Never under estimate your enemy!
At first i was playing a game with Leila, then it got out of control. I under estimated her the first time. Ila kwa makosa niliofanya mara ya kwanza nilijifunza vitu kadhaaa. Na siku ile sikupanga kumdhulumu ila nyodo nyodo zake ndo zilizonikeraaaa. Nyodo za ovyo ovyo huwa sipendi. Bora nyie wasomi kidogo mnakuwa na uvimilivu, sisi ambao shule hatujaenda hatupendagi ujinga kabisaaaa. Kabisaaa, kabisaaaa. Afu nyodo ukute unafanyiwa na Leilaaaa, weee unaweza jiona choo ukahisi mzigo wa kwenye boxer mwepesi.
Kwa nyodo nyodo zake zile nikawaza kwanza nalipia nini? Nishaonekana mimi sina thamani, free p, mwanaume korodani tu, na bado pesa initokeeee. Thubutuuuuuu. Atakula jeuri yake. Na kumrudishia pesa sikuwa na nia hiooo. Kiendacho kwa Ceasar hakirudiiii. Sema strategy ya kumuonea mangi, sikuitegemea. Kosa nifanye mimi afu adhabu apewe Mange ndo utu huo?
Adhabu ya kwanza ilinichefuaaaaaa, kumu attack a hardworking man, on his legal business ambayo amepambana sanaaa kuifanikisha na kufika hapo, hajamkosea chochote kile, yaani ule utu tu wa kawaida, common courtesy hanaaaa. Kuwaza japo pesa ndio anazo ila huyu pia nae binadamu kawekwa duniani na Mungu huyu huyu , ananfamilia, ana watu wanamtegemea, na above all hajamkosea chochote, yaani chochote as in CHOCHOTE. Ugomvi wangu mimi na yeye why amuonee Mangi.
Acha psychological damage aliopata ya kuwa attacked, bila sababu yoyote, bila kumkosea mtu yoyote, na Leila namjua aliongea shit sanaaa za kumnyongonyeza Mangi, nikasema no sweat, mtu ana vikoba, ana michezo afu unambebesha msalaba wa mtu mwingine, kweliiii? Hata kuwaza kidogo tu? Nikamfidia pesa yote aliotia hasara nikahesabu Leila hanidai hata kumi, cause pale kabati alivunja la 450,000 la alminium. Biashara aliomwaga ya 1m, acha mafuta, na vitendea kazi vingine. Nililipa pesa zote.
Sijakaa sawa nasikia wamemvamia tenaaa, wakiwa na silahaaa. Mangi muogaaa yule wa chamotoooo. Ooooh! Alikuwa anafanya kazi za uhasibu, kuna siku wakipeleka pesa bank, wakaotewa na wazee wa kazi, waka wa tigt na SMG, ndo mwanzo wa Mangi kutorudi kazini na kuamua kushika jiko kupika chips. Chomotooo baba cha moto ndo anasemaga.
Walivomvamia Mangi karudi kwao kijijini, mtu na degree yake, he was doing good. He was doing great. Leo hii aje arudi kijijini, na unaambiwa anaenda kukojoa na bibliaaa. Anasema roho wa mauti kamzunguka. Niliumiaaaa sanaaa. Mno mnooo mnooo. Nikaona tu LEILA HAS TO BE STOPPED, BY WHO? Nikaamua tu Familliah! Najitoa muhanga kumthibiti. How many lives could she destroy if not stopped? Tunavomchekea itafika siku ataua mtu kabisaa and it will be too late to do anything. Kumfufua mtu hakuwezekank.
Fine his dad raised a little miss monster, as the accupants of this world we are supposed to correct his mistakes to make this place a better world for all of us. Mangi mimi nimemjua baada ya kuwa kuna kipindi sikuwa na kitu kabisaaa? Nikawa nashinda bandani kwake. Nashinda njaaa. Mangi anasema mpeni chips na pande huyo. He is that kind of guy. Kind hearted. Ni mtu asieweza kukupa chipsi kavu wakati mapande ya nyama yapo mengi tu. Anajali utu wa mtu, kwamba huyu nae nyama anazipenda kama sisi sema hana tu uwezo. Very rare people kama mangi. Ukatili ule angemfanyia yoyote ningemfikiria ila sio Mangi.
