Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Godfather ni boya tu siza lazma alimbandua mkewe ndio mana akakubali afungiwe kete vibaya afe,mimi team siza mzee kuwagegeda kwa show z kibabe
 
God Father!

Siku ya kwanza namuona Leila, ilikuwa Kinondoni kwenye chips vumbi kwa Mangi. Namuona tangu anaingia. Akanivutia sanaaa. Tulikuwa wa 3, mimi Siza na mwenzie Siza. Nikawaambia oyaaa oyaaa yule demu mwenye shorts wa kwangu, tutaonana wabaya bureee. Hahaaaaaa! Nishatangaza niaaaa, kabisaaa mapemaaaaaa.

Siza akasema yule Leila, mi namjua kitambo sanaaa. Sio kwamba boss nakukosea heshima, ila itifaki lazima zingatiwe. Anaeanza kukutana na demu, na kumvua chupi basi halali yake maana mi yote hayo nishatimizaaa. Nimeyakamilishaaa yote. So kwa nguvu nilizopewa kikatiba kwa katiba halali ya chama cha wanaume marijali Leila ni halali yangu kabisaaa.

Roho iliniumaaaa sanaa. Cause i rarely find women i like, or am interested in. Ukishakuwa na pesa nyingi most women wanakuwa watumwa wa pesa kufanya unachotaka, mda unaotaka. Hawa challange wala ku question. They become submissive to money. Hata ukiomba tako wanakupa, not because wanakubalina na hio hoja au wanalolote la kusema, just ni utumwa tu wa pesa. Sasa mimi tabia ya kuishi na mtu ambae hayuko huru kuwa yeye, haina tofauti na utumwa. Ni sawa na kununua utu wa mtu ili apate pesa. Mi mtu anae uza utu wake kwa sababu zozote zile tofauti na mimi.

Dont be mistaken kwamba ni ezaliwa kwenye pesaa, nimekulia mapesaa, au vipi. All i got is my own hustles. Nimenyanyaswa sanaa sanaa na watu waliotakiwa kunionesha upendo. Sill sikuuza utu wangu. We always have a choice. We always do. Only we choose the easy choice.

Ila kweli kikatiba ya CHAWARI kikatiba Siza alikuwa na haki zote. Still sikutaka kushindwa, cause i never loose easly. Nikamuwekea upinzani mkubwaaa kwamba siamani kama wanajuana. He should poof beyond reasonable doubt kwamba wanakulana. Lengo ni kwamba hakuna mwanamke ataekubali hadharani analiwa.

Siza akasema Boss we huyu dada humjui. Akaanza Leila mi namlipia. Kilichoendelea kilinisikitisha na kumpa Siza ushindi wa mezani. Her confidence level was 200% mpaka nikasema hivi huyu dada anajiamini nini. Nikawa sijakubaliana na matokeo. Sometimes ulimwengu unatoa matokea ambayo hayaelewekiii. Ukikubaliana nayo kila mda utakuwa mnyonge. Unatakiwa kufosi kingi na kupeleka matokea unavotakaaa.

Kwa siku ile mbingu zilikomaaa kweli kweli kumpa Siza ushindi. Na sikutaka kutumia nguvu sanaaa sababu Siza ni kijana wangu, amefanya kazi kwangu toka mdogooo. Hana tatizo lolote. Sio mwizi. Sio zulumati. Hana tamaa kabisaaa. Yeye neno langu kwake ndo sheria. Asharidhika mi boss wake baas, na kwamba mi boss wake mtu mzuriii.

Nikiwa kama boss napenda kuwa reward wale wanakuwa waaminifu na watiifu na jeuri wanapata stahiki yao. Unlike drug lords wa zamani mimi nime commercialise drug business. Zamani Punda walikuwa wanakufa maskini, ndo maana punda wengi wamekimbilia ulaya kuzamia. Punda hawakuwa na maslahi, packers hawakuwa na maslahi. Pushers hawakuwa na maslahi. Drugs zilikuwa biashara flani ya kitumwa. Mateja ndo mapunda. Mizigo mingi ili potea njiani.

