kuja nayo. Sijui naongea nini. Nimepanda stejini na rejesta kwanza , nikawaambia nikiita jina unahamia huku. Sababu siwajui najua wangenichezea chezo mtu anaitika mara 2 si wanajua siwajui. Ila akihama upande hatoweza kuhama mara 2. Nikaita rejesta yote. Ikawa out of 135 waliokuja ni 100 tu.

Nikaanza kuwaimbisha, Godfather anaumwa sanaa, kwa hio ameniteua mimi Lilea Mohamed nikaimu nafasi yake kama mkewe mpaka atakapo pona au ikiwa sio heri hatuombei mpaka Tyron na Tyrell watakapo fikisha miaka 18. Kuna mwenye swali kwanza. Mikono kibaooo. Nikajuta kuulizia maswali. I was new and naivee.

Wa kwanza akauliza "Kwanini Godfather ateue mwanamke awaongoze wao wanaume wa shoka, mijibaba yenye ndevu zao mpaka kwenye Tigo, wanaume rijali, haiwezi kukubalika asilani. Hawawezi kuongozwa na mwanamke. Na sabau Tyron na Tyrell wadogo nikamwambie Godfather wamegomea uteuzi wake mpaka atakapo teua jibaba lenye uwezo kukaimu. Isitoshe mimi sijawahi hata kuwa pusher, punda, smuggler sijui chochote nitawaongoza vipi ni sawa na kuongozwa na kipofu." Akapigiwa makofi na miluzi ya kutoshaaa. Kujibu nikmwambia "Aliemteua Godfather ndo ameteuliwa, uteuzi haurudiwi, na kwamba wahiheshimu ni direct order ya Godfather ambayo hawana authority ya ku i question Ikiwa boss wao kaniamini nao waniamini.

Wa pili akauliza word on the streets is bomba limefungwaaa. Hakuna mzigo njiani, hakuna supplier, hivo hakuna biashara. Nalizungumziaje hilo. Na sababu ya yote ni kwamba Godfather yuko kitandani. Kujibu nikawaambia shaka waondoe mimi Leila nitatafuta connect ingine, tena sio moja, bomba litafunguliwa soon. Wakacheka sanaa, sanaaaa.

Wa tatu akauliza "Is Godfather really dying? Maana wanasikia amekua kabichi meaning ame paralyse. Na hata akipona ubongo utakuwa umeoza." The level of ungratefulness was unbearable, nikajikuta machozi tu yananidondoka sikujibuuuuu. Nikaona tu no hope.

Nikwaambia kwa unyonge wana de camp watoke, wanaobakia wabakie tu. Kudni lililotoka kama wana swagwa ngombe kwenda machinjioni. Nikageuka tu kuangalia ukuta maana inataka roho ngumu sanaa . Baadae wakaniambia bibie tunakusikiliza. Kugeuka wako wtu 27 tuuuu ndo wamebakiaaaa. Ommy na K nao wapo. Nikamuuliza Ommy we huondokiii? Akasema mama usiniulize snaaaa, naweza jikuta nimeondokaaa bureee maana hata sielewi kwanini nimebakia. Nikamuuliza K wewe je? Akasema mimi kama Ommy tu, smea nini nimekaa na boss siku 2 zile anatia huruma sanaa, kila nikitaka kuondoka miguu inakosa nguvu.

Nikawaambia nendeni mkatafakari vizuriii, kama kwa Siza kuna riziki basi maisha popote. Kiukweli nilipata kitete maana kiukweli ketu huku there was nothing left. Bomba limekauka nawaambia wasubirie huku wasubiri nini. A good leader should not let his people perish. Atakae amua kubakia basi kesho aje. Nikijua kesho wakija sanaa labda watakuja wa 2.

