"Get busy living, or get busy dying."
Sasa kumshughulikia K, kwangu ilikuwa ishu ndogo sanaa, ukizingatia pamoja na yooote, K likuwa wakuja katoka kanda ya ziwa huko, hata chuo kasomea mkoani. Siku hio nikatoka kwangu saa 10 usiku. Saa kumi na moja na roboniko mle ndani. Nikmpita mlinzi akaguna tu. nikaenda chooni, nikaanza kuandika sasa kwenye mlango wa choo cha wanawake. Kuna mlango mkubwa afu kuna milango midogo. Mmoja wa ile midogo.
"Enyi wanawake wenzangu K flani, lani majina yote matatu, ana cheo flani, kampuni flani, ni malaya mbwa, ana UKIMWI, demu wake wa UDOM yuko hoi kitandani mda huu. Ashatembea na wengi wenu mnajijua. Sasa anausambaza UKIMWI wake, na humu tuna tabia ya kupokezana mabwana.Ataetembea na K list itatoka chooni kila wiki nae muathirika vile vile. Kazi njema." Nikaondoka kabisaaa maeneo ya ofisi. Nikaja kurudi saa 3.
Baadae hali ikawa si shwari, watu wanaongozana chooni. Hakuna anaesema kitu, si mnajua watu ofisini wanavopenda drama? Watu wananongonezana tuuuuuu. Mpaka nikaj kuambiwa umesikia ya chooni shoga? Nikasema sijasikia. Naambiwaaaa. Kila mtu akawa very cold kwa K. Akaja Lara , mimi namchekea tu, niambie model wangu. Nimezushiwa nina UKIMWI, can you imagine, nasika nimeandikwa chooni, anatukanaaaa. Nikamwambia usidate kazini. Ndo tatizo la kudate kazini. Mkigombana mengine kazi haziendi kabisaaaa. Wewe unaamini nina UKIMWI. Nikamwambia coz sijakupima huenda unao kweli, but all in all we friends buddy, hata ukiwa nao we still friends.
Sasa kutokana na kutengwa na wengi ikawa sasa kawa rafiki yangu kichiziiii. Mpaka boss anamind flani mbona unashinda sanaa idara flani kuna nini hukooooo? Sasa afanyaje kila mtu anaogopa kuwekwa kwenye list ya chooni. Hahahahaaa! Ndo kunipasha kwamba Le Boss yuko mjini na mdada kapatikanaaaa. Nikaonyeshwa picha. Anasoma SEKONDARIIII! Holly cow!
Nikamuuliza kampataje? Akasema Le Big Boss ndo alimpa namba mapigia ampangeee, kapewa hio namba na MKUU WA MKOA flani, rafiki yake wa karibu, anadai ashapiga nae mande huyo mdada yuko vizuri mnooo but a bit expensive na ana masharti sanaaa. Mmmmmmmmhhh! Nikasema Dar kubwaaaa hii kumbe. Nikamuuliza tu how much does she charge akasema 2 million/night! Mmmmmhhhh! Haayayaaaaaa!
Jumatatu akaniambia Le boss bado yupo mjini, he wouldnt want to share a girl again. Msichana mwenyewe alilewaaaa, hana loloteeeee. Kajibwagaaa tu usiku kuchaaaa. Hizo 2 million just for nothing! Hamnaa kitu kabisaaaa. Nikamuuliza how old is your Friend? Akanijibu tu 40 something. Hapo K is just in mid 20s could be younger. Nikawa namdadisi tu how did you become frinds with this friend of yours. Akaniambia niliumwaga nikalazwa, sikuwa na ndugu so akawa ananiuguza hospitali. Mmmmmmh! Nikawa nataka kujua details za thir odd friendship
Akawa ananiambia huyo baba anafanya kitengo nyeti sanaaa serikalini, kaoa, ana watoto na mkewe anamjua. Mmmmmmmh! Basi nikawa napeleza kidogo kidogo shida yangu nilihis either 1 of them is gay, or something manake huo urafiki wao ulikuwa wa ajabu ajabu. K nilikwa 200% is not gay but huyo mbaba mwingine ndo nikawa sin imani nae sanaaa. Lakini K mtu wa kupanic ikabidi tu nimchunguze taratiiiibuuuuu.
Akawa kaniambia kuna this party this weekend Le Boss atakuwepo, mayor nae atakuwepo, mbunge flani atakuwepo, most of government people walikuwepo wa mjini hawa hawa unaowasikia kwenye taarifa ya habari, njoo ukitaka. Mmmmmmh! Nikawa nataka kumuona huyo Le Boss but huo mkusanyiko haukunipa akili kabisaaa. Nikamwambia I pass, but niletee ubuyu Mayor ataondoka na nini maana najua Demu wake wa mitoko ni Beyonce siku zote, ila nijulishe tu, na Mh flani hakikisha unajua hio party atatoka na nani. Akaniambia unamtaka nini huyo mbunge! Sikusomiii kabisaaa, kwanini umuulizie huyo? Nikamwambia tulia weweeeee.
Akanitumia whats up party imenogaaaa balaaaaaa, mambo ni dhambi ndani dhambi utadhani shetani anaishi humu kwenye hili party, mpaka najifinyaaa kucheki isije kuwa nishakufa niko jehanamu! Hahahaaaaa! Sasa hapa mimi na Le Boss tuna wanawake 2 mmoja Bonge, ana mikalioooo, mwingine petit, washatuelewa kabisaaaa, tuko nao page mojaaaa sasa nimelewa sijui nilale na yupi. Nashindwa kuchagua. Nimelewa nashindwa kufanya maamuzi nimchukue Bonge au Miss? Nisaidie hilo tu.
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ITAENDELEA SAA 5