carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Acha kufananisha ulemavu na kipaji. Umarioo haupo kwenye vipaji kabisaaaa

asante mkuu,kumbe umarioo ni ulemavu eehAcha kufananisha ulemavu na kipaji. Umarioo haupo kwenye vipaji kabisaaaa

asante mkuu,kumbe umarioo ni ulemavu eehbaba yeyoo yupo znz
asante mkuu,kumbe umarioo ni ulemavu eeh
Kweli huo ni ulemavu wa akiliAkili isipokaa sawa si ulemavu? Ukiona mtu mzima kabisa ila ameamua kuwa ombaomba barabarani utasema anakipaji?
Worya wa mahaya sshv anauza cm na jolline alishamwambia ckuile club kua acbweteke kwa sally,ambacho hamjui msonjo ni mchumi mbaya kajiwekea akiba akivunja kibubu mtatafutana walah!marioo kwenye ubora wake msingi kiuno
Shida kamanda huwa anaanza na verse za biblia unajua kabisa huyu ni mjukuu wa ibrahimu kumbe walaaaa.
Subiri tuone kamanda nako Mara nyingine analaliaga upande subiri tuone mwisho de na ama msomali
Worya wa mahaya sshv anauza cm na jolline alishamwambia ckuile club kua acbweteke kwa sally,ambacho hamjui msonjo ni mchumi mbaya kajiwekea akiba akivunja kibubu mtatafutana walah!
Ila mwanaume akiwa hana pesa sio siri ni kitu kibaya sana kwake!
Yaan kugongewa nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, na msomali ndio ashapendwa hivyoDadekiiiiiii
Men will always be men!
Yani Dee bado anataka kupasha kiporo kwa Sally?
Yani kaamua kushindana na msingi kiuno?
I didn't see this coming!
- KANA -
Dee abakie tu na mkewe, aoe kabisa.Daah!natamani kuona msomali atakavyo nyolewa na Dee...ila kati ya msomali na Dee,Dee mwanaume mana anajua kutafuta sio yule marioo mjini msingi kiuno
Hapo kwenye kuoa hapo sijui...Dee abakie tu na mkewe, aoe kabisa.
Kwa hiyo mmeamua kuweka kambi msingi kiuno?Pole sana, na msomali ndio ashapendwa hivyo
Oooh poor Mariam, kajiweka mazima kumbe mwenzie anapita tu.Hapo kwenye kuoa hapo sijui...
Tutafanyaje sasa kama bibie kafia hapo!!!Kwa hiyo mmeamua kuweka kambi msingi kiuno?
- KANA -
Hawa wanaume hawana hata maana,usijeshangaa kujitoa kote kule kwa pendo ankuja achwa kwenye mataaOooh poor Mariam, kajiweka mazima kumbe mwenzie anapita tu.
Oooh ni pendo not mariam!!! Masikini na mtoto juu!!Hawa wanaume hawana hata maana,usijeshangaa kujitoa kote kule kwa pendo ankuja achwa kwenye mataa