Nimeenda hospital najitahidi kuchangamka, ananiuliza mbona flani na flani hawaji na nimeagiza waje. Namwambia wapo wana figt huko nje. Watakuja tu asiwe na shakaaa. Namchekesha chekesha tu, ila moyo unatetemeka kwa hali inayoendelea ofisini. Namchekesha pale. Nikamwambia hapa si salama, i need to get you back home bila watu kujua. Akawa kahisi labda mimi nina mpango mchafuuuu. Hakusema ila alionesha kahisi kitu.

Niko nyumbani K akaniambia mbona Mtu mzima kambana sanaa amwambie what is going on? Afanyaje? Nikamwambia funga bakuli lako, unataka kummalizia. Akamwambia anangangania sanaaaa. Akaniambia nimemwambia Siza kafungua connect. Hajaongea tenaaaaa. Nikamuuliza hajaongea kafa au? Akasema mzima ila hasemi kitu. Ikabidi niende usiku ule ule nikajua kakata kauli. Kumsemsha akajibu fresh tu.

Kesho nikaenda kwenye kikao asubuhi, nikitegemea nitakuta mtu mmoja. Nikakuta watu 50. Wengine wamerudi. Wananomba msamaha baada ya kujitafakari wengine baada ya kutembeaaa, kwa wataalamu wameambiwa wake huku huku. Upeopo bado uko huku. Alienisikitisha kati ya walio rudi ni yule aliesema hawezi kuongozwa na mwanamke. Nikamuuliza nimeota vipira nini usiku. Akajitete kwa haya, nimeshindwa kulala usiku, Godfather tumetoka mbali sanaa, na mke wangu talalia kitanda cha kamba mi napata kazi hapa. Mke wangu kanimbia nikiondoka kwa Godfather nisirudi nyumbani hanijui, wala hanitambuiii. Hata nikimkuta barabarani nisimsalimie.

Nikapata moyo kidogo ila tatizo likawa hatuna supplier. Nikajitahidi kuongea na supplier wa zamani kwamba kweli Godfather anaumw, ila mimi mkewe nitasimamia show nzima. Kama kawaida wakasema hawafanyi kazi na mwanamke, afu mwanamke mwenyewe sina experience na Godfather hakuwahi kunfront kwamba incase of anything mimi ndo nisimamie show. Sina record ya jela yoyote, i am brand new kwenye drug world. Siwezi kuwa Alcapone. Bomba litabakia limefungwaaaa kwa mda usio julikana. They send their regards to Godfather.

Nikamfanyia Godfather utaratibu wa safari ya UK, kutibiwa, tukapata admission, nikamtengenezea paperwork zoteee, nika book na flight. Godfather hatakii yaani hataki kwendaaaa. Namwambia tiba hapa sio nzuri. Nilikuwa Dr simuelewiii naona kabisaa iko namna.

Tumefika Dubai, tukalala hotel, nikaghairi tu kumpeleka UK, kama hataki afu atakufa soon anyways maybe anataka afie kwa wanae, bora nimrudishe nyumbani. God father ana passport nyingi mpaka ya UAE alikuwa nayo kwamba ni raia. Basi nikamuombea visa ya Tz, tukapata. Nikapanga turudi mpaka Nairobi afu tuvuke border na gari.

Tukarudi bongo nikapanga appartment mpyaaa kabisaaa. Nikaajiri Dr. online from USA kwa pesa ndefu aje awe private Dr. Akafurahi kurudi nyumbani. Wale kina Ommy na K nikawapiga marufuku kuonana na Godfather. Akiniuliza mimi mambo ya biashara namwambia mimi sijui, we zingatia afya yako.

Hali ikazidi kuwa ngumuuu, ngumuuu kweli kweli. Hatuna supplier. Nahangika kupata supplier sipati. Kama walivosema sina experience naanza wapi kupata connection ya shamba. Kweli ulikuwa uongozi wa kipofu. Nikaanza kukata tamaa. Nikiwaza nina watoto wa 3 naenda wapi nakza roho.

