Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Msomali wa watu anapiga biashara ya simu waungwana...mbona mnasahau mnatoa sifa upande mmoja tu wa kiuno?
Kumbuka pesa ya mtaji katoa sally...
Kingine pesa ya mwanamke ni ya masimango
Leo kapendwa kesho sally akipata mtu wa dau kubwa msomali anaachwa na masimango juu...
Hela ya mwanamke sio ya kuitegemea ajitafutie kama mwenzie Dee
 
Ngoja mapenzi yaishe utaona matusi ya sally mwanaume gani wewe hela zenyewe nilikupa me chezea wanawake wa mjini
 
Back
Top Bottom