Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

I have concluded that you have seen it all in this planet,endelea kutumwagia ubuyu angalau tupate kulishwa vitu ambavyo masikio hayajawahi kusikia wala macho hayajawahi kusoma.
 
Kwani umelala lara1??nway tupo tunaungojea ubuyu huo
 
"You're not an ashole, You're just trying so hard to be."

Tukamsomea mashtaka yake, he pled not NOT GUILTY at all counts, na mmbea ni muongo. Anyway coz ana story za uongo uongo huyo informer tukamuamini K. Wakawa close na bi dada hivo hivo. Wengine wanamponda bi dada sio elekezi wala nini. Bi dada akaja kuondoka akaenda shule hapa hapa Bongo kufanya Masters.

Basi K ndo kugea ubuyu, ujue yule dada nimemla ndio, na kweli yule mdau alitukuta piki piki imebumaa, na nikampa aiburuze, ndo akawa anaikokota yeye. Hahahahaaaaaaaa! Na nimemkopa hela kibaoo vile vile. Alikuwa kanielwa kinomaaaa, tatizo lake sio mzuri wala nini, manake kila mtu anamsema. Nikamwambia but kama alikuwa anakusaidia why not?

Aaaaaah ana mambo yake siyaelewi kabisaaa, wewe humjui yule mimi ndo namjua. Alikuwa akija ghetoo, anakaa kitandani anawasha msokoto wa Bangi, anapulizaaaa mpaka unaisha, anakunywa na pombe kali, mi simuwezi bwanaaa. Ukipiga nae mechi anakuwa kama kapagawa maana ana stimu za bangi na K vant kwa mpigooo. Afu mi sinywi mara kwa mara. Nimemshindwa kabisaaaa.


Sahivi natafuta mtu size yangu, mtoto wa Kipemba naweka ndani. Ujue si machotara tunawezana wenyewe. Mmmmh! Nikamwambia hayaaaaa, huyo mpemba akupende wewe huna kitu si balaaa. Akampata mdada INSTAGRAM, alimfata inbox, mambo kaka, napenda post zako. Basi kamulika kwake yule dada kaenda na mdoli naperfume. Akawa ananimbia sijawahi pewa zawadi na demu, this is the one im telling you. Nikamuuliza because she gave you the doll or? Hahahaaa!

Huyo mwarabu anasoma chuo, but ikawa ananeda pale kupika na kulala mda mwingine, hampi hata kumi. Mpaka nimsimangeeee ndo amnunulie nguo kwangu ampe zawadi. Anampandisha boda boda kama kawaida. Mwarabu anavumilia tu. Cheatting kama kawaida.

Alimleta mdada mnyakiusa huyo ni gaidiii kamtoa Insata nae. Kalala nae siku mbili kaenda kuleta begi siku ua tatu ndo kaja jumla hivoooo. Akaona hataaa asintanie huyuuu, akamwambia nasafiri naomba ufunguo uache kwa jirani, nikirudi nitakwambia. Akajipiga exile lodge, kaaa siku mbili anaambiwa ufunguo haujapelekwa, ya 3 kamuendea hewani, bae ni aje huo ufunguo? Ooooh mi nakaaa utanikuta nikirudi. Mxiuuuuuuuu! Akamrudiaaa kamkta hana hata stresss. Ndo kumwambia baba anakuja fanya uende, alivoondoka tu ndo kumblock kabisaaaa.

Mwarabu ndo kuhamishia vitu vyake kidogo kidogo, bag likajaaa. Siku hio kamchukua demu wa UDSM, nguo za mwarabu kaweka kwenye bag chini kabisaa juu kaweka nguo zake, yule demu akawa kapika fresh, ile wanataka kula tu, akaona akachukue matundaaaa. Kurudi anakuta nguo zote za mwarabuuuu Kitandaniiii, michupii, mswak, lotion, perfume afu demu kanunaaaaa

Akamuuliza kwemaaaa! Sio kwema, nimekuta hivi vitu, nime search simu yako nimekuta namba imeseviwa wife, nimempigia na yeye aje hapa tufahamianeee. Nini? Ndo hivo mda wowote anakuja humu ndani.

