Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
khaaa ndio jana lake hiloWe mama ake bwana hufai kuwa.mkwe wangu..
khaaa ndio jana lake hiloWe mama ake bwana hufai kuwa.mkwe wangu..
Haha me ntakuwa mama ake mzazi MOTPHahahaaaaa!!!!
Heaven Sent njoo ujichagulie character kabisaaa maana sio kwa balaa hili linalokuja.
Samaritan ndio maana kumbe umekazana kweli na auntie yangu Shunie!!! Kumbe unamdanganya we ndio MOTP!!!! Ole wako!!!!!!!!
Eeeh anaitwa Lee.khaaa ndio jana lake hilo
Na mimi nitakuwa bibi yake, afadhali lol!!! Lara alione hili tafadhali.Haha me ntakuwa mama ake mzazi MOTP
Msomali alishasokomeza kizazi hukooooo, watatafuta sana mimba na hawaipati.Anasingizia watu bure huyo, aseme tu Msomali keshafanya vitu vyake...ndio maana anasuasua huku kwenye ubuyu. Na kama alijaribu full size badala ya passport sipati picha hiyo POP wameiwekaje madaktari. Kuna maeneo yana utata
Narudia tena, OLE WAKO!!!Aunt yako anataka ubuyu wa babu Issa tu. Ndio maana nikaona isiwe tabu, nikutumie wewe umpatie.
Mama mchungaji ameamua tu kuntilia wivu, MOTP atakua Samaritan ndugu wasomaji? Naona tu KLM ameamua kuweka commercial break wakati anasikilizia uchovu wa Msomali wake..
Ile tezi dume nilomuombea MOTP alafu lara akanifanyia figisu jiandae nalo wewe sasa.Mama Yeyoo Shunie eti kuna siku nimewahi kukwambia mie ndio yule MOTP? Aunt yako toka kitambo nilishajua tu anamashaka na mimi bure...wakati mkataba wangu mimi na wewe ni ubuyu tu, tena wa Babu Issa.
We cheka tu.Ahahhahaha
Huyo mswahili sijui anatuma ubuyu tani ngapi usiofika huo!!!Kwani bado haujatuma tu
Mmmmh!!!Ni ubuyu tu baba yeyoo hakuna lingine
Kwahiyo adress yangu unajifanya hauijui?Ntautuma wapi? Aunt kagoma kutoa address amebakia kutoa vitisho tu. Ananiambia "..ole wako". Nimenawa mie!
Msomali harudiii.Hahahhha kwahiyo Samaritan amechukua point 3 kirahisi rahisi kabisa.
Japo siku hizi nimekuwa mchekelewaji sana humu, Bado nipo na msomali.
I guess msomali atasepa marekani atarudi akiwa loaded balaa sally kyupi kitambana!
Kuna ile point ambao sote tulikuwa nobodies, broke AF hadi tulivyopata wakutushika mkono jamani, kwahiyo msomali aachwe!
Akuuuuungekuwa karibu tungepozana kidizaini siunajua ukizidiwa na shida
Tena hiyo character ndio yenyewe kabisaaaa.Right from the beggining, nilijua lazima story ya MOTP iwe mtaji kwa wajanja wajanja wa JF!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hapa kwa The Wife Hunter lazima Samaritan akaangwe!
Mwana kulitaka, mwana kulipewa!
- KANA -
Kwahiyo adress yangu unajifanya hauijui?
Huyo mswahili sijui anatuma ubuyu tani ngapi usiofika huo!!!
Mmmmh!!!
Hahahhha kwahiyo Samaritan amechukua point 3 kirahisi rahisi kabisa.
Japo siku hizi nimekuwa mchekelewaji sana humu, Bado nipo na msomali.
I guess msomali atasepa marekani atarudi akiwa loaded balaa sally kyupi kitambana!
Kuna ile point ambao sote tulikuwa nobodies, broke AF hadi tulivyopata wakutushika mkono jamani, kwahiyo msomali aachwe!
Right from the beggining, nilijua lazima story ya MOTP iwe mtaji kwa wajanja wajanja wa JF!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hapa kwa The Wife Hunter lazima Samaritan akaangwe!
Mwana kulitaka, mwana kulipewa!
- KANA -