Mimi nilianza kuwa pusher marekani, nikawa punda, nikiwa punda nikasafiri sana Asia, na kujua baadhi ya connections. Baadae kuna mtu wangu mmarekani alifungwa akakutana na mu Indonesia akampa connection za shamba sasa. Route ya Indonesia mpaka USA ni ndefu sanaa, ukilinganisha ya Mexico na latin America kwenda USA.

Nikapata wazo nije kufungua drug connect huku Tanzania. Most of all mimi ni mtanzania ila nimeishi sanaa USA, marehemu mama yangu aliolewa kule na Punda mzamiaji. Ndo maana kukua kidogo tu Mzee akaniambia it is about time you join family business. Si mnajua marekani life gumuuu, bills kubwaaa, ukikua tu unatakiwa uanze kuchacharika.

Akani connect na jirani yetu, nikapewa spot ya kuwa pusher. Tofauti na wenzangu mi sikuacha shule. Naenda shule na push huko huko shule, shule za jirani kote. Nikaanza na ku push online. In no time nikawa nasukuma mzigo wa maana. Nilivomaliza collage nikapanda rank kuwa punda, nikafanya vizuri sanaa. Baadae nikapewa eneo langu, sasa siko chini ya watu tena. Nifanya direct n cartel. Boss wetu akadakwa, mtandao ukafaaa.

Sasa mwenyewe nishaanza kujiandaa na plan B. Cartel kufa nikaanza mazungumzo na wa indonesia. Wanasema US mbali sanaa. Nikawaambia mlete Tanzania, wakakubali. Sikuja Tanzania kufungua biashara ya unga niwauzie hawa mateja wadogo wadogo wa jero sijui buku. Nilikuja kufungua connect. Unga unapita tu. Unatoka Indonesia in bulk, cause sio siri bongo ukimwaga hela unaingiza conatiner na container za unga kama paste sides. Tena bila kodi. Hakuna wataalamu wa madawa ya kilimo wa kusema hii sio sumu za kilimo ni unga. Wana pack tu kwenye magunia ya paste sides.

Importation is the easy part, export ndo mtihani mkubwa. Sababu ya CV kwenye ile cartel ya wa colombia, Indonesia wanailetea mzigo mali kauli, wananipa mda wa miezi 6, niuze mzigo ndo nilipe. Mimi ndo drug lord wa kwanza kuajiri mapunda kwa pesa ndefuuu. Mwanzo nilikuwa na recruit Mapunda directly, natafuta kidogo waliosoma, form 4 au 6, Veta, wanaojielewa kidogo. Nalipa 20% comission ya mzigo. So Punda nae ananufaika, na anapata akijituma. Akilala pesa in lala.

Nikatengeneza logistics chart ya kueleweka, shipment kwa mwaka ziko ngapi, kila punda ana chagua routes na safari za kwenda. Na anajua atapata shingi ngapi kila route. Route ndefu pesa ya mzigo ndefuuu so 20% sio ya kitoto. Soko huru, freedom to work. Unajiamulia mustakabali wa maisha yako. Mwisho wa mwaka waliofanya vizuri nikafungua subsidiary Mozambique wakaenda kuanzisha Connect ingine na South Africa. Na ukifika level ya subsidiary unachukua 40%. Tunafungua tu connect zingine mpaka sasa nina connect point 8.

Mambo yako wazi, vyeo vinatolewa kwa uwazi, piga kazi, show me you can, unapanda chati. Habebwi mtu, habembelezwi mtu, mambo yako wazi sanaa. Wanaelewa kabisaa gharama za mzigo ni hizi, operating cost ni hii, faida ni hii na nacho chukua mimi ni hiki, anachochukua boss ni hiki.

