The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,608
- 47,085
Dahhhhhhhhhhh balaa hivi amesema itaendelea lini vileee!???
Lol nasubiria reaction ya mnyalukoro kwa hamuuuu
Bado Leila akipona wazimu wake siupatii picha
Bwana weee unafikiri anatabirika basi, anaweza kusema itaendelea baadae, ukashangaa kavamiwa na siza mara waanze kufichana kwenye majaba shida tupu. Inabidi tu tuendelee kuchungulia kila mara kama ametupia dude. Munkari ukimpanda anarusha vitu viwili kwa mkupuo usiku mmoja.