TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
Nimeona avatar aseeeMimi sio fanani ndugu msomaji. Lakini ikibidi tutaiendeleza hii story. Haiwezekani mechi ndio kwanza iko halftime refa amalize pambano.
Nimeona avatar aseeeMimi sio fanani ndugu msomaji. Lakini ikibidi tutaiendeleza hii story. Haiwezekani mechi ndio kwanza iko halftime refa amalize pambano.
Wangemuongezeapo na kaUKIMWI.Msomali kastahili kila alilolipata
Wangemuongezeapo na kaUKIMWI.
Story ipi hiyo?
Fanani kanunuliwa bila shaka maana haiwezekani story iwe imeisha then tuambiwe part ya mwisho inakuja angesema part2 ningeelewa kuna mtu kamnunua si bure tena ni team msomaliMshaanza mambo yenu ya kuhongana humu ili gia zibadilishwe uh!! Nausubiri huo mwisho nikiwa disapointed again ndio basi tena kwakweli.
Ndio hivyo tena, naona team msomali mnavyotafuta ushindi wa mezani! Yaani sitafuatilia tena hizi story aisee.Nilikua siamini uko team roho mbaya
Yaani angempa magonjwa yote tu![]()
Afadhali mna-admit kuwa kuna mikono yenu hapo.Si tunaendeleza dudeee la Msomali? Hakuna kuweka mpira kwapani...mashambulizi yakizidi tunarudisha mpira kwa kipa tunajipanga upya.
Nishakereka kama ndio nishasoma episode ya mwisho.Yaani angempa magonjwa yote tu![]()
Nishakereka kama ndio nishasoma episode ya mwisho.
Na sio mwingine bali ni Samaritan ndio huwa anamnunua sana lara 1 na story inakwenda vile anataka yeye. Hata last time ilikuwa hivyo hivyo.Fanani kanunuliwa bila shaka maana haiwezekani story iwe imeisha then tuambiwe part ya mwisho inakuja angesema part2 ningeelewa kuna mtu kamnunua si bure tena ni team msomali
Fanani mwenyewe ashaadmit kuwa umemfanya hadi hana hamu nawe, hapo unategemea nini tena!!!Ntakufungulia mashtaka mahakama kuu, isiyokua na rufaaa. Kumhonga fanani unafikiri kitu kidogo? Yeye mwenyewe anagawa msimbazi kwa atakaetabiri ubuyu wake, siwezi kumhonga fanani.
Fanani mwenyewe ashaadmit kuwa umemfanya hadi hana hamu nawe, hapo unategemea nini tena!!!
Hata usisherehekee mwaya hukumbuki tulivyomuombea tezi dume MOTP?lakini mwisho wa siku akabaki anatembea kifua mbele?Nishakereka kama ndio nishasoma episode ya mwisho.