Wapo walionanza kwangu wakafungua vi connect vyao vya kichovuuu. Wapo waliofungua wakafeli na kurudi kwangu. Wakakuta system imebadilika, ukitoka ukirudi unaanza upyaaa. Na kuanza safari hii ni ngumu maana unaanzia, smuggling, unakuja packing, uje pusher, ndo uje punda. Sasa mtu alitoka level ya punda akirudi namwambia anaanza smuggling anachokaa. Hio ni ku discourage watu kwenda kujaribu maisha kwingine na ku reward loyalty.

Siza was good. Alianzia smuggling, akawa recomended, kwenda packaging ambako hakukaa sana kutokana na kuwa yuko vizuri kichwani. Tunatumia package ambayo plastic yake haikuwa nzuri kiasi mapunda wengi wa zamani wenye historia ya kupasukiwa kete tumboni waliugua cancer ya utumbo. Siza akaja kusema kwa Meddy wamebadilisha packaging. Wanatoa India ni nzuri sanaa. Haikuwa detailed ila ili onesha ana research na ku observe. Nikafatilia kujua anatoa India better material. Nikabadilisha pia.

Akaenda pushing ambako alikuwa ana push mzigo mkubwaaa. Ana push mzigo wa maana. Akafikia required points kuwa punda. Ambako mpaka siku tunakutana na leila alikuwa hana miaka 2. Hii level watu wanakaa hata miaka 10, kwa wengi hii ni level ya mwisho. Cause risk ni kubwa, wengi wana dakwa na drug life zao kama umri umeenda zinaishia hapa. Miaka 30 ukipigwa mvua 20 unatoka 50. Tunasema tu umestaafu Punda. Na pia cheo cha juu ni kuwa subsidiary, ni kigumuuu sana, manake subsidiary mi nawapa mzigo tu, wanatafuta network yao ya logistics na mzigo. Ndo maana wanakula 50% cause they put in hard work. Hiii inabidi uwe more of an entrepreneuer, sio wengi wanaweza, to whom much is given much is expected in return. Wengi hawataki stress, ukitaka kuwa promote ukawapa how it works wanakwambia hapana, too much work hii 20% ya punda inanitoshaaa.

Siza was an asset kwenye biashara yangu, nisingeweza kumpoteza kirahisi rahisi tu. Plus na kuhusu Leila alikuwa na haki zote. Nikaamua tu kuacha. Japo kidume roho iliniuma sanaaa.

Kilichonikera Siza ni tabia yake ya kunisimulia kuhusu Leila. Ofcourse we do tell about our women , ila sasa Siza akisimulia kuhusu Leila inakuwa detailed sanaa, mpaka akanitia shetani la kutaka kuonja. Ananimbia mambo ya ndaniii sanaa. Boss nakwambia Leila ana paja lainiiii, mtoto mtamuuu yuleeee, boss mi malaya ila nakwambia mtoto mtamu yuleeeee.

Mtoto ana matusi kitandaniii usisikke, mpaka nahisi nakufa ganziiiii. Yani ile mwanamke awe malaya sanaa kitandani ndo yuleeee. Ananijulia nini nahitajiii, kwa wakati gani, na kiasi ganiii. Boss mi yule na oa. Haki vile mi namuoa naweka ndaniiii. Alinisimulia detail za ndani kabisaaa mpaka kuziweka hapa msomaji usome najisikia haya, mkumbuke mimi ni mtu mzimaaaaaa! Ana K mnatoo boss sijawahi kuonaaa. Nakwambia bosss, inabana mbaaaa. Ooooh! Boss kama huamini shauri yako. Ingekuwa mwanamke mwingine yoyote ningekwambia kaonje. Ila Leila we sikiza tu kwenye story tutacharangana mapanga.

Basi akifanya nae tukio kama anarekodiiii, ananisimulia loote, na mimi linanitia mshawasha si kidogo. Nikawa addicted kusikiliza story hio. Kama chabo yani. Hata nikiwa na mwanamke na compare na ku contrast which is not healthy at all.

