Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

My dear sis,know it please au ? i am your admirer na sitoacha,please kindly uwe unanijibu baby,hujui tu jinsi gani nafarijika na kukuzimia zaidi na zaidi baby,Lara 1 .you are such a talented writer ever.
USIQUOTE tena just reply tuuuuh
 
Anna!

Working with uncle Freddy proved to be more fun than i could ever imagine. The life with uncle Freddy was next level. Aaaaaah! Kwanza i thought he had one company, kumbe he had many. Hio niko nafanya kazi is just 1 of them.ila ana ingine ya mikopo. Anayo ya kusupply vitu maofisini. Anayo ya kuagiza vitu nje na kuuza kariakoo. Yuko na 10 diff companies ndo maana haishiwi hela leo wala kesho. Kazini yupo serious hatari. Na mimi muoga muoga so nawahi kazini, nafanya nachoambiwa sikuwahi kumbeep wala kumkwaza. Akaaaaaaa!

Ila uncle Freddy mwingi, just like yesterday he met Z and sahivi Z was going nuts begging for his love. Ni kama Troy never existed. Kila kitu Freddy like they met 3 years ago or something. Na the legend of uncle Freddy proved to be true kwamba akimlala mwanamke basi hamrudiiii tenaaaa. Mi jilijua chumvi, ila toka amlale Zaina he is avoiding her, i can tell.

Troy kwanza nilimsaka nimchambe nilijua asilimia 3000 ndo kamwambia Da maria ishu za mumewe, na kwa akili zake zilivo ndogo ile ishu ya z niliombabatiza ndo hio hio kaenda ku snitch. Nilivompata nikamchamba wima wima tena na upupu akakanusha kata kata sio yeye aliotuma hio sms. After all mwenyewe kuna message katumiwa ina mvuruga akili vibaya mnooo kuwaza mambo ya K na Zaina. Amd him being him kama angetaka kulianzisha ange mface K ndo to go bitching to his wife. Not his style.

Kumchimba ndo kunionesha hio sms. Imeandikwa hivi "Hio mimba unayolea sio yako, mwenzio ana wanaume wa 3, akiwemo mwarabu, na hio mimba ni ya mwarabu. You can thank me later. Wako SNITCH." Mmmmmh! Nikasema bwana huyo atakuwa mwanaume wake wa zamani hataki umuoe anakutia jambajamba." Akasema mwenyewe nimewaza ila bro Kapima kasema nisogeze harusi mbele mpaka azae ndo niwe na uhakika anaweza kuzaa mwarabu. Mtu hawezi tu tuma sms from no where.

Nikachukua ile namba nikaipiga haopatikani. Nikaenda kwa Da Maria, akaja dada kufungua geti, akasema dada maria kasema nisifunguliwe geti. Nikakaa pale masaa 6 navomjua dada yangu asingefungua mlango, dada yangu yule nyota ya Scorpio, wana hold grudges, till hell freezes over. When she said she was gonna cut me out she meant business. Kikaja kitoto kina sema mom said we should not talk to you, you are a hypocrite. Hahaahaaaa! Nikaondoka.

Nikakumbuka ile sms alinitumia screen shot so namba itakuwa imetokea, nikacheki, JACKPOT namba ile ile ya snitch. Same Snitch same number. Nikawaza tu sababu vya Shem K vya kweli basi hata vya Troy na warabu ni kweli tupu. Who is snitch kati yetu. Kwa haraka nikasema lazima ni Zaina, cause she aint happy sasa she is spreading venom kila kona ila wote tuwe unhappy like her. Bitch is maderous. Anyway i gotta straight things with my sis.

Nikarudi kwa Troy nikamwambia nenda kwa Da maria, confess wewe ndo snitch na umetuma ila sms cause minilikwambia Z anatoka na k out of kukufanya tu usimuumize Z zaidi. But umejua ni uongo, K hatoki na Z cause kweli K hatoki na Z anatoka Freddy. Troy akashangaa antoka na freddy the rich bastard. Ndio! We chunguza mwenyewe utajua. Ila chondechonde nenda kwa dada Maria basi ukaninyooshee. Troy akagomaaa.

Nikiwa home Da Maria akanipigia yameisha mdogo wangu, njoo basi tumekumisiii. Nikajua Troy alienda i owed him one.Nikaenda maana kulikuwa na umbe mwingi sanaa kuanzia wa Z na Freddy ambao hakuupenda kabisaa. Analalamika z anahela, Freddy ana hela wakioana ni dhambiii. You wouldnt imagine alishauri nijirahisishe kwa Uncle Freddy kumpindua Z. Hahaaaaa. I