mremboasilia
Member
- Apr 6, 2016
- 51
- 36
story nzuri.. You are very talented Lara 1. Hiki kipaji ungekifanyia kazi ya ziada. Asante kwa kutuwekea story nzuri. Ubarikiwe
Nimechelewa ila nimeisoma kwa kujinafasi.
Timu alshababu wenzangu mko wapi, I mark register. Sijaelewa why mnamsimanga msomali jamani! Hebu muuache ajienjoy. Mi sifugi bwana ila nipo hapa kumtetea msomali, sio kwa masimango hayo ya waja.

Hahaha tupo pamoja nae.Absolutely..hata mimi sio free P ila msomali kanyanyasika sana. Isitoshe haikua lengo lake kufukuzia free P. MOTP mwenyewe alikua halazi damu akiwa kwenye 18
Nimechelewa ila nimeisoma kwa kujinafasi.
Timu alshababu wenzangu mko wapi, I mark register. Sijaelewa why mnamsimanga msomali jamani! Hebu muuache ajienjoy. Mi sifugi bwana ila nipo hapa kumtetea msomali, sio kwa masimango hayo ya waja.
Wacha we!!Absolutely..hata mimi sio free P ila msomali kanyanyasika sana. Isitoshe haikua lengo lake kufukuzia free P. MOTP mwenyewe alikua halazi damu akiwa kwenye 18

Watajitoa walipo ngoja De maisha yamfanye kwa mara nyingine hehehe!Hahaaaaa sio kwa kujivua gamba huko toka team PASTORALIST. Mie nimeshangaaa sana wale WAIOPENDA KULIPWAAA, WASIOJIUZAAA kuwa against msomali.
Wacha we!!![]()
![]()
mmh ngoja nipite mdogo mdogo, umeshaniacha mbaliNdo naandika hapaaaa! Leo tunapiga 3 in 1 afu kuna ilioendelea page ya 14
Hehee, this time team Dee naondoka na point tatu kilainiii. Japo sitaki Dee arudiane na Sally.
Hehee, to be honest sio kwamba Dee anampenda Sally. Anaumia tu kuona that bitch dumped him cause he was an average Joe.Najua unanifaham fika na haihitaji kubahatisha au kufuatilia kimyakimya, kwenye huu ubuyu inabidi tu niwe upande wa Somalia. Kiongozi wangu kana safari hii tumekua watani wa jadi. Lakini Dee nae ana mke tena mjamzito aliyekubali kupoteza yote kwa ajili yake, anatafuta nini tena kwa Sally kung'ang'ania kote huko?
Anyway, endelea tu kuniombea kikombe kiniepuke..safari imewadia, farewell inaweza husika, tutashinda?
Pamoja na hilo, shabab ana kauzembe fulani.Yeah! Nachukia mnoo Marioo na Msingi kiuno sijui..lakini Shabab tunamuonea tu. Tunaangalia upande mmoja.