Nikawaza au nimchukue tu kinguvuuu, kwanza pesa ninayo. Nikaona kuchukulia mtu demu wake ni bora hata umuombe yeye makalio atakusamehe ila sio kumchukia demu au mke, afu awe anampendaaa. Utaliamsha dude tena dule lenyewe dubwana la vichwa sabaaa. Kama Siza pale mjinga mjinga atapata akili ghafla na kuwa drug lord mwenyewe akili za kuchukuliwa demu.

Na kibaya zaidi ata win public simpathy, kama pale kila mtu ataniona firauniiii tu, boss gainiiii wanawake wote duniani anamtaka mke wa mfanya kazi wake. Basi hapo ndo kuibiwa na kuibiwa na kuhujumiwa juu. Kila mtu anakuona mbayaaa tu.

Ila yote juu ya yote demu namtaka yule, leo au kesho. Kiukweli lengo langu lilikuwa nile hata mara moja tu kuona yaliyomo yamooo. Nikasikia wametibuanaaa kufaaa. Nikasema simba akisusaaa ni zamu ya mafisiiii kula. Then suddenly demu went under the radder, hakuna mtu anaejua alipo wala anavhofanya hukooo alikoo. Nilimtafuta sanaa sanaaa, like no body knew where she went.

Siku hio sina hili wala lile, boss wa packers akaja kusema kuna mtu ana inflitrate system yetu anataka kumuua Siza. Ni mwanamke anaitwa Leila. Roho ikafanya Paaaaah! Nikamwambia nani kapewa hilo dili, akasema Niko. Nikamwambia nikutanishe na Niko.

Niko hanijui, na watu wengi wa kati na chini hanijui, hata tukipishana barabarani hawajui mi nani, wala nina influence gani katika maisha yao. Watu wachache na wajuu ndo wanajua mimi ni nani. Kuna siku ki pusher kilinichenjia club. Kimenitukanaa.

Nikamwambia Niko muite mi nitafanya hio kazi. Nika mwambia Niko hii siri yetu, mwenyewe ulitaka kumuua siza hamkukubaliana bei so ukinisema na mimi nakusema, ukimwaga mboga namwaga ugali. In reality sikupanga kumuua Siza. Nilitaka tu kumwambia Leila anapanga A na B jihadhariiii.

Tatizo nilivomuona Leila japo ana mimba kubwaaa, nikaona nikimwambia siza baas tena. Ikumbukwe we live only once but if you live well once is enough. Na katika hio once ndo nishachelewa tayari washamjaza mimba. Mimba ya Siza. Nikaona loose loose situation. Nikamwambia tu sawa, na sikuchukua hela cause nilijua sitofanya. I just wanted to see her guts with my own eyes, maybe talk to her a little.

Nishapanga lumnawa kabisaaaa. Tatizo kila sms anatuma sms, Hi, umeamkaje. Unaendeleaje. I think alijua mi Packer tu. So na mimi namjibu. Pole na kazi. Ile ishu imefikia wapi. Mi namwa,bia tuonane tuongeee baas tu. Mwanamke akiwa na shida akijua wewe ndo utamtatulia utamtumia utakavyo.

The more time i spent with her, the more time i wanted to spend with her. Si unajua watu wakishakujua wanakunyenyekeaaaa kama kimungu chao kidogo dogo. Sasa Leila alikuwa hajui mimi nani, and it was fun. Mara anitukane we nawe mngese kweli unakuta hapo nimempa tu story ya ionho, ndo ,aana bado packer umri huo. Namuuliza nilitakiwa niwe nani? Anasema uwe boss, hilo nalo la kuuliza. Mi namwambia sometimes bora uwe una watu kama sisi tunajua kufanyaa. Anachekaaa na kutukana.

Then nikawaza this is the woman i want spend the rest of my life. Ila Siza tatizooo kubwa. Hatokubali akiwa hai au mfu kuona mimi of all people niko na yule mwanamke. Amchukue mtu yoyote au afe hana mume ila sio mimi kuwa na yule mwanamke. Na mimi yule mwanamke namtakaaa, natakaa kwa gharama yoyote hapo kiukweli inabidi tu Siza apoteee. Niliwaza sanaa sanaa nikaona kumuua itakuwa dhambi kama ya Mfalme Daudi alipo mpanga Uria war front ili ajisevie mkewe.

