The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,495
- 46,668
Si ndo vitu vyako lakini nilisoma sehemu kuwa nawe mdau wa amsha dude [emoji12] [emoji12] [emoji15]!
Mahondaw wa Smart911
Ni kweli ila wengine wanapiga mechi Msomali arudi darasani..sasa kesho kunakuamka kwenda kazini kweli?
Mbona saa hizi uko macho? Swahiba yuko wapi? Chunga mali zako rafiki...