Siku nimekaa hivi, nikapa wazo ya kuangalia ile list ya watu 35 ambao hawakuja siku ile. Nikamuuliza Ommy hawa kwanini hawakuja au dharau? Akasema hawa wote siku ile walikuwa transit. Kuna ambao kesho yake kama 15 walijiunga na sisi, 15 walienda kwa Siza kuplead alliance. Hao 5 lazima watakuwa walifungwa huko transit au walifia njiani. Nikamwambia tafuta nchi walizokuwa wanatua au wanapaa afu kafatilie.

Ikaja kuonekana kuna mmoja alifungwa Pakistan, mwingine alifungwa Italy, mwingine alifungwa Hongkong, na wa mwisho alifungwa Rio De Ja Niro. Aliebakia alifariki, maana hata ndugu zake hawajamsikia tena tukaona itakuwa ilikua hivo. Nikawapa kazi kati ya wa 5 waende kuwaona huko gerezani walikofungwa. Kila mtu akamuone mmoja na kumtaarifu kuhusu rebellion, hali ya Godfather, na kwamba kutoka kitandani Godfather kamuamuru akiwa huko gerezani atafute supplier wa shamba haraka sanaaa.

Huku mimi na Godfather mapenzi yetu yanaendeleaaa. Basi anadeka hatari. Hataki mtu amlishe, wala kumuogesha, wanamfanyia ukali. Anataka Leila tu. Na anataka nikae hapo pembeni yake siku nzima tuangalie movies au kuongea siku nzimaaa. Basi ili nije kazini lazima nimngoje alale, maana Dr alikuwa anampa dawa za usingizi apumzike, asiwaze sanaaa. Akilala ana lala masaa 8. Mi hayo ndo nipo kazini.

Wakarudisha majibu wa 3 wamekubali wa 2 wamegomaa wanasema washajiunga kwa Siza. Wakatuma wajumbe ambao ni wafungwa wenzao walikuwa wamemaliza mda wao huko kwenye magereza yao, tuliwalipa pesa ndefu sanaaa. Tukawa tumepata 3 options ambazo nikaanza nao mazungumzo.

Wote wa 3 wakagoma kutoa mzigo kwa mali kauli wakidai Godfather mgonjwa sanaa, wataoa mzigo ila kwa cash. Na cash sasa utanunua mzigo kiasi gani? Issue ni mali kauli, wanaleta mzigo kazi inafanyikaaa wanapewa caho tunakata chetu. Mambo ya cahs mambo gani.

Nikawapa business plan ya Godfather waka point out competition kutoka kwa Siza maana anatumia business model hio hio ya Godfather. Tujipange upya. Nikatuliza akailiii na kuja business propsal yangu. Nikatulia na kusoma historia zooote za drug lords wakubwa, technique zao, downfall zao, na tricks of businesss. Afu nikafanya review study ya environmental factors za huku, geographical factors, yaani in short SWOT analiysis yote, na kugundua kweli business model ya Godfather ilikuwa outdated, totally outdated. Nikaandika ya kwangu na kutuma sehemu zote 3.

Huku Godfather ananihusia achana kabisaaa na biashara ya unga, live a happy life. Namuitikia tu. Tunapendana kama zamaniii. Akaanza wivu wa jabu ajabu kwamba anahisi mi natembea na Ommy au K kwanini niko close nao sanaa. Mwaka mzima nalala na nani. Namuuliza natembea nao saa ngapi au wapi, mda wote huu umenibana hapa, isitoshe wale vijana wanataka ma binti hawawezi kunitaka mimi mama wa watoto wa 3. Anacheeka japo haitoki rohoni.

