Our hearts always wants what is not good for us.
Kiukweli what happened to Leila is the real me. Mwenzenu nina mkono wa kupiga wanawake. Namshukuru tu Mungu mpaka leo hii sina Murder case ila nina attemted murder 2. Moja ya Leila na ya 2 ni Mama Juma. Forget the hypocrsy kuwa namsaidia kule mtoto just because i am nice, and kind and sweet. I am monster.
Kulea mtoto ni makubaliano tulio ingia mimi na familia yake, baada ya kumpiga nusu ya kufa na kumngoa meno ma 3, kibogoyo mzazi mwenzangu, nilimpa za chembe kujitia kukwepa ikampiga kwenye taya katema meno ma 3. Watu walijua nampiga kidogo tu kishkaji, kumtia displini, wakashangaa mtu anapiga yowe, yowe likaishaaa, wakaona ashau huyu. Wakaja. Na kweli alikuwa nyanga nyanga.
Wakanikamata hapo hapo na kunipeleka polisi, wakanifungulia kesi ya mauaji. Hapo wamempeleka hospital anapumua, walivo nunda ule mtaa hususani baba mwenye nyumba mkewe kamuweka kwenye chupa na hamtoi leo wala kesho, mama mtu wa gilr guide, mambo ya wanawake haya. Wakaja na hati ya kifo ya uongo, kwamba huyu kampiga mtu kamuua, asitoke humo. Waliniweka wiki 3. Na nchi yetu mnaijua, naambiwa wewe una kesi ya mauaji.
Ikatokea boss wangu alikuwa na mzigo, punda niko ndani, akaja kumwaga helaaaa kituoni, mkuu kachomoaaa, mama mtata yuleee, ataleta TAMWA, TULA, UTU mwanamke, kila takataka. Labda tykae nao mezani, manake mwanamke mwenyewe hajafa, tukae na familia tusikie wanataka nini. Familia hizi za kiswahili kiwanunua rahisi, familia wakifuta kesi, mwenye nyumba hana nguvu sanaaa.
Wakaja wazazi wa mama Juma, wanataka malezi ya mtoto cha kwanza, wakati mtoto sio wangu, nikagoma, wakainukaaa wamesusa hawataki maongezi tenaaa. Ikabidi ni watulizeee sawa nitatoa. Wanataka nyumba yao inavuja wawekewe bati jipya, boss wangu akasema sawa pia, wanataka warudishiwe gharama za hospital million 2. Boss akasema sawa pia. Wanataka na mtoto asome international school, nikasema sawa. Wakapewa million 2, wakafuta kesi.
Yule mama aliwajia juu, mbwa nyinyi mnaendekeza njaa, siku ataua mtu huyuuuuu. Msiuze utu wa mwanenu. Mambo kibaoooo. Utu ushauzwa na ushanunuliwa. Ndo mpaka leo natunza mtoto sio wangu, nikisema fyokooo wananikumbusha RB iko valid miaka 10, una kesi ya jaribio la kuua. Inabidi niwe mpole tu manake nifanyaje sasa.
Ya pili ndo ya juzi. Sijui nina tatizo gani mwenzenuuu. Nahisi ni psychological sijui sababu baba alinikataaa, nikalelewa na mama, ambae nae alikuwa ananyanyaswa na baba wa kambo. Mtaa mzima wanawake hawakiwa kitu cha thamani kabisaa, wanajiuzaa jiuza tu kwa chips na soda unapewa K, na mimi nishaona wanawake ni viburudisho vyetu tu.
Kwanza kabisaa kila nikimpiga mwanamke nasema simpigi tenaaa, yaaani mimi Siza kupiga mwanamke la bda nife afu nifufuke. Akileta ujinga natandika vibao. Kama simpendi simpigi sanaa. Intense ya kipigo inatokana na jinsi navompendaa. Nikikupenda sanaaa ujue kipigo chake utalichungulia kaburii. Kama sikupendi nakupa nakoz za kishkaji tu.
Then nikishampiga mwanamke i regret it. Najuuta na kujisuta na kuhuzunika mpaka basi. I really liked Leila, sanaaaa, we could have been something. Ila ndo baas tena. Natamani nimtafute sasa nitamwambia nini? Nakupigia kukuomba msamaha wa kipigo nilichokupa. Au nitasemaje? Naona kama imeandikwa uko Mbinguni tuwe wote, tutakuja tu kuwa.
