Kungwi kaokoka mkubwa.. sema hizi lugha ni za kitasnia tu..au kwa vile kaomba bia? Maneno tu hayo ila umoyo ku Yesu!
Karibu mke mwee![]()
![]()
npo mke mweee
Mama Yeyoo nimeamua tu kiroho safi nikae pembeni rafiki. Naona ubuyu umekuwa ubuyu kelikweli, aunt espy kanikaba koo sipumui sifanyi chochote... na mie kawaida yangu ni kijiepusha na matatizo kabla hayajanikuta. Nilishaambiwa na lara 1 kujiepusha na matatizo haimaanishi mie ni dhaifu..japo yeye mwenyewe komando kipensi, mama ubaya kubwa la maadui surenge rambo checki noris balaa tupu.
Nimenawa rasmi Mama Yeyoo...naumia kama Msomali alivyokua anaumia kimyakimya kwa Sally pale mwanzoni mwanzoni.







Aiseeh mimi zote kwangu ni best kwakweli mana kila nikisema nichague nashindwaHivi katika story zoote za lara 1 ipi unaipenda zaidi maana zote ni nzuri na tuna jifunza na ku enjoy sana lakini naamini kila mmoja anayake ilio zidi zinginge so fungukeni wapendwa
Mimi kwa upande wangu naipenda zaidi DARE THE DEVIL AND FACE UR OWN GHOST
Naombeni majibu fan wa story za lara 1 akina
Samaritan espy Shunie Heaven Sent carbamazepine -KANA- Tarime one MUDUKU womanhood PSNO lara 1 The Don mahondaw G Magpie sherberry Linamo Manga ML Latoya Gertie Papizo binti kiziwi Mr Q griffin2 moneytalk brenda18 and everybody else
PLZ nijibuni wakati tukisubir muendelezo wa episode inayo fuata
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXLNaona sahivi mnapenda midude ya XXXXXXXXX tuuuu. Sasa wasomaji wangu nchi huru nawapa chansi la kuchagua NIWALETEEE DUDE LA XXXXXX AU DUDE LENYE MAFUNDISHO KAMA LA WINI. WAHENGA WENYEWE WALISEMA WENGI WAPEEEEE. SASA MNA 10 MINUTES ZA KUCHAGUA.
Tunapoelekea nitakuwa muandika story za XXXXXXX. Mbona hivo lakini wasomaji

