Duh....Pole jamaa !Jana hamu yooote ya ku smash iliyeyuka....ubuyu ulikuja umelowekwa kwenye pilipili kichaa.
Yeah leila mpaka kufaaaWatu mna moyo? Varangati lote lile bado mpo upande wa Leila tu?
Kuna kiumbe alikua anaitwa Walter timbwili lake lilikua halifai. Hii ni kwa wale wasomaji full time sio day scholars wa kutwa....
HatarLol wolter si yule mafia jambazi mtaa mzima ulikua unamuamkiaaa hata yupo mbaliiiii teh kina Harris Gill stancy Tracy the gay haha Hidaya wa yanga damdam mjedaaa lol iqra mwarabuuu
Sisi drunkards wa story za lara ndo tunawajua wahusika
Lol wolter si yule mafia jambazi sugu mtaa mzima ulikua unamuamkiaaa hata yupo mbaliiiii teh kina Harris Gill stancy Tracy the gay haha Hidaya wa yanga damdam mjedaaa lol iqra mwarabuuu
Sisi drunkards wa story za lara ndo tunawajua wahusika
Members wa kudumu baraza la sanaaa utawajua Tu. Harris alikua anampeleka Stacy Siza arudi shule. Tena kuna siku alimtwanga za chembe moyo huku dada wa watu anawafadhili...kuna njemba inaitwa Osokoni haujaitaja. Guberi la free P
Hahahaha! Nimemkumbuka, mjeda, mangi aliemfanyia mauaji nan yule kule zanzibar na yule muhaya alelipa mahali yote ikabidi arudishiwe chenji, oooh! Lara 1 uishi miaka mingi, ila story ila story iliyonisikitisha ni ya fr alivyokufa
Tehtehteh the return of osokoni lol
Harris masikini jeuri yule
Alinifurahisha ile siku alipomchezea akili G kwa kujificha kwenye maua badae karudii
Kuna ileee moja kitambo sana ya kubwa lao kumtoa kigori wa watu kimasomaso bikra wawatu kutafutiwa vichwa lol lara hafai hata kwa kulumangia
Huyu lara 1 Leila mwenyewe hatii mguu. Kama ni mpira anacheza namba zote kuanzia kocha refaree, kamisaa mwamuzi, mshika kipendera hadi wachezaji wa akiba.
Team Walter.[emoji2]Kuna kiumbe alikua anaitwa Walter timbwili lake lilikua halifai. Hii ni kwa wale wasomaji full time sio day scholars wa kutwa....
Team Walter.[emoji2]
Lol wolter si yule mafia jambazi sugu mtaa mzima ulikua unamuamkiaaa hata yupo mbaliiiii teh kina Harris Gill stancy Tracy the gay haha Hidaya wa yanga damdam mjedaaa lol iqra mwarabuuu
Sisi drunkards wa story za lara ndo tunawajua wahusika
Naomba link ya hiyo mkuu
Wee search tu:
-Weekend story: The workaholics silence
-Weekend story: DESPERATE
- Weekend story: Bad wives
-Weekend story: YANGA ( Naipenda yanga shabiki wa damu)
Etc
Weekend Story: You Can't Handle The TruthNaomba link ya hiyo mkuu