It really broke my heart, i loved only 2 women na wote nishawakungutaaa nusu ya kuwaua kabisaaa. Si balaaa hili. I am a monster kwa kweli. Sifai kwenye jamiiii kabisaa kabisaaaa.
Nikiwa katika jetlag ya kumkunguta Leila najiaandaaa kufunga huo ukursa wa leila, Mangi, Vicky kwenye maisha yangu, ghafla akaja Naila. From no where! Alivosema tu katumwa na side ya kina Leila, nikaona the universe is trying to tell me something. Ngoja niusikilize ulimwengu una yapi ya kuniambia.
Basi tumeonge pale, nikasahau kabisaaa ishu zote. Jioni nikaona sms. Nimefika salama, nashukuru sanaa kwa company yako, Naila. Nikajibu jibu sikuwa na serious plan. Kwanza sio type yangu kabisaa. Very plain, afu kavaa kishamba shamba, i bet katoka mkoani, decent, na mimi mkoraa, tofauti. Design zangu wale mademu magube gube ya mtaaa kama mama Juma na Leila. Nikiwapata nafaidi tu ufundiii sina haja ya kumuelekeza mtu panua miguu sijui fanyaje, sina mda huo. Na kiukweli alivpanza sms hizi nikajua tu anataka nimpelkee mchi huyu, ila mimi walaaaaaaaa.
Zikapita siku 2 akaniambia karibu shule, tunafundisha. Sikuamini kama demu ticha, nilimchukulia poa, kichangu tu cha mtaani, nitombe nikale. Nikawa niko na boss wangu nikamwambia tu kuna teacher kanielewa kishenzi se,a mbaya mbaya tu. Boss akawa interested, unajua huyo teacher anaweza kutufaaa kwenye ku recruit ma pusher. Yeye si yuko shule kama za serikali hizi ana tu direct flani na flani watukutu na kwao njaa iko, tuna wasajili kwenye timu yake kama drug pushers. Laa nae vizuri teacher, wewe mu approach, tembea nae, akuamini, akishakuamini unakuwa u amuliza kuhusu wanafunzi wake afu tunamaliza kila kitu.
Mimi sio mtu mwenye akili nyingi sanaa, form 4 nimepata 3, form 6 nimepata 4 you can imagine my IQ. Sikutaka kumchallange boss wala nini, nikasema sawaaa. Akaniambia Siza usiniangushe nakutegemea kwenye hilo.
Nikatoka pale na kumtumia sms, shule gani baby! Ghafla tu status imepanda ,paka Bae. Akasema Azania, nikamwambia nakuja kukutoa lunch. Nahisi alihisi Mungu ni mjomba wake siku hio. Unachotamani kinatokea. Nimefika hapo shool, i wish mngemuonaaa alivofurahiii. Natambulishwa kwa walimu wenzie, rafiki rafiki. Nikaenda nae kariakoo kwenye biriani. Nikamuonesha maduka yangu na kumwambia chagua nguo. Nawaambia wafanyakazi huyu ni shemeji yenu. Hakuamini. Angekuwa mchawi na mshirikina angeenda kumuongezea mganga hela si kwa kuniroga huku.
Nikamrudisha na kumwambia basi jioni nyumbani. Akasema sawa. Nikamuelekeza home. Sio kwamba sababu nimetumwa na boss basi ndo nisifaidi mzigooo, weeeeeeeeee, nani kasema? Kazi na dawa. Jioni nimempikia wali nyama, wa ukweli kabisaaa. Kweli katoka shule, kaenda kwake kuchukua nguo, kaja. Akakuta nimepikaaaa.
Sasa namsikiza anaongea na simu, huo mchele unaendeleaje? Mnavoona tutavuna gunia kama ngapi, na mnavoona quality itakuaje. Sijui wakivuna ashapata mteja muhindi anataka aupelek India. Mara kuna trector kaagiza south africa, ishafika ni ya kutoa bandarini. Kama kuna watu wana mashamba wampe yeye tenda. Mmmmmmmmhhhh! Nikajua huyu demu simchukuliii poaaaa. Ila nikasema atakuwa analimiwa na mabwanaaaa. Na mimi kushe sipendi, nambana hapa hapa kama ana mabwana kama mnyalu, anakula kichapooo, akafe mbele yeye na wanafunzi wake.