Mi nikaamua kupita mule mule kwa daudi ila nikapinda kidogo, nikamwambia funga cotes ambazo zitavuja tu ila sio kupasuka. Zikivuja ataanguka transit huko ila watamuwahisha hospital na atapona na kwenda kupokea mshahara wa Punda. Siku zote route ya Siza ni china, safari hii nikamfata mpala home aende UK. Najua sheria za UK kali. Atapata miaka ya kutosha afu mi huku najisevia demu wake, mwanae najimilikisha vile vile. Na mambo yalienda nilivotakaa.

Msinihukumu sanaaa, hamuwezi elewa position niliokiwa, Julius Ceasar ndo pekee anaelewa likichomuwasha korodani mpaka akaingilia vita vya wa misri, siasa zisizo muhusu kabisaaa, mpaka kwenda vitani vita haimuhusu ili tu ampate mrembo Cleopatra. Na akampata na wakayafaidi maisha sanaa.

Nikawa na lengo la kumwambia Leila mimi ni God father ila nikasema ngoja kwanza nibadili mazingira nijue wenzangu wanapitia jamba jamba gani. Kingine ukishamwambia mtu then expectations zinaanza, comparisons, kutoridhika, na kerooo. Sababu Leila hakujua she was content na nachompa which was nothing. Pili angejua mi nani ungeanza uvivu wa kutamka tu, nataka kitu flani kama mimi jini lake. Ila sababu alijua sinaa akawa anajiongeza sms, kunitegeshea baruaa. Tatu i was happy, so so happy sikutaka ku risk what we had.

Omary jana kaniambia nimemwambia, sikujua hajui, blah blah, na ile sms. Nimeenda nikajua wanawake wengine atakuwa furaha mpaka kwenye nyayo. Kumbe aliumiaaa sanaa. I was planning to beg ila i am not much of a begger so i didnt know how to. Ukifikitia kweli nilidanganya.

Nimekaa mchana dada kapiga simu, mtoto anaumwa mama hapatikani. Nikamwambia nakuja. Nikawapeleka hospital. Namuuliza mama yuko wapi. Anasema mimi sijajua ila amesema anaenda kuuza mbao mara moja kuna mteja Chalinze anarudi leo leo.

Tukatoka hospital, Dr. Akasema alipigwa upepo, dada akasema tulipanda piki piki Vicky alitufukuza, nikamuuliza kwenda wapi? Akasema tulirudi kulala nyumbani. Nilikasirikaaa kama mtoto wangu vile. Nikamwambia dada beba vitu vya mtoto muhimu tutakaa kwangu mpaka mama arudi. Dada yuko sawa.

Usiku ukaingia hajarudi. Saa 2 anampigia dada simu, nilivosikia inaita nikasogea, nijua kama ndo yeye au sio. Anauliza mnaendeleaje? Huku network shida. Nikaichukua kwa dada na kuiweka loud speaker. Nikajibu mimi, mtoto aliumwa, upepo wa piki piki, tumempeleka hospital and i have no idea uko wapi. Akastukaaa na mengi. Nikamuelekeza na Dr alichosema. Akakata simu.

Akatuma sms kwangu, oooh nisamehe, kuna issue nimekuja kufanya Chalinze haijafanikiwa so mda umeenda sipati usafiri nakuja kesho. Nikamwambia kama unataka Omary akufate usiku huu huu. Akasema sawa anifate

Kafika saa 7 usiku. Anajikosha kosha. Tunashukuru sisi tunaenda. Bado kanunaaa. Nikamwambia njoo chumbani tuongeee. Akaja kanunaaaa. Sasa ndugu msomaji mwenyewe jiongezeee kweli kudanganya nilidanganya live, mwenyewe ukanishuhudiaaa. Sasa naanza kusemaje ule uongo ni ukweli kwa mbali, au nasemajeee. Nikaamua sisemi lolote natumia mbinu ya mababu tu.

