Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,421
- 176,355
Ana ufighter gani sasa yule! Nae si marioo tu kama msomali.Sema once a fighter, always a fighter!
Dee will be back to take his throne!
- KANA -
Ana ufighter gani sasa yule! Nae si marioo tu kama msomali.Sema once a fighter, always a fighter!
Dee will be back to take his throne!
- KANA -
Unafikiri kwenda Congo kuzisaka ni mchezo?Ana ufighter gani sasa yule! Nae si marioo tu kama msomali.
Hahaa na akichokwa anapokonywa vile vileMshampatia mtaji wa simu, kesho mtamhonga ghorofa. Sasa nani hapendi kitonga!
Yani al-shabab kapata maganda ya ndizi, full kutelezaaa
- KANA -
Ukishazoea kitonga ni wa kitonga tu. Atajikuta anabaki hivyo hivyo. Labda angekuwa na akili ambazo pia naona hana!!!Mshampatia mtaji wa simu, kesho mtamhonga ghorofa. Sasa nani hapendi kitonga!
Yani al-shabab kapata maganda ya ndizi, full kutelezaaa
- KANA -
Kwani huko alikoenda si aliishia kutapeliwa!!Unafikiri kwenda Congo kuzisaka ni mchezo?
Ingekua rahisi al-shabab asingekuja kudhalilika hapo msingi kiuno.
Naona siku zake zinahesabika!
- KANA -
Thubutuuuuu, kiendacho kwa mganga hakirudi.Hahaa na akichokwa anapokonywa vile vile
Ukishazoea kitonga ni wa kitonga tu. Atajikuta anabaki hivyo hivyo. Labda angekuwa na akili ambazo pia naona hana!!!
Kama siza alirudisha pesa za leila,basi msomali atarudisha hadi jasho alilomtoa sallyThubutuuuuu, kiendacho kwa mganga hakirudi.
- KANA -
Dee na msomali akili zao zinalingana, huyu ana nyota ya kukopwa.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Subiri Dee arudi, atatia akili tuu
- KANA -
Kama siza alirudisha pesa za leila,basi msomali atarudisha hadi jasho alilomtoa sally
Acha kumfananisha Dee na watu wa ajabu ajabu!Dee na msomali akili zao zinalingana, huyu ana nyota ya kukopwa.
poa poa best tutafutane banahNipo best majukumu yametubananisha but tuko pamoja kuleee![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
![]()
![]()
![]()
![]()
Hajui majibu yanayotokaga wakati huo mengi huwa sio ya kweli!!!
Hahahaahaaaa kwahiyo msomali hapo alikuwa anapigwa dobo na Sally![]()
![]()
![]()
![]()
Hajui majibu yanayotokaga wakati huo mengi huwa sio ya kweli!!!
Kwahizi show nakuambia inabidi usome usiku mchana unaaibika nakwambia unaweza ukajikuta mambo hayaendiiiHahaa show za msomali zinamtisha
Aaah!! Wakati ule sio wa kuulizana maswali jamani.Hahahaahaaaa kwahiyo msomali hapo alikuwa anapigwa dobo na Sally
Kwahizi show nakuambia inabidi usome usiku mchana unaaibika nakwambia unaweza ukajikuta mambo hayaendiii


mbona hapa director kapunguza makaliAtakuwa amesaidia watu maana kwa migegedo hiyo mtu anaweza pata kifafa cha mudambona hapa director kapunguza makali
Tena usiombe uwe kaziniAtakuwa amesaidia watu maana kwa migegedo hiyo mtu anaweza pata kifafa cha muda



![]()
![]()
![]()
![]()
Imebidi niwafikirie wabondei ninaowafahamu.
wabondei nuksi ninao ofisini yaan full vituuuko