Mangi unamkopa kwa riba, anakukopesha bila riba. Kiroho safi. Namwambia Mangi naanza kubeba unga alinikataza katu katu. Na hajui kama ndo kazi yangu. Nilimdanganya Mzee kanikubali amebipa mtaji. We mtu akukatae mpaka uwe mkubwa ndo akukubali. Mimi sio ndugu yake ila ilimuuma kwamba nitafungwa jela, yaani ana utu sanaa mangi basi. Nikajiapiza Leila nitachomfanya, all her gathered confidence over the years she can ran and ruin men while nothing happens, nitaiyeyusha kama barafu kwenye moto. Ilaa reduce her to nothing and restore fear of men in her.
Akiona mtu kavaa suruali ajitafakari upyaaa. Hatogawa papa tenaaaaa. Sex itaingia shubiriiiii kwakeee. Yaani mwanau,e akimuita atatimkaaaaa mbiooo, atatoka relay na race kwa mpigooo. We muacheeee tuuu. All i need is a game plan. I knew she is smarter maybe even more than what i give her credit for. Na nilijua consequences, ningekoseaaaa mahesabu korodani zangu halali yake. Na ndugu msomaji huko mbele ukisoma Ceasar kawa shoga, anapaka lipstic nanlipshine, na kujilegezaaa, mjue tu ni Leila, wala msiumize kichwa. Kumngoa simba meno kuna mawili. Ama uliwe au umuue. And all are possibilities.
I dont know, what pained me more, that i loved her, and what she did to Mangi was a final straw that we will never like NEVERRRR happen, or that why did my heart have to fall someone devious as Leila? Why? Why? Why? Cant i just be happy like other people. Either way justice had to be served.
Nikamfata kwanza kwake usiku ule ule. Nikamuonesha kibundaaa, namjuaaa. Shetani lake liko kwenye pesaa, nikajifanyaaa sielewi elewi. Akafungua. Kiukweli mi pale niliamua nimle one last timeee, because our future was very uncertain. And i dont regret one bit. Si mnajua goodbye sex zinavokiwa tamuuu.
I never knew Mnyaluuu. I knew she got powerfull men in her pants, i just didnt know exactly how powerfull and how far were they willing to go for her. Cause mangi alivoniambia kaja na mkaka na SMG, nikawaza come on, mwanaume gani choko anaeweza kuwa influenced na leila to harm a harmless soul kama Mangi, rgardless ule wizi niliomuibia sio wa kusaidiwa na bwana wako anaejielewa rijali kudai haki zako, ikumbukwe nilikula mzigo. Come on! So alimwambia nimekula mzigo nikamtapeli aje amsaidie kudai or what the fack was going sikuelewaaaaa.
Him showing up unexpected pale kwa leila, and the fear he installed on leila, i knew he was POWERFUL beyond my expectations, and the feelings he had for her were not of this world. As long as huyu falaa wa kinyalu yuko on leilas side, Leila will win all and every war waged upon her side. She will forver be queen and ruin men like me and Mangi as long as she felt like it.
And the way nilivokuwa nafatilia mtanange from the inside jaba, mwanzo niliwaza nitokeeee tu kutibuaaa tu mambo, and that he will never forgive her, ila on second thoughts nikajua hawashindwi kuniua na kwenda kunitupa baharini na jiwe la kilo kumi na wakaendelea na mapenzi yao kama kawaida.
Na yule bwana nikawa namsikiza tu nikajua haingilikiii useme umpelekeemajungu Leila sijui kafanyaje, nimemtombaa, atakutwanga shabaaa ya korodani ubakie hanisi, na Leila aendelee nae. Nikapitisha uhakiak huyu bwana ndo jeuri ya Leila. As long as huyu mnyaluu yuko kwenye chupi ya Leila, we are powerless, complately powerless.
Alivoondoka, nikamla Leila kwa hasiraaa kali sanaaa. Na frustrations, na kila kitu. Nikaamua the plan must go down tonight or never. Maana niliona elements za mistrust kwa Mnyalu. The timing could never be more perfect.
Baada ya kumla, nikamuuliza nguo ziko wapi, njaa inaniumaaa, naenda American chips, majira ya saa 8 usiku. Akabisha bisha, akanipa na gari lake niende. Nikaenda kwangu nikachukua dawa ya kupumbaza kwa mda mfupi. Nilishaiandaaa kabisaa maana nilijua Leila kama gwajima, ana ulinzi wa madude, japo gwajima wake wa Mungu, huwezi kumbeba hivi hivi. Lazima ana mashetani, na yakipanda hizo nguvu zake sio za dunia hii. Sitoweza kumbebaaa akiwa mkavuuu. Lazima angepandishaaa, na angepandishaa ningekuwa halali yake.