Nikaanza kumdodosa, unalimaaa? Akasema ndio nalimaa, mbaraliii, kwenye kilimo cha kumwagilia, shamba la urithi. Nikamtega unalima kwa mshahara wa teacher. Akasema hapana dear, mimi nakop bank, nakopa vikoba, nacheza michezo, napamba harusi, napika keki za sherehe, naji shughulisha mda wote. Na kulima juu. Nikaguna tu mmmhhhh! Moyoni nikawaza kweli wanawake wabaya dili.
Baada ya kula, nikamfata kwenye kochi, anipe mzigooo, nikajua taleta za wait, ni mapema mnooo, yaani angenitibuaaa sio kidogo, walaa akawa willing tu kabisaaa. Nikamtega tu, romance tu siendeleiii nione jeuri yake ya kulima mpunga mtoto wa kike itaishia wapi.
Nikaona analeta mkono kwenye flies ya suruali, nikamdaka, huyu boya usikute anataka kunipima na mkono, akatangaze Siza bwana kibamiaaaa, au Siza kikono cha mtoto. Hahahaaaa! Asintanieeeee. Nikaona anaupeleka kifuaniii. Nikatulia kwanzaaa, nimuone tu mwisho wale. Nikajifanya sijui lolote wala jando sijafika. Akarudi kwenye flies tenaaa, mwanamke malaya huyu nae, ushadkwa mkono ila umo. Akaifungua zipu haaaa, na kunivua suruali. Mi nakubali tu sasa nifanyaje.
Akainuka akavua nguo zoote. Khaaaaaaa! Zoooooote. Mpaka chupi kaivuaaaa. Akasema ngoja niende chooni. Hii tabia ya wanawake kwenda kukojoa inanikera sanaa. Basi anaenda chooni mi nacheki tu mali za ticha. Akaja ngoja nichomeke simu chaji. Akainama aaaaa! Khaaaaaa! Mradi tu kunidorishiaaaa mali zake nizioneeee. Mi leo naenda style ya mbuzi mzeee. Kavaa cheni ya silver kiunoniiii. Kuona tu ile cheni nikajuaaa huyu mambo anayawezaaaa. Leila alikuwa anavaa ya Gold pureee, karat za kutoshaaa. Mwanamke malaya nae yule. Huyu nae kuku wa kienyeji sanaa ukimlinganisha na Leila.
Leila kmamake alijua mi sijui kuitumia ile cheni, nilivomupeleka mkoleni kwa matumizi ya ile cheni alisandaaaa mwenyeweee. Ananiuliza Siza nani kakufindisha kutumia hii cheni, mwanaume malaya wewe. Nikamuuliza wewe ulivonivalia hio cheni si ulitaka niitumie. Analalamika tu, mi matumizi ya cheni nilisikia tu Kungwi mama akimwambia mwali kazi yake. Sijawahi pata mwanaume anaejua kazi ya hii cheni exactly kama alivosimulia Kungwi, leo ndo nimekupata wewe. Heheeeeeee! Nikasema huyu teacher nae leo atajuuta kuivaa hio cheni. Isipokatika sijuiii.
Akajizungusha pale kabongoaaa, anachomeka simu, hahaaaa, angekuwa zanzibar huyuuu, na mikao mikao yake ya hatari kama hio sijuiiii. Akarudiii, akaendelea kunipa mamboooo. Kama nilivowaambieni wasomaji siku hio niliamua kuwa Kipa kama Oliver Khan. Sipeleki mashambulizi yoyote. Ukisikia dume shupaaa ndo nilikuwa mimi siku hio. Na dhumuni lilikuwa kumsoma mpinzani wangu uwezo wake.
Ujue sisi wanaume tuna pupaaaa sanaaa, kutaka kuonesha uwezo, na mwanamke nae nia hio hio kutaka kuonesha ushababi, mwisho mnakuwa mnanyanganyana uwanja wa kuonesha machejo. Matokeo yake wote mnatoka bila bila. Kila mtu yuko kwenye stress ya kujionesha yeye zaiiidi ya mwenzieee. Kama na Leila siku ile umekaa juu kidogo unampelekea michi 2 mi 3unashangaa ashabinuka yuko woman on top, unamgeuzaaa tena kumrudisha chini. Nidhamuuu ya mchezo inakuwa hamnaa kabisaaa.
