Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Mmhh lara wewee et takoniii hahaa...katika stor zote hii najikuta nashindwa kuchagua team daah
 
Ndio maana nilikwambia tuliza nnzuka ati! Movie linaenda mbele linarudi nyuma, hakikisha una kikosi cha fire kabla ya kuwasha moto. Usiliamshe dude! Safari hii mambo ya team unachagua kimoyomoyo unabaki na jibu peke yako. Kungwi amerudi kijantali
 
Nikija saa 3 usiku kuandika nikute mshaa ainisha timu zenu kwa herufi kubwa. Nisipokuta orotha ya team zenu siendelei. Mnataka kuleta janja janjaaaa. Hapana leta janja janja mchague team zenu mapemaaaa.
 
Ila Lara mbaya Sana huyu dada, yaani Leila ndo kawa muoga ivi! Nimecheka leila alivyokuwaza anawaza kumpa mzigo mtu mzima. Usitufanyie hivyo timu Leila buanaaa! You reduced her to zero aggrrrhh!
 
Nikija saa 3 usiku kuandika nikute mshaa ainisha timu zenu kwa herufi kubwa. Nisipokuta orotha ya team zenu siendelei. Mnataka kuleta janja janjaaaa. Hapana leta janja janja mchague team zenu mapemaaaa.
Hahaa hii ya safari hii haina team ila naomba tu uendelee kwakwel
 
Ndio maana nilikwambia tuliza nnzuka ati! Movie linaenda mbele linarudi nyuma, hakikisha una kikosi cha fire kabla ya kuwasha moto. Usiliamshe dude! Safari hii mambo ya team unachagua kimoyomoyo unabaki na jibu peke yako. Kungwi amerudi kijantali
Safar hii lara kaniweza yan najiona nipo team zote tu hapa
 
Siza. Anatoka na kufanya revenge ya nguvu labda Lara ajikute nunda apindishe story.
 
Nikija saa 3 usiku kuandika nikute mshaa ainisha timu zenu kwa herufi kubwa. Nisipokuta orotha ya team zenu siendelei. Mnataka kuleta janja janjaaaa. Hapana leta janja janja mchague team zenu mapemaaaa.
Hahaaaaaaaa ili uniweke kwenye mawazo kila nikiona jina la mtu wangu mi naugulia kimya kimya kwanza kwa kweli
Maana sijachagua live tu lakini unaninyoosha haswaaa
 
Hii movie ya kivietnam sterling hajulikani ila Siza atarudi na revenge mbaya sana naamini hivyo.
 
Kwanza ceaser atajuaje kwamba ni leila,mana amemtuma mtu akamtuma mtu na causes are natural yani ajali kazini.labda lara afanye manuva ya kiuandishi mana yeye anapeleka story anavyotaka
 
Back
Top Bottom