Akapakua chakula akawa anakula bibie kafuraa kwenye kochi, mwingine huyooo kaingia na boda boda, K ndo nini hivi sasa? Ndo nini? Wnalia wote.

Akawaambia sikizeni niwaambie sasa, maadamu mmejuana ni vemaaa kabisaa, mimi sina mke, sijamuoa yoyote kati yenu, sijui kama mnanielewa vizuri juu ya hilo, wote mlikuwa watu wangu wa good time. Kila mmoja nilimpendea chake.

Sasa basi nendeniiii, mimi HB kesho tu napata mtu Insta. Ila sababu wote nimewaelewa, na kila mtu ana jema lake, mimi nipotayari kubadilika, ataetaka nibadilike kwakwe niko tayari. Nendeni mkajitafakari, kila mtu achukue vyake.

Mwarabu akaondoka, mswahili nae yupo ngojaaaaaaaaaaaaaa! Wakaondoka wote. Badae mwarabu anamtumia sms, ulivoongea nimekuelewa sanaa, niko tayari ubadilike sababu yangu. Hahahaaa! Akaambiwa kesho njoo. Wakarudiana fresh kabisaa akasema ila nikahisi kma taniua usingizini

Mara mtu kamfata insa, nimekuelewa K, kama vipi tuchekianeee. Akamwambia tuma pichaa. Mtoto huyooo wa maana. Chat chat na wewe. Siku ya kuonana ndo kumwmbia njoo Kino, kwenye shawarma. Kakaa katuliaaa hana stress. Mara kaja demu wake mwarabu wa siku zote. Vipi K, unafanya nini? Anazuga zuga aah nakula shawarma. Akamuuliza humngoji mtu? Machale yakamcheza, hakujibu. Akamwambia mtu mwenyewe ndo mimi, nilikuwa natest kama umebadilika. Do me a favor LOSE MY NUMBER. Akaishia.

Ndo kunisimulia kuw kajinyoso kijinga sanaaaa. Ila sio kesi ana demu wake wa kujipoooza ambae wanapiga friendly match. Amekolea kwake hata amwambie mtukane bwana wako anamutukana tu.

ITAENDELEA KESHOO! Loooooooh!
 
Duh!! lara 1 huyu jamaa hatari. Una msharudi matumizi ya condom? Anapoelekea sipo. Au ndo ujana maji ya moto......
 
STORY mpaka zinapigwa flashback katika kuziwakilisha kwenye hadhira..........Lara1 numero uno! you are simply the STAR.
 
Dada Zangu Lemme Give You Just A Hint.
Ogopa Sana Mwanaume Ambaye Hanywi Pombe Havuti Sigara Wala Bangi Au Anavifanya Hivyo Kwa Kiwango Kidogo Sana.
Hao Watu Ni Watom*ji Hamna Tena.
We Have This One Innocent Look But Trust Me You Dont Want To Meet Us On Bed.
As Other Guys Gets Their Fun On Drinks We Get Our Fun On Women.
I Have Done All K Has Done Except The Fraternity And I Cn Say In Two Years The Fraternity Is Goin To Be Alive And Kickin.
 
Dada Zangu Lemme Give You Just A Hint.
Ogopa Sana Mwanaume Ambaye Hanywi Pombe Havuti Sigara Wala Bangi Au Anavifanya Hivyo Kwa Kiwango Kidogo Sana.
Hao Watu Ni Watom*ji Hamna Tena.
We Have This One Innocent Look But Trust Me You Dont Want To Meet Us On Bed.
As Other Guys Gets Their Fun On Drinks We Get Our Fun On Women.
I Have Done All K Has Done Except The Fraternity And I Cn Say In Two Years The Fraternity Is Goin To Be Alive And Kickin.
Doh so are you proud of it?
Kuna wachache I can argue, hawanywi hawavuti and wametulia,wachache lakini....
 
Lara1 andaa vitu.....few minutes to our due time. Na refresh tu hapa,nasubiria ubuyu!
 
Doh so are you proud of it?
Kuna wachache I can argue, hawanywi hawavuti and wametulia,wachache lakini....

Mie ni mmoja wapo, sinywi, sivuti napenda kuangalia tu ila mtulivu kama magufuli.
 
Back
Top Bottom