Ndo maana leo ni eamua kumuachia Naila uwanja ashindwe yeye tu, ili nimsomeee kwanza na kumpa yeye wakati wa kuonesha uwezo wake, afu akimaliza kiu yake na mimi nitaonesha uwezo wangu huko mbeleni. Kwa sasa mimi naji enjoy tuuu, siumizi kichwa. Baadae na yeye nitampa raha.
Nikaona anababaika kama anajadili na halamshauri ya kichwa chake kitu. Akaniuliza eti dear una penda kushikwa Mic? Mmmmhhhh! Sijawahi kuulizwa napenda nini kwenye majambozzz! Hilo lilikuwa jipyaaaa. Nikasema napendaaa sanaaa, tena mnoo mnooo. Kwanini nisipende dear? Moyoni nikawa najisemea kama alikuwa analeta janja asitoe hio huduma imekula kwake.
Na Leila tulitibuanaa, anakwambia hashiki MIC mpaka uoge, na kuoga kwenyewe akusugue yeye mwenyewe kwa uhakikaaaa, ndo ashike MIC. Anadai wanaume unaweza shika MIC kumbe katoka kumla mtu kiboga hajajiosha vizuri, ukashangaa u augua magonjwa ya ajabu ajabu. Heheeeee! Ila wanaume sisi.
Akashika MIC, Mi nasikilizia rahaaa tu. Nifanyajeeee ndugu msomaji? Ulitaka nifanyaje? Nikamwambia inatoshaa, njoo ukalie mchi huu, dunia sio nyepesi heheeeee! Akajaaaaa! Ananiulizaaa "Eti unapenda viunooo au nisikukatikie nisije kukuchosha? Sijakuzoea so sijajua bado unapendelea nini?" Mmmmmmhhhh! Kama nalipia vile kumbe FREE P! Huduma ya private banking! Kila mda naulizwa nachopendeleaaaa. Dada zetu wengi mna assume, hamtuulizi wateja wenu tunapendelea nini? Ndo mambo mtu ana kibamia, mnakomaa kumpa manyongaaa matokeo yake mnamchoshaaa, mara ipo mara imetokaaa. Muwe mnatuuliza kama Ticha.
Nikamnongonezaa, napenda nyongaaa baby, nipe nyonga hizooo. Ticha ana nyongaaa! Hatariiiii! Whatever she lacked in looks, ame ki compensate kwenye maufundiiii. Alafu yuko startegic. Wanawake wengi wana crame. Wana assume wanaume wote tupo sawa kumbe sio. Akikaa juu yeye ana cremishaa kwamba hapa nakata maunooo. Sasa ukikutana na kipanga mimi nimeenda jando na niko kwenye pause mood, utanyonga mpaka center bolt ikatike, sikojoi. Kwasababu huwezi kupata balance ya kushuka chini unibanee vizuriafu unyonge umenibanaa, labda uwe kungwiiii. Ukikomaa kunyonga juu juu utapoteaaa, unless na mimi niamue kujishughulisha kukujiinua kuja huko juu, utakeshaaa. Nikamtega ticha kama atapasi test hii ya kupigana miti.
Akaanza kunyonga, kaona simpi ushirikiano, akaona hapaaaa, ni kufanya plan be, akaanza kuruka kichura chura, anapanda anshuka, akishuka nanyongaaaa, afu anapanda. Weeeeeee. Nikaona huyu sio wale wa mazoeaaa, ana pay attention mwenzie uko kwenye status gani, Afanyaje. Nikamuweka chiniii, mi nikakaa juu. Lengo nalo kumtega tu, woman on top ndo ngao ya unyago, nikampa kifo cha mende nione kwanza ufundi wake kwenye hii style mfu. Na kama nilivosema sijishughulishi naomba ndugu wasomaji muelewe sijishughulishiiii. Hata ile chubwiii, chubwiiii sifanyiiiii. Nahisi angekuwa Leila angeenda kuoga, angesema ushenziii gani huuu kmanina, wewe mwanaume shoga nini? Hahaaa!