Kaingia anasimamia dirishani anaangalia nje, ana ngoja hio million dollar appology speech. Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni. Mi navua nguo tu. Moja moja. Yeye hana habari maybe anawaza this must be good, really good mpaka najitafakari takika zote 3, kumbe mi natumia mda huo kuvua nguo.

Nikamfata pale pale dirishani, na kumuwekea mikono kumbania kati kati, anageuka kwa hasiraa, anakuta mzee mzima niko kama nilivo zaliwa. Tobaaaa. Anataka kuleta upinzani wa UKAWA kwa chama cha TANU. Thubutuuuuuuuu. Mi mjuzi najua mwanamke nimshike wapi, akae kimyaaa. Call me Old School. Nikamshika maeneo flani flani kaelegea mwenyewe.

Sikutaka kumpa wasaa wa kuvua nguoo, sijui kuogaaa, nikampiga mchezo pale pale dirishaniii. Kama kuna mtu alikuwa anaangalia dirisha langu it was his or her lucky day. Show nzima ilifanyika dirshani. Hamna kuvua nguo zote niemshusha jeans aliovaa na chupi, nimembeba pale pale dirishani, ngombe hazeeki maini, ata awe mzee vipi maini yake hayawi magumu hata siku moja. Nikamla kwa fujo kishenzi. Si mnajua emotionsss za kunnuniana, break up. Nae ananipa mambo kwa hasiraaa ikawa safi sanaaa. Nguo zilivulika kati kwa kati. Kumaliza mchezo hana nguo hata moja.

Nikaamua huyu mwanamke sahivi simbembelezi naenda nae kikomandooo tu. Tumemaliza mechi, bado kanuna ila kidogooo. Nikaingia bafuni kuoga. Amekaa anawazaa maisha . Hahaaaa. Nikaita Leila bafuniii. Njoo unisugue mgongo. Anajibu shower cap sijaja nayo, nywele zitaloa. Nikamfata pale na kumvutia bafuni, na kumpa mambo tenaaa.

Tukawa tumechoka, hapo najua safari ya kuondoka ishakufa na kuoza imeooza. Saa 9 usiku mda huo. Ikaingia sms. Nikaisomaa "Boss Siza kapiga simu, anakuja kesho kutwa, wameshinda kesi. Demu wake Ticha alienda kumtoa, akamtafutia mwana sheria, imeonekana kwamba hakukamatwa kisheria, sababu alimwambia Dr, in patient and dr confidence, Dr kwa kuwa tip police alivunja sheria ya privacy ya mgonjwa. Kitu kama hiko boss. Unaambiwa he walked free. Sema ndo wamemgongea mhuri na kuchukua finger prints haruhusiwi kukanyaga UK milele. Ndo wanarudi kusho kutwa. Boss tumefurahiii, party linaendelea huku chmber squad."

Jicho lilinitokaaaa. Nikimuangalia Leila amelala kihasara hasara hapo pembeni anafumua nywele ishalowa tena. Nikakaza roho nikavaa na kutaka kutoka. Anauliza unaenda wapi baby? Nikamjibu tu short DUTY CALLS.

ITAENDELEA KESHO USIKU.
 
Duh! Siza anarudi,
Ila mnyalu umemsahau hv anaendeleaje? Hahahaha
 
As I said, Caesar is back for revenge!

Nawanaonaaa nawaonaa tu Team Sizaaa. Nisha screen shot comment zenu na team leila. Basi mnataka Leila na Siza warudinae. Power of Love

Kama wayahudi vileeee, mnakomaa mnamtaka Siza hamumumtaki God Father
 
Nawanaonaaa nawaonaa tu Team Sizaaa. Nisha screen shot comment zenu na team leila. Basi mnataka Leila na Siza warudinae. Power of Love
Yah, Caesar and Leila is a better love story than that of the drug lord. After all, we average joes have to stick together! Team Caesar anytime!
 
Back
Top Bottom