The beauty and the beast!
My name is Naila, where i come from is not of vital i portance but what i am about to do in this story you should pay attention of it. Unlike Victoria my folks aint rich, that doenst mean i am poor either. Mimi ni tajiri wa roho. Like every body i have my own story but that is for another day. Today is today! Today is my day.
It started just like other days, the sun rose from West as usual, the weather was hot as usual, i could have been fooled it will be just like the other days. But it turned out the heavens ruled in my favor. Nilienda saloon kama kawaida, nikamkuta mke wa mnyalu kama kawaida amekuja na vifaa vyake.
For the record let it be known, kati ya Maria na Leila, i am Marrys fan, sababu she is humble, hajui kumlaghai mtu, anathamini kila mtu. Ukimsifia mama mnyalu umesukwa vizuriii, utasimia nakulipia na wewe usukwe kama hivi mwaya. Though on second thoughts i despised her weakness, patience, disability to nothing about shit. Alizidi uzembe na yeye.
Leila on the other hand was mean, evil, rude and disgusting totally and complately. Mimi nimeanza kuja hapa saloon kabla ya Leila, Leila alinikutaa, sema mashauzi yake kama kaibinafsisha saloon. Hamuwezi amini she hardly noticed me. Na mara nyingi naenda saloon ili tu nimuone Leila na kumsikiliza domo lake la upawa lina vo bwabwaja.
I felt something about her, i dont know what, and i am no homo, napenda michi hatariiiii. I just wanted her to recognise me, know me, maybe we could have been friends. But it never happened. Nilijikomba mpaka basiii. The fact her life got better and better and even better made me despise her. Mtu mpaka unawaza wenzetu Mbingu wamezibinafsishaaa jamaniii. Sio kwa vi smart hivooo. Every time akija anjifanya hanijui. Nikasema ok, my time will come one day. Maybe not today, maybe not tomorrow, but one day it will come. And if it does come i will be ready.
Leila alikuwa ana mabwana wa maana, labda sio mmoja ua wa 2 useme kaoteaaa. Mpaka nikajiuliza sisi tunaishi wapiii, ukikutana na bwana leo, kesho anakukopa uchi, asipokukopa uchi anakukopa pesa. Hamna unachoambuliaaa zaodi ya mashavu ya chini kukushuka baaass. Nikasema labda wenzangu wanaenda sehemu hizi kubwa kubwa, nimetembea sehemu kubwa kubwa zote hakuna bwana wala ushuzi wa bwana. Nikaona nimerogwa, nikasema nitembeee. (Nitembee msidhani naenda postaaa, nimetembea kuwanga na kuroga kwa waganga huko kununua ushirikina wa kusafisha nyota, kwa wataalamu) kote hakuna linaloeleweka. Ila mtaalamu wa mwisho akaniambia niliibiwa nyota ya mabwana. Akaniuliza wewe na uzuri wako huo, mara ya mwisho kuambiwa mambo na mtu barabarani lini? Sikumbuki ndugu msomaji, sikumbukiiiiii. Nuksi gani tenaa hiii. Akanifanyia wanga paleee, nikatoka. Nikasema sikai naenda saloon.
Namkuta Leila anasimulia jana kaliwa na bwana anaitwa Siza, mfanya biashara wa China, kampora 370, kampa mchezo mmoja kwa $500. Trust Leila, anadai mimi siuzi uchi kwa hela ya madafuuuu, uchi wangu sahivi unauzwa kwa $$$$ tu, huna $$$ tembeaaa. Na watu pale saloon wanamuona kama kimungu chao kidogo dogo. Wanammiminia misifa tu. Nikasema jamani kama kutembea nimetembea na mimi niwapate wa hivooo.
Kweli mganga yule mwanga as if kuna mganga sio mwanga lol! Kweli nikaanza kipata hi, honiiii, nalipiwa bili, nikajua kweli nyota yangu imerudi. Msinielewe vibaya mi sio mshirikinaaa, kabisaa kabisaa mi mtu wa Mungu. Walioniponza saloon pale . Tena Isha, isha mtu mbayaa sanaa kaniingiza kwenye kuwanga. Ila sirudii tena kwa babu. Isha bwna alisema watu kama kina Leila wangaaa, tena washirikina hatariii. Kila kitu wanawanga na kuroga. Hao mabwana hawapatikani kizembeee. Wote Leila na Vicky wanga ena wa PHD, manake Mke wa Mnyalu ni Mkinga, na mwanga yule mama katokea makete kwa wataalamu OG, ila kwa Leila katulia. Leila mwanga na anmfundihsa Vicky kuroga wima wima. Maana hapo kati Muhaya alisema anaoa, Leila anamwambia Vicky tembea wewe, watu wanastopisha kesi mahakamni ina watu zaidi ya 20 wanahusika, itakuwa ndoa ya watu wa 2. Sio mwanga huyooo? Basi Isha anasema anavomjua Leila mpaka kuchamba atakuwa anachambia makombe, nini kuoga?. Mmmmmh! Nikasema kumbeeeee, maninaa zao. Ananiambia naila tembea wewe, ufaidi maisha. Mpaka nikajikuta natembea kweli.
