Usjali Sally wangu!
Msomali kastahili kila alilolipataOoooh poor msomali.
TehKhaaaa kila la kheri msomali kwenye safari yako mpya jela. Ahsante mama Mchungaji
Me sikuama tim tonney jamani hahhhh sipati ata bukuJapo mlishindwa kabisaaa kabisaaa kitabiri mwishooo utakuwaje ile 10,000 lazima nitoe.
Na wengi mmenogeshaaa sanaaa! Mmenogeshaaa hatariiii, hatriii! And i appreciate it a lot!
Zawadi iko moja inabidi apate mmoja! Na mimi namzawadia -KANA- for his consistency maana ndo alikuwa wa kwanza kuchagua team and undying support for TEAM DEE. Mpaka watu walipoamua kuchoma kadi zao za tema hahaha alibakia Team Dee!
KANA tuonane PM ujipatie bundle lako la wiki!
Hahha Days of our lives, nakuona muhenga mwenzangu.Acha Useeeenge inaishaje sasa??
IENDELEEE MPK JF IFUNGWE!!
IFANYE TU DAYS OF OUR LIVES
TUONE MPK WAJUKUU WA HUDDAH!!
psyuuuuuu usitutanie wewe!
ila big up kwa mwanakamati wa roho mbaya Lara1 maana hii story was unpredictable kabisa! How in the name of hell did B connected to interpol!Hahha Days of our lives, nakuona muhenga mwenzangu.
Ila kwani timu Dee huo ushindi kawapa nani? Mbona mnashangilia sana! Kwanza story haijaisha kwasababu Alshababu hafungwi ovyo ovyo hivyoila big up kwa mwanakamati wa roho mbaya Lara1 maana hii story was unpredictable kabisa! How in the name of hell did B connected to interpol!