The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,646
- 47,255
Si kwa kuukalia woman on top muamala urudishwe, haaaaaaa! Namnyonya mtu damu.
Afadhali unyonye damu kuliko kupiga vyombo roast. Nimecheka sana hicho kipande.
Si kwa kuukalia woman on top muamala urudishwe, haaaaaaa! Namnyonya mtu damu.
Siza kaaribu sana sikutegemea kabisa maana nilishaanza kumkubali
MH! lara 1 si ndio Leila mwenyewe komando kipensi no retreat no surrender, no escape from Sobibo ntamuweza wapi Mie? Nilishakwambia Mie Mujuni, njoo gheto Na shuka letu moja tujenge maisha....
Amna bhana ni kweli alimkosea mangi sana ila siza kaaribu kwa leila sijui wakikutana tena itakuaje yanAaah wapi. Leila deserved all that kind of shit. Sio kwa ukatili ule aliomfanyia Mangi. Tatizo kisasi chake Ni afadhali ya kikosi kilichoenda kumuua Osama...
Si kwa kuukalia woman on top muamala urudishwe, haaaaaaa! Namnyonya mtu damu.
Manhood is a Challange.
Nikarudi majogooo kulala. Kuamka nikaona sms hela zimerudi. Moyoni nikasema HII BONGO DARESALAAM ALIEUZA CHENI BANDIA, KAPEWA PESA BANDIA. Maninaaaa kweli. Nikaona missed 10 Leilaaa. Nikaingia kuoga. Haliwi mtu kiboya boya. KWANI TULIANDIKISHANA?
ITAENDELEA KESHO.
Khakhaakhaaaaa ila lara jamani eti ingia kwenye jaba khaa!! sio ngongoti kweli
unajua kufumaniwa au unakusikia wewe!?? kuna mtu aliwahi ingia chini ya sofa (kwa kuchana chini)..alikua anamkamua mtu sebuleni kwao mara ndinga ya mshua inapiga honi getini..(siupendi utoto!!)
Dahhhhhhhhhhh balaa hivi amesema itaendelea lini vileee!???
Lol nasubiria reaction ya mnyalukoro kwa hamuuuu
Bado Leila akipona wazimu wake siupatii picha
Usomaji wa kulevya!