Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

igwee, tupiamo supermodel, iwe ya ukweli.
 
Supemodel 14! Diaspora 13! Uwiiiiiii
 
Supermodel 15, Diaspora 14
 
Duuh....naona super model kashinda pamoja na kupiga kura mara mbili lkn wapi.
 
Mimi kama makamu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa Story za Lara 1 kwa mamlaka niyopewa napenda kutangaza matokeo ya awali

Hadi sasa Diaspora kura 11

Super model kura 14 jumla kura 25 bado kura 5 kukamilisha zoezi

Tafadhari fuateni sheria huruhusiwi kuandika neno linalo zidi Mita 200 kura zilizo hesabiwa ni kwa wale walio andika na mameno kuto zidi Mita 200 nikiwa na maana kama diaspora andika diaspora kama super model andika super model

Tutaendelea baadae kadri tunavyo pokea matokeo

Ndimi makamu mwenyekiti
 
SUPER MODELLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL!!!!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya kitu loading! Mkae mkao wa kurefresh kila baada ya kimda kidogo.

Ndo naanza kuiandika, manake mchuano ulikuwa heavy nikashindwa kutaribi. HAMTOJUTIAAAAAAAAAAA! mTABAKIA VINYWA WAZI. Jiji hili mlione hivi hivi.
 
Hahahahaa! Thank you kwa kusema chochote na kujua UASOMA mpaka mwisho. Hahahaa! Yako pia maoni, hii sio dini muitikie wote AMINA.
Kumbe muda wa kura umeisha. Ngoja nizisome
 
Back
Top Bottom