Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,876
- 183,180
Ngoja niwaombee tu, maana hamna namna.Hahaa wanakutia majaribuni na "control"
Ngoja niwaombee tu, maana hamna namna.Hahaa wanakutia majaribuni na "control"
Hahaa watu wanapenda ile kituBasi hamfai kabisa.
Waombee tu mama Mchungaji juniorNgoja niwaombee tu, maana hamna namna.
Eti umesema!!!! Ngoja kwanza nisome.Daaa kweli nina roho mbaya. Yani Sally nimekupendajeee, wapi team Dee? Tonny kwa niaba ya msomali, tunakushukuru sana sana.
Habari ya Dee na pendo muachie Dee[emoji23][emoji23]Teh nampenda Dee akitulia na Pendo na mwanae[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Never underestimate msomali aisee
Haha kasome mama, ila kunywa kwanza maji ya baridi urelaxEti umesema!!!! Ngoja kwanza nisome.
Mimba bahati mbaya[emoji2][emoji2]Pale unapopata mimba ya mtu hata haumpendi
Inawezekana hakuisoma hii sehemu!Habari ya Dee na pendo muachie Dee[emoji23][emoji23]
Hakuna namna azae tuMimba bahati mbaya[emoji2][emoji2]
Haha nashukuru ndo sehemu ilowanyima chance kwa Sally woyooooooInawezekana hakuisoma hii sehemu!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
- KANA -
Na za hivi hata ukitaka kutoa hazitoki[emoji2][emoji2]kweli hii mimba bahati mbayaAfu mtu ukiwa huna future naye, mimba inaingia haraka teh. Basi unabaki tu duniani hupataki, akhera hufiki
Azae tu jomoniiiiNa za hivi hata ukitaka kutoa hazitoki[emoji2][emoji2]kweli hii mimba bahati mbaya
Atazaa tu hana namna mana alikuwa anataka mtoto...ila natamani hii mimba ingekuwa ya Dee...sijui nikamnunulie director mchemsho daahAzae tu jomoniiii
Hahhaa mbona ingekuwa ya Dee ningepotea humuAtazaa tu hana namna mana alikuwa anataka mtoto...ila natamani hii mimba ingekuwa ya Dee...sijui nikamnunulie director mchemsho daah
Ikiwa hivyo naandamana mana haiwezekani msomali atuachoe mtoto wa kulea huku[emoji2][emoji2]Unaweza kuingia mp na mimba kabisa
Japo ni rare thing lakini kuna watu imewatokea kabisa
Ujue mmenifanya nikasome tena vizuri pale mwishoni, mimba ya miezi miwili na wiki kadhaa; mbona kama ni ya the man himself msomali au just my wishes?Ikiwa hivyo naandamana mana haiwezekani msomali atuachoe mtoto wa kulea huku[emoji2][emoji2]
Unaweza kuingia mp na mimba kabisa
Japo ni rare thing lakini kuna watu imewatokea kabisa
Hizo ni wishes[emoji23][emoji23][emoji23]subiri nikasome tenaUjue mmenifanya nikasome tena vizuri pale mwishoni, mimba ya miezi miwili na wiki kadhaa, mbona kama ni ya the man himself msomali au just my wishes?
Acha niwe mpole kwanza hadi next epi..nijue mimba ya naniOur story teller is a striker hashindwi kitu....
We subiri utaona
Baba yeyoo hizo xxxxx lara kamanisha nini eti