Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Ndo mana mi sikutaka kuhama team siza...nlijua tu komando kipensi hawezi kufa kirahisi rahisi ivo tena kwenye maua otherwise movie lingekua lishaisha...he is in for blood kama Jack bauer in 24 s8...I cant wait the return of "Siza Al Capone"...
 
Nawanaonaaa nawaonaa tu Team Sizaaa. Nisha screen shot comment zenu na team leila. Basi mnataka Leila na Siza warudinae. Power of Love

Kama wayahudi vileeee, mnakomaa mnamtaka Siza hamumumtaki God Father
Mimi team Godfather, leila has to learn some manners, Caesar too.
 
Nawanaonaaa nawaonaa tu Team Sizaaa. Nisha screen shot comment zenu na team leila. Basi mnataka Leila na Siza warudinae. Power of Love

Kama wayahudi vileeee, mnakomaa mnamtaka Siza hamumumtaki God Father


Hahahaaa mimi nimeamua kuwa moderator tu. Sio kwa ubuyu huu. Mie nna roho ndogo mambo makubwa siyawezi kabisaaa, timu yangu ile ile, Mujuni.
 
Pesaa Pesaa labda ndo itamnunua Leila ila sipati picha bifu la Siza

Siza atarudi mithili ya Faru dume, ila lara 1 ametukamata kwelikweli, Leila kamkosea lakini ndio mama wa mtoto wake. Ticha sasa hivi ndio kila kitu..Godfather na Siza, mtu na boss wake, huo mtanange utaishia wapi? Usikose next episode ndugu msomaji. Jihadhari tu na miguu ya punda
 
Siza hajamjua mbaya wake n nan, afuate ushaur wa tcha aache kufanya kaz hapo, tcha anajielewa, leila abak na boss tu muv iishe
 
Ubuyu Una presha simba Na yanga cha mtoto. Kilichonifurahisha Ni ugumu wa kuchagua team. Kila mmoja anakigugumizi Kama Mzee kagunga.

Wengi wamejikuta wanaelekea upande mmoja. ILA ntaitendea haki nafasi yangu ya Jecha. Msije mkamlaumu kungwi kabadili gia angani.
 
Back
Top Bottom