Mimi team msomali tu since ndo baba mtotoSterling wa movie si aliyezaa na Sally? Kwanza uko team gani?
Mimi team msomali tu since ndo baba mtoto
Ndio unaandika???Karibu kwenye chama cha wahafidhina!
Ndio unaandika???
TUMESHTUKA!Ndugu wasomaji wenzangu, kuna mtu kamnunua fanani ili abadili matokeo kama JECHA!
hatuhami team D!
- KANA -
hiyo maniner ni ya fanani!Mbona unanionea? Mie sio KLM ila team Msomali wa kudumu
hiyo maniner ni ya fanani!
hawezi kutukhanithi macho kifala hivi!
tumuanzishie thread tu!Tutampiga vikwazo sio vya nchi hii.
AsanteeeKaribu kwenye chama cha wahafidhina!
Nimebeba mawe yangu kwenye rambo hapa na topaz mpya tatu....NATAFUTA ANAPOISHI LARA 1!!
njoo pitia bisibisi za kaka zake SallyNimebeba mawe yangu kwenye rambo hapa na topaz mpya tatu....NATAFUTA ANAPOISHI LARA 1!!