Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Ila huyu kidudu MTU anayetamani show za msomali atakuja kuharibu na hivi papa De asharudi atamtumia huyu fisadi kumharibia msomali kwa sally.
Acha tu amtilie kitumbua mchanga akili imkae sawa
Akitimuliwa na sally atajua kutafuta
 
Mguu mmoja ndani mmoja nje hana akili msomali angejiwekea viakiba vyake pembeni hata siku ya mwisho kinanuka anajua atajipanga vipi
Subiri tuone kamanda nako Mara nyingine analaliaga upande subiri tuone mwisho de na ama msomali
 
Back
Top Bottom