Nikaona kanibana na miguu mgongoni kiasi kwamba kanilock sicheziii, afu ananipa manyonga ya hatariiii. Ayiiiiiiiiiiiii! Teacher hatariiiii. Hatariiii hatariiii. Sijui mnenguaji wa akudo impact huyu au FM Academiaa? Sio kwa minyongaaa hio. Afu naulizwaa kati, "Baby are you enjoying it? Baby do you like it? You like baby? You feelin me baby? " Nabakia kuitikia tu Yah baby! Kizungu zaidi. Leila hapo ni matusiiiii matupuuuu.
Yaaani mwanamke ana domo chafu yuleee, We mwanaume utanichanaaa, tumia kistaaarabu! We mwanaume sio sifa unataka utengue kizazi ama mbona fujooo, hio K tumia kwa utaratibuuu. We kaka wewe nakurudishiaaa hela zakooo nimekomaaa, sitakii, kama hela narudishaaa, nimesema narudishaaaa, kwani Sh ngapi! Hahaaaaaaaa! Hapo ndo anasifia shughuli hivo kwamba show sio ya kitoto.wanaotoa show za kitoto sijui yaani sijui kama hawaambiw we msengerema embu toma. Hahahaaaaa!
Ikaisha round ya kwanza. Nikaenda kuoga kwanza niwe fiti. Nikajua atataka aondoke labda. Kaenda kuoga mwenyewe. Na kuja kujilaza kitandani, manake baba goma lina kesha hili. Nikaenda kupakua chakula, nikasikia kalale tu nakuletea chakula. Mfalme juha nikaletewa msosi on bed. Naulizwa Nikulisheee? Hahahahahaaaa! Nikasema hapana mama. Wakati Leila ananitumaa kalete juisi we boya.
Nikaanza kupata mashaka kwa huduma hii sio Leila kamtuma huyu Naila kuna kitu wanakipanga juu yangu. Nikasema nitajua. Na watajuta kunifahamuuu hawa malaya. Nikaajikuta tu usingizi umenipitiaaa kuja kustukaaa saa 7. Bibi kashanifunika shuka, kawasha kiyoyozi, kalala hapo pembeni.
Nikaenda kwanza kunywa maji, nikaenda kukojoa, nikarudi sasa kutoa dose. Nahisi mpaka mda huo Naila ashapata mashaka huyu kaka mchicha mwiba sio bureeee, Hahaaaa! Sikumwamsha wala nini. Alistukaaa tu anapelekwa mashineeee huko huko usingizini. Akaamka na kutoa ushirikiano, akahisi bado mimi boya yule yule wa mchana. Mimi mnanijuaaaa wasomaji, mnanijua lakini! Haina kuuliza unapenda nini sijui nini, hupendi nini utajiju. Show ya kibabe tu one way. Nimemkunjaaaa, sijampa mwanya wa kufanya mbwebwe yoyote. Mpaka nikahakikisha kakojoa. Ndo nikamuachia sasa unaweza kulala. Zake zile zile Yah baby yah i like it, il like it, baby! Baaaaby! Shenzy wahid! Nikajilaza pembeni. Yaani nilimchanganyaaa na kumvurugaa teacher sio kidogo.
Kesho kaenda shule, siku nzima sms za kunitongoza na kunipenda penda siku nzimaaa. Jioni akaniuliza nije? Nikamwambia usije sipo. Umeolewa upewe mchi kila siku? Lala kwako bibie. Hakati tamaa hata usipojibu sms siku nzima, anakutumia tu. Mda mwingine nakuwa kama nina mashetaniii. Mnielewe tu wasomaji, zinaweza kupita siku 3 sijajibu sms wala kumpigia. Ila yeye hakati tamaa. Ananitafuta tu.
Siku hio nikamwambia njoo, akaja, hata hajaniuliza why was i treating her bad. She is always happy! Always. Wanawake na mimi tunawezana sanaa, nawanyanyasa nikishajua nimewanyanyasa nawapooza. Naila nikawa nimemuandalia zawadi. Kama kawaida kavua nguo zote, bado ana cheni lake la mmbati wa silver. Nikamwambia vua cheni hio. Akastukaaa. Oooh my, sikujua kama hupendi cheni za kiunooo, i tnought guys mnapendaa, kama huipendi haina neno ill throw it on the dustbin, akawa kaivua, kaenda kuitupaa kwenye dustbin mwenyewe. Nikampa kibox cha Sonara. Kucheki ndani kitu Gold OG. Hakuamini. Karat za kutoshaaa. Ohhh my God! Oh! Oh! Thank you so much. Wanawake wadanganye danganye na vitu vidogo vidogo unawapata.