Today is my day maana nilienda saloon mzito, nimerudi mwepesi, kufikaa nakuta Isha anamsimulia mama Mnyalu. Pale kuna unafiki na kuzungukana hakuna mfanowe. Anamwambia mama Mnyalu, mtaalamu ulipo muendea Leila mpunguzie doziiii. Anaadhirikaaaa! Mama Mnyalu yupo eeeehhhh? Isha anajimimina. Kawa Kungwi mwenzio, njaa mbaya! Mama Mnyalu akauliza kungwi ndo nini na lafudhi yake ya kikinga. Akaelezewa. Akabaki anatikisa kichwa. Na tangu hapo alikutwa na mkasa kidogo afeeee.
Nasikiza kwa makini sanaa na mimi. Mama Mnyalu anauliza mkasa gani tena alienda kupima UKIMWI? Ishser anadakia si bora akapime UKIMWI akutwe nao, unaambiwa sahivi bora UKIMWI kuliko Cancer na Kisukari. Alitaka kuuwawa na bwana, kapigwa pigwa na ubapa wa panga. Anatufanganya majambazi wakati shoga ake Vicky kayamwaga yote. Kuna bwana rafiki wa Mangi, Mangi bwana wa Dr, anaitwa Siza, punda, Leila tamaa tamaa zake kamvagaa kichwa kichwa, sijui walitibuana nini ndo kumkwidaaa kwidaaa, piga kama mwiziiii. Unaambiwa kaburi kalichunguliaaa. Akapewa simu ampigie mumeo!
Mama Mnyalu akastukaaa. Mume wangu Mnyalu? Isha yuko ndio Mnyalukolo! Akaambiwa haya sema sikupendiiii, sikutakiii, hunifikishiiii, mambo kibaoooo. Mnyalu hatakiiii, unaambiwa hatakiiiii hata kumsikia wala kumuonaa leila. Yani huyo Siza kamuwezaaa sio kitoto. Kammalizaaa. Mnyalu na Leila imebakia story.
Mama Mnyalu hakuongea neno loloteee tenaaaaa, akabakia anaguna tu. Mpaka anaondoka akamgea Isha 100,000 utakunywa soda mdogo wangu. Mi nikashangaa bwana wa kumdhibiti Leila ni nani? Ana nini huyo bwanaaaa? Namtaka kwa gharama yoyote. Hata kuloga nitaloga tenaaa ila namtaka leo kesho.
Nikamfata Isha, Isha umekula? Akajibu sijala! Nikamwambia agiza kuku. Akaagiza. Mkongo anauliza mbona kama Isha amepanda bei siku hizi baada ya utawala wa Leila kusambaratika. Nikamwambia Isha dada angu nataka namba ya huyo Siza, kwa gharama yoyote. Hata tako nitampaaaa. Ishaa akastukaa! We huyo Siza unamjuaaa mpaka utake kumpa tako? Nikamwambia simjui, ila tutajuana mbeleni. Isha yupo baadala umtake Mnyaluuu unamtaka huyo punda wa nini? Mi nakutafutia namba ya mnyalu. Nikamwambia Isha usinitanieeee, nataka ya Punda, ukifanikisha nina 100,000 yako.
Mkongo anasema yani Leila anajiuguza huko, mshaanza kugawana mabwana zake. Hahahaaaaa! Kweli dunia yetu sote. Akaingia Dr. Isha anamnongoneza nonhoneza nikajua tu anamwambia amuombeee namba ya siza kwa Mangi. Dr. Akasema kwa nguvu siweziiii. Mimi na huyo mtu baaaaaasss! Alichomfanya Leila mnataka ajue nimegawa namba yake aje anitatue marinda? Tena atatutatua na Mangi kwa collaboration. Wewewe Leila mnamjuaaa ila aknywea kama mkate kwenye chai afu mi ndo nijitie komandooo kipensiiii.
