Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitengua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea tubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO

TEH TEH TEH yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie . Timu Dee thank me later!
Haha team msomali woyooooooooooooooooooo. Ngoja team Dee waje
 
Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO

TEH TEH TEH yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie . Timu Dee thank me later!

Hahahahhahah ingeishia hivi ingekua afadhari. Fanani katuibia so kidogo.
 
Jamani nawaombeni radhiii ndugu zanguuu! Leo haikiwa siku nzuri, mood kidogo iko off key! Nawaombeni waungwana kesho niwasambazie raha!

Unaona unavyotusokota? Unaelewa kabisa nilivyovurugwa, nimekuja HQ, space imechukua mkondo wake, nikajua dude litaniliwaza. Naona imekua kinyume chake sasa.

Tutasubiria tu!
 
Hata usisherehekee mwaya hukumbuki tulivyomuombea tezi dume MOTP?lakini mwisho wa siku akabaki anatembea kifua mbele?

Sasa ile si mliambiwa ni true story? Kama MOTP kweli hakubahatika maradhi, mlitaka KLM amzulie na kumtwisha bando la mwaka la magonjwa? Punguzeni roho mbaya!
 
Inakera character from nowhere ndo inakuja kupata mzigo, nikama watu wamekimbia Marathon 20 km af 19km anatokea kusikojulikana MTU Tu na kuchukua kombe, ngempa yule alirjitahidi japo.
Halafu nishaona Lara unamalizia story kulingana na teams n comments Ila rectify that kua na plan kabisa ya story itaishaje nomatter what, kuna feeling flani unapata main xter anaposhinda. Beautiful story ila sijaona ilipomtukuza mungu mana ulianza kwa kusema hivyo
Hiyo ni analysis yangu, mtizamo Tu.
Pamoja sana Lara 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO

TEH TEH TEH yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie . Timu Dee thank me later!
Hahahaaaa!! Mnawish huh!
 
Inakera character from nowhere ndo inakuja kupata mzigo, nikama watu wamekimbia Marathon 20 km af 19km anatokea kusikojulikana MTU Tu na kuchukua kombe, ngempa yule alirjitahidi japo.
Halafu nishaona Lara unamalizia story kulingana na teams n comments Ila rectify that kua na plan kabisa ya story itaishaje nomatter what, kuna feeling flani unapata main xter anaposhinda. Beautiful story ila sijaona ilipomtukuza mungu mana ulianza kwa kusema hivyo
Hiyo ni analysis yangu, mtizamo Tu.
Pamoja sana Lara 1

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mimi bàdo najiuliza "Glory to God " imetumikaje? Anaesema hivyo ni B, Sally au Mama wawili? Boli naona ilikua bado kabisa hakuna mvua wala nini ila refa kamaliza pambano.
 
Back
Top Bottom