Siku hatukuwa na mpango wa kuonana, akaja boss wangu tukawa tumeacha mlango wazi, hatakagi AC anakohoa sanaa. Tumeongea mambo mengi makubwaa makubwaaa ya kutisha. Kuhusu kina Meddy walipeleka mzigo China, wakafa na mzigo wameshatoka airport wakafia karibia na kwa Mpokeaji, wakawapasua maiti zao, na lutoa madawa wakaenda kutupa huko china barabarani. Ukisikia punda sio mtu ni pundaaa hana thamani wenye thamani ni mzigo tu. Tumeongea kuna mzigo natakiwa niubebe mimi, so nijiandae. Tumebwabwaja siri za kazi, si tu ajua tuko wenyeweee. Tumejiachiaaa kabisaaa. Anaondoka nimsindikize, tunatoka tunamkuta Naila kaka kibarazani. Boss alishtuka, mwenyewe nilishtukaaa. Akatusalimiaaaa.
Nikamuuliza uko hapa mda, yupo ndio, nimekuja nikaona upo na mgeni nisikuingilie. Nikamsindikiza boss, boss akasema mvhunguzee asije kuwa mpelelezi ujaji ujaji wake kwenye maisha yako unauelewa kweli? Ukimtilia shaka tumpotezeee. Nikamwambia boss ondoa shaka. Niachie mimi malaya jeuri hawa mi ndo kiboko yao.
Nimerudi na jazba kweli kweli akanidaka, huyu ndo boss wako? Mdogo hivo anamiliki punda, you should be your own boss. I am just saying! Like you should be the boss. Nikajikuta naahirisha kwanza kipigo nilichotaka kumpa nimsikize. Nikamuuliza wewe biashara ya unga unaijua? Ushabeba route ngapi bila kukamatwa? Akajibu i am not a dealer YET! Nikamuuliza Yet what do you mean by YET. Akasema sahivi i ,a dating you so lazima niwe kwenye hii business. I should support you in your hustles shouldnt i? I love you for who you are, i dont know shit about you, to judge you, i wont try to change you, you are who you are. And i will always love you for who you are. " Maneno yake yalinipa faraja sanaaa. Ujue sisi tulio mkono wa kushoto tunaonekana tamaa tu zimetujaaa. Watu wabaya, tunahukumiwa bila kujali nini wala nini.
Nikaamua tu, ill stick with her nione mwisho wake. Akawa anakazana you should be your own boss, nikamkatisha hapa mimi na yeye ni mapenzi tu mambo ya kazi tisiingiliane. Mi mbona simpangii mitaala ya kufundisha wanafunzi wake. Na yeye asinipangie unga wa nani nibebe au nisibebe.
Siku ya safari ikafika. Alikuwa so emotional. Nikamwambia kama ukiendelea hivi nitakuwa sikuagi, utaleta mikosi. Mi naondoka ila nitarejea. Njiani akaniambia kasikia Leila ana mimba. Ilinistuaaaa. Kidogo nisisafiri. Ila mizigo ya watu so lazima nisafiri. Kwa mara ya kwanza nilipata faraja kusindikizwa na demu wangu anejua nafanya nini, risk kiasi gani nachukua.
Nimefika kwenye ndege, naanza kujisia vibaya vibayaaaa. Nikajikaza. Nikafika dubai nika connect. Nimefika UK kwa shida sanaa. Kubwa nilikuwa najipa moyo Leila ana mtoto wangu siwezi kufa sasa. Not now. Atanizulumu yule mtoto.
Nimepita airtport salama kabisaa. Kufika nje nichukue taxi. Naona na zidiwa, Nikamwambia tx dreva twende hospital. Akanipeleka. Nikafika naumwa wanaona naumwa, nikamueleza Dr bwana nina drugs, nahisi zimepasuka. Akaniwahisha Theater. Kuja kustuka nimefungwa pingu, polisi hawa hapa. Nikoanaaa nimekwishaaaa.
ITAENDELEA KESHO.