Nimerudi na chipsi, nikampa juice, nishaichoma hio sindano. Akanywa, akaanza kulegea, namwambia waite wale majeshi yako yakusaidieee! Sijui alishahisi nataka kumuua, akabakia kusema "Mama nakufaaaa, nakyfa kizembeee kabisaaa" akazima. Nikamfunga kamba za mkonge zilizosukwa za kufungia ngombe. Nilimfunga kisawa sawa. Nikambeba kuelekea nae poriniii.
Nikachimba kaburi la kishkaji kabisaaa, nikamshikia na panga. Akaja kushituka matekaaaa kama Roma. Hakuaminiii. Akawa anasema damn me, damn me. Yale madude yangu yalishajua hiki kitatokea. Damn me! Damn me 100 times. Baadae akapata ujasiri kuwa kama ningetaka kumuua ningeshamuaa. Akaanza kuleta mdomo mdomo wake.
"You mother facker, gay prick, kama mwanaume kweli i dare you niueeee. Wewe si kidumeee? I dare you. Nilimtandika na ubapa wa panga lile, nilimpa kichapooo, mateke ngumiii, mwizi mwenyewe hapigwi vile. Na hivi hajawahi kupigwaaaa, alikiona cha mtema kuni. Nampiga namsomea mashtaka yote, yote. Nilimpigaaaa. Na hisi alichokuwa anasema moyoni mwake nikitoka hapa huyu namla nyamaaa, korodani zale nazipika roast.
Akaanza sasa kuyaita madude yake yapande, akiyaita namwagia maji ya baraka. Nilikuwa full. Anashindwaaa, anabakia kupiga moyowe tu. Ikafika point yowe haitokiii. Namuuliza leilaaa ina la kusemaaa? Kimyaaa! Una la kusema kimyaaa. Ashaona hapa kifo nje nje. Leo ndo siku yake.
Nilipojiridhisha kabisaa huyu hapa hana jeuri tenaaa, nikachukua simu yangu na kumpa instructions "SASA TUNAMPIGIA MNYALU, UMUELEZE KILA KITU AS KILIVO KUWA, UKIRUKA HATA DETAILS MOJA UJUE KITAKACHO KUKUTA NI ZAIDI YA HAPA. SITAKI UDANGANYE, NACHOTAKA USEME TU UKWELI, KUANZIA KUKUTANA, PESA, MI KUCHUKUA PESA ZA MNYALU, FUJO KWA MANGI, ULIMLAGHAI VIPI AJE NA SILAHA, MI KUJA TENA, JABA NA KILA KITU. MWISHO NATAKA UMPE CHOICE MNYALU KAMA ATAKUPENDA HIVO HIVO BAADA YA KUJUA UKWELI WOTE. HII INAITWA TOBA ILIO YA KWELI. MAYBE JUST ,AYBE UKIREFLECT MATE DO YOTE KWA KUHADHITIA ITAKUSADIA KUJUA U EFANYA UOVU KIASI GANI. Ukitubu hapa utakufa kwa amani. Usipokufa hakikisha unanilipizia, hata kama si maisha haya, maisha yajayo.
Alitoa macho, nawaapia wasomaji jicho lingekuwa linaweza kucho oka lingechomokaa. I saw the fear in her eyes. Nikachukua fingure print yake na kyfungua simu yake. Nikakuta chats za mnyalu, nikachukua namba, nikapiga na kuweka loud speaker. This was gonna be good. Nikaweka na recording kabisaaa.
Ikaitaaa! Akapokea mnyaluuu! Halooo, kwema hukooo? Mbona saa hizi? Uzima upo? Hii siku ikiisha salama hii nitashukuru Mungu kilammda tukio jipya. Aya sema nani wewe usiku huu. Akinicheki nimeshika panga. Akaanza kwa risala ndefu.
"Mnyalu mi na wewe tumetoka mbali sanaa" Akastukaaaa! Leilaaaaa! Mbona kama unalia, afu anamba mpya, si nimekuacha kwako we mda si mda?" Nikamkata jicho na kushika kiarage kama nataka kumtahiri, tohara ya uzeeni, na yule uchi ofisiii. Leila akaendelea. " Nashukuru kwa kunipenda miaka yote, nitakushukuru milele, nakupenda sanaaa, sanaa, hakuna mwanaume aliekuwa mwema kwangu maishani, mpaka nakufa hatotokea." Kwiki kibaooo kati kati. Mnyalu akasema "Leila nakata simj, usiku huu saa 9 hii. Ujinga sipendi, utaniambia hayo asubuhi." Hukj nikashika tena kiharage. Leila akawahi subiriii subiriii mnyaluuuu.
