Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Ndugu yangu huyo. Huenda nimemkurupua huko alipokua kwenye mihangaiko ya maisha tulipoanza kuichokonoa hii story, ndio maana hana hamu na mimi.

Ki ukweli sijachenjua wala kufanya hila yeyote, na sijawahi hata mara moja ku influence ubuyu kupitia kwa fanani zaidi ya kuburuzana baina ya team zetu hapa jukwaani. Vinginevyo itakua kupoteza utamu na ladha adhimu kwenye hizi hadithi.
We jitetee tu ila ukweli ndio huo bwana.
 
Yaani acha tu, kama namuona lara anavyokuja kuwapa team msomali ushindi wa mezani. Samaritan mlichofanya mungu anawaona.

Msifanye lara 1 akaamua kuja na kitu kipya kabisa ndani ya box na makaratasi yakenikimaanisha ubuyu wa moto kabisa. Sio kwa tuhuma hizi..nasisitiza tena sijawahi kuingilia mwenendo wa story yeyote. Ila kuna kipindi nakaimu nafasi ya Jecha!
 
Msifanye lara 1 akaamua na kitu kipya kabisa ndani ya makaratasi nikimaanisha ubuyu wa moto kabisa. Sio kwa tuhuma hizi..nasisitiza tena sijawahi kuingilia mwenendo wa story yeyote. Ila kuna kipindi nakaimu nafasi ya Jecha!

Hahahhaaaaa! As if unawezaa kuingilia story, sasa kama ni hivo wewe huna haja ya kufatilia ni kukaa kwenye sofa lako na kunipa maelekezooo! Hahaa! Ila chupi ilikuwa inakuba kama wengine hahahaaa! Jamani hata nikichelewa zigo la dhambi lajaaaaa mslilale kesho Eid
 
Afadhali kiti kimenilinda
 
Msifanye lara 1 akaamua kuja na kitu kipya kabisa ndani ya box na makaratasi yakenikimaanisha ubuyu wa moto kabisa. Sio kwa tuhuma hizi..nasisitiza tena sijawahi kuingilia mwenendo wa story yeyote. Ila kuna kipindi nakaimu nafasi ya Jecha!
Mnateteana huh!!!

Kumbe hadi avatar mwatumia moja!!! Ndio basi tena.

Hahahhaaaaa! As if unawezaa kuingilia story, sasa kama ni hivo wewe huna haja ya kufatilia ni kukaa kwenye sofa lako na kunipa maelekezooo! Hahaa! Ila chupi ilikuwa inakuba kama wengine hahahaaa! Jamani hata nikichelewa zigo la dhambi lajaaaaa mslilale kesho Eid
 
Msifanye lara 1 akaamua kuja na kitu kipya kabisa ndani ya box na makaratasi yakenikimaanisha ubuyu wa moto kabisa. Sio kwa tuhuma hizi..nasisitiza tena sijawahi kuingilia mwenendo wa story yeyote. Ila kuna kipindi nakaimu nafasi ya Jecha!
Mlolongo unadhihirisha hilo vizuri kabisa.
 
Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO

TEH TEH TEH yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie . Timu Dee thank me later!
 
Back
Top Bottom