Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,890
Uwiiiiiii yaan nmesoma hapa nmwpiga kelele kwa furaha hadi wateja wakanishangaa Hahahaha ngoja ni log out kwanza nifanye kaziNitakundikia baby wangu! Usijaliiii! ONE FOR THE ROAD.
SAA NNE USIKU JUUYA ALAMA.
AFU KWELI STORY ILIKUWA HANGING SANAA! Kwanza team Dee hawajapata habari yao! Hakuna mlichoshinda chochote! Mngejuaaaa mngekaa tu kimya.
Sijapokea rushwa yoyote kutoka popote. JIONI SASA NDO GRAND FINALEEEEE!
Dokezo : STERLING HAUAWI.