Nikajikuta nimeingilia na kuuliza, kwani maskani yake wapi huyo Siza, mi na hamu tu ya kumuonaaa si kwa kumdhibiti kubwa la maadui Leila. Dr. akasema yule maskani yake ni Kinondoni. Alipokuwa anapika Mangi chipsi zamani. Akanielekeza. Na kariakoo ila sijajua kariakoo kwa wapi. Ila ukifika kino muulize hata mtoto Siza The Don utaoneshwaaa. Nikabadilisha story.
Msinichukulie poa, mi ni mwalimu wa sekondari, na heshima zangu, na wanafunzi wangu wana noheshimu hakuna mfanooo. Mchana baada ya shule nika drive Vitz yangu mpaka kule, mikopo inatuokoa walimu. Nikafika, kuna mpika chips mpya. Nikaagiza, nikala. Nikiwa na kula nikasikia, Siza The don himself, watu wanafagilia fagiliaaaa sanaaa. Kugeukaaaaa.
Mkaka mtamuuuu, nikasema Leila knyoko kamuuzia huyu kaka papa. Manina kweli kweli. Nampa bureeeeeee. Bureeeeeeee kabisaaaa. Simchaji hata 100. Na haha namuingiajeeeee. Nikajikusanya na kujasiria dushelele nikamfata Mambo, anajibu poa hata haniangaliii. Not that angeniangalia ingebadilisha kitu, cause i am very plain. Sina tako wala sura, wala guu. Nipo mradi nipo.
Nikamwambia Siza nakuomba pembeniii, akaniangalia kwa dharauuuu, moyoni nasema we niangalie kwa zarau tu ila hata ukitaka tako nakupaaa. Akasema sema hapa hapa. Niakwambia Dr. Kanipa ujumbe wako. Akauliza Vicky yule mchaga? Nikasema ndiooo. Akaja kama sio yeye niambie. Nikamwambia anakusalimia tu! Mmmmmhhh! Akanikata jicho, Nikadakia kasema hivo hivo nikwambie wanakusalimia yeye na Mangi pia. Akawa akama anachuja. Kweli uko serious kakutuma uniambie hivoooo? Nikajikaza ndio.
Akatoa simu mfukoni.Chupi niliona ndogo K yangu kubwa, haitoshei. Akapiga namba haikupokelewa. Akasema Mangi hapokei, nipe namba ya Dr. Namba ya Dr. Sinaaa. Ila ya Isha ninayo nikampigia isha akanitajia nikaishika kwa kichwa. Nikamtajia. Akaipigia. Vicky alivopokea kwa ustaarabu alijua mgonjwa, akasikia Siza hapa. Akakaa kimya. Siza akaendelea Salamu zako nimezipataaa hapa toka kwa ... anaingalia nikataja Naila! Kama Mungu tu hakujibu kitu. Siza akamwambia mwambie Mangi apokee simu yangu nimemsiii hatari. Akasema sawa nitamwambia, akakata simu.
Siza akabadilika akawa mcheshiii, we yule mchaga mnafahamiana vipi. Nikasema tunaenda saloon moja. Aaaaaaaahhhh! Akauliza yule shoga ake Vicky yupo simuoni oni? Nikamtega shoga ake yupi? Akazuga mi simjui ila ana tako tako flani hivi, mbaya mbaya mtu wanaambatana sana, wanamuita sijui Leila, nikasema knyoko ushapenda matakao huna lolote. Nikamwambia hayupo yule karudi kwao kuwa kungwi. Akastukaaa! Kungwiiii? Nikamwambia sijui ila ndo habari za kitaa, mama ake si kungwi yule, ndo kae da kusomea achukue mikoba. Siza kasem Si atauaaaa, pale tupu mjimvi, ila sema yake kama design anaiambia ,wenyewe. Nikamuuliza uansemaaa? Akase,a aaah hamnaaaaa.
Mimi ndo Siza, nashukuru kukufahamu, Mangi mtu wangu sanaaa. Ukitaka chochote Kino nione, kama mtu wa Mangi, basi mtu wangu. Akili ikanijia nikajiongeza nataka fremu. Akase,a chukua namba yangu akanitajia nika isevu, kesho nitakuulizia. Afu nitakupigia.
Nikajua kwangu mimi Naila, mchezo umekwishaaa. Njiani Isha ananipia anasema Vicky katukanaaa, katulanaaa, yaani kaharishaa kwamba kwenye umalaya wako usiweke jina lake. Kama unauza tako uza kwa mpango wako sio kumtaja taja na bwana wake unamtaka au vipi kwanini uwataje taje. Nikashtukaaa kweli kweli. Ila namba ya Siza ninayo.
ITAENDELEA KESHO