Likatokea tukio, nesi alitaka kumpa chakula Godfather, K akamtilia mashaka, akamwambia umeweka sumu, akawa anakataa hajaweka, K akamwambia kama hujaweka kula. Anatetemeka. Akampa paka. Paka akashikwa heart attack. Akampeleka kwa mtaalamu wa mifugo kafa kafa na nini, mtaalamu hakuona tarcaes za sumu zozote, akawa anabisha paka hajalishwa sumu ni moyo tu umefeli. Nesi kumpeleka polisi hatuwezi ili akatusemee vizuriii, sijui kina K walimfanya nini. Ila nikajua Siza anataka kumuua Godfather. Kina Omaary wanasema na sisis tujibu mapigo. Nikawaambia stop, yule mimi na mmudu.

Tukafukuza wafanyakazi woote, manesi woote, ma dr woote, walinzi mpaka mbwa wasingejiangalia wangefukuzwa. Tukahama na pale. Na kuajiri watu wapy wote kutoka Asia ambako cheap labor iko, na hawajui lugha vizuri. Nikaajiri na Dr. mwingine na manesi wengine. Wale mapacha wamekuwa wana miaka mi 2. Miaka mi 2 hatuna mzigo wa kuuza.

Kwa Siza mzigo unamiminikaaa kama mvua. Na alivo na tamaa anapokea mizigo kwa fujoooo kubwaaa. Huku kwetu kama tumekufa zamani, mpaka godown zishaanza kuota bui bui. Wale watu 50 wamechokaaa sio kidogo. Nikawaambia au muende kwa Siza. Wako kuliko twende kwa Siza bora tufe njaa tu. Sisi tushatafuta shughuli za kufanya kungoja mama urudi, uturudishe mzigoni au Godfather apone.

Nikamtuma K anikutanishe na Siza, face to face. Mikwara yake kaja kama Siza The Don, The Don kweli kweli, na walinzi 7 wapambe 7. Wamevaa miwani myeusi, hahahahaaa. Kwa mikwaraaaaa. Ananiambia umekuja kuniomba ujinge Leila? Siamini.

Nikamwambia nimekjua kukwambia ukijaribu kumuua Godfather tena utanijua mimi nani. Akachekaaa. Leila umesahu mimi Siza The Don. Sina mda wa kumuua Godfather, Godfather ni maiti inayoishi. Nikajau sio yeye, ila itakuwa mkewe ndo amefanya hilo jaribio.

Nikamwambia i am here to cut you a deal! If you keep Godfather alive, i promise nitamwambia Antonia wewe ni baba yake, na nita kuintroduce. If Godfather dies suspiciously you can kiss your daughter goodbye. Ill personaly make sure she never speaks with you untill she or you die. Nikamwambia K twende. Akabakia kimyaaaa, sasa sikujua kakubali au vipi.

Siku hio nimekaaa ikaingia email toka kwa suppliers, kwamba baada ya kupitia proposal yangu wamekubali kutupa mzigo mali kauli. Sikuaminiii. Nikasema simwambii mtu mpaka ufike unaweza usifikeee. Wiki inayofata nikakubaliwa na supplier wa 2, na baade wa 3. Nikawa na mizigo mi 3 njiani. Sina mteja, nina crew ya watu 50 ambao for 2 and a half years wako nje ya game. I had my eyes wide open, my heart pure and fingers crossed nangoja mzigo ufike.

ITAENDELEA KESHO
 
Dadekiiii mi ndo maana vuta siku moja ndo nasoma.. Ukisubiri hadi saa nne nikujitaftia stress za bureee... Daah Leila na siza ndo bhasii tene bora nibaki team Mnyalu japo kaadimika
 
kwa sasa ninaweza kuchagua team bora niwe team leila kwani mchuano siyo wa kitoto afe kipa au afe beki.
 
Duhhhhhhhhhhh naona mbwa kala mbwa hapa
Mi hata Leila akifulia nitasota nae tu
Shabiki damu sitetereki na upande

Bora uzima maisha ni matokeo tyuuu


Team Leila Eeeeeeeeeeeh
 
Back
Top Bottom