Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

SUPER MODELLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL!!!!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya kitu loading! Mkae mkao wa kurefresh kila baada ya kimda kidogo.

Ndo naanza kuiandika, manake mchuano ulikuwa heavy nikashindwa kutaribi. HAMTOJUTIAAAAAAAAAAA! mTABAKIA VINYWA WAZI. Jiji hili mlione hivi hivi.
Nakuaminia
 
lara 1 hii ndo force king au?

Maana Diaspora imeshinda ila ametangazwa Super Model!
 
SUPER MODELLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL!!!!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya kitu loading! Mkae mkao wa kurefresh kila baada ya kimda kidogo.

Ndo naanza kuiandika, manake mchuano ulikuwa heavy nikashindwa kutaribi. HAMTOJUTIAAAAAAAAAAA! mTABAKIA VINYWA WAZI. Jiji hili mlione hivi hivi.
Angekuwa alie sema maneno haya yupo chama pinzani ningefuta Matokeo kwa kosa la kujitangazia matokea na kuidharau tume

Kwa vile ww upo Chama tawala na hali ya matokeo inavoenda Napenda kumtangaza mshindi kabla ya vurugu
 
SUPER MODELLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL!!!!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya kitu loading! Mkae mkao wa kurefresh kila baada ya kimda kidogo.

Ndo naanza kuiandika, manake mchuano ulikuwa heavy nikashindwa kutaribi. HAMTOJUTIAAAAAAAAAAA! mTABAKIA VINYWA WAZI. Jiji hili mlione hivi hivi.
full torch macho yako kodo kodo.
 
Subscribed!! waiting long range uhondo.
 
Refresh people, nimeiweka pale juu.
 
Lara 1 tokea mwanzo ulitaka ya super model.......ww hukutakiwa upige kura ,bas tutafanyeje ss
 
Refresh people, nimeiweka pale juu.
Nasikia Lara 1 story unaandikiwa na Danya

Lara 1 anajibu

Sijui hio kalamu mimi naandika mwenyewe (in Joh makin voice)

Nasikia Lara 1 unatoa story kali

Sijui mimi natoa story tuu (in Joh makini voice)

Leta muendelezo hapa Lara 1 don't bother (in AKA Voice)
 
dah..! we mdada ni hatari kwa stori zako tu i salute
 
NOPE! I STICK TO THIS 1! You need a new person to keep up with! Kama utumbo wanguuuu, acha niwapikie supu watu wangu wa nguvu. Hauna shida na mtuuuu, tunajisomea tunafurahi week end hiii. It is free country, na sheria zinaruhusu FREEDOM OF SPEECH.

If you have something better to do, please PROCEED, hatujakuzuia, wala kukuomba uake nasi. ACHA WAFU TUZIKE WAFU WETU.

Wow fellow is being outrageous,,,
pretty brilliant lara1 after all we are living to be happy..

I like ur attitude Lara1
 
Back
Top Bottom