" Mimi, mimi hapa, Leila mda mwingine nakuwaga nimelogwa, sijui mashetani, sijui napitiwaaa, sio mimi kabisaa ni nguvu za giza, nakiwa sio muaminifuu...." Mnyalu akasema "Nakusikilizaaaa endelea!" Kwenye ile safari, ile pale ya mweiz wa 1, ile ulionipa million 15, ile ile eeeh, nilikutana na mkaka, sasa huyo mkaka, tukapotezana, hatukufanya chochote mnyaluuu, naapa kwa Mungu. ..." Mnyalu akadaika "Leila najua unatombwa sanaaa, maadamu hutombwi mbele zangu mi naridhikaaa, just dont make me catch you. Can i sleep now?" Nikadakia mimi "we pimbi sikiliza mpaka mwisho." Mnyaluuu alistukaaaa! Leila uko na mwanaume hapo na ananifokea mimi, mimi leila, mimi mnyalu mimi? Sijawahi tamani kujinyonga kama leo, na yote niliokufanyia mema?" Nikawambia we pimbi sikiza mpaka mwisho. Kukawa kimyaaa. Sijajua kilichomuuma mnyalu kuitwa pimbi au Leila. Leila akaendela
"Sasa huyo mkaka, nikalala nae kidogo tu hata sio sanaa, kidogo tu, akaniibia hela zako pia akanitapeli hela alizo niahidi. Sasa nikaenda kumdai Mangi, akahama, sasa tena, nikakudanganya Mangi kanipiga dole, ukaja na SMG, nilitaka Mangi anitafutie huyu mpenzi wangu, (aliitamka kwa kuuchungu sana hio mpenzi kama koo liliwekwa makaa ya moto). Jioni ndo akaja na zile hela nilizokupa, tukalala wote, ukaja ukanikuta nusu utufume, nikamficha kwenye jaba, na nguo zake kwenye washing machine." Mnyalu akauliza "kwa hio unaniambia mimi yote haya ili iweje?"
Leila akinicheki anaona jicho linamuelekeza, " Ili tu ujue ukweli wote mnyaluuuu, ili ujue ukweli wote, nikampora simu na kumaliza "Ili ujue ananipenda sanaa, na hakutakiii tenaaaa, tena mkomeeee, kwanza kasema wewe kibamiaaa, mi namkaza vizuriiiii. Upo?" Mnyalu akamuuliza "we leila mi kibamia changu umekionea wapi?" Nikastukaaaa! Nikakata simu. Sikutegemea hawajatiana mda wote huu, they looked they know each other like forever. Nikascreen shot convo zangu na leila, miamala ya mpesa, na hio audio nikamtumia ushahidi wote incase bado ana doubt. Nikamwambia tu "Dont take it personal, the girl just likes me." Akajibu "kama Leila nimemshindwa mimi wewe hutomuwezaaa, jaribu lakini utaniambia. Save namba yangu. Hahahaaaaa! Nikajua tu pale, its over, its over now, move over!
Nikambeba na gari, nikamtupa nje kwake. Nikajua bila mnyalu, she is powerless, na toture niliompa, hatosegea pande hizi, milele. Nikarudi kwa Mangi, na kumwambia kisasi chako nimekulipa. Alikuwa mkaliiiiiii so so against everything i have done for him, to avange him. Alichachamaaaa, akaniita shetaniiii mtu, kwanini nifanye vile, after all Leila despite everything is just a woman, maybe little loved utotoni ila sio kwa nilichofanya. Isitoshe akimwambia Vicky mambo yatazidi kuharibika kabisaaa. I had no right whatsoever. Hakujua mimi shetani kiasi kile. Hataki kuniona maishani mwale tenaaaa.
Nikaja kusikia tu, Leila alilazwa wiki 4 hospital, na Mangi alikuwa anaenda kumuona frequently, bila Vicky, yeye Mangi kama Mangi. Nikashindwa kuelewa kama wanatakana au vipi? Sielewi ndugu msomaji, sielewi. Ukute yote yale kumbe walipendanaa, na ile njia ndo walikuwa wanaonesha wanpendana. Sielewi ndugu msomaji sielewi. Kuna mtu akaniambia kila siku jioni Mangi anamzungusha na wheel chair bustani pale hospital, wanachekaaa kabisaa, oooh, wanakaa masaaa. Ikabidi nikachungulie, na kjjionea, nikabaki SIELEWI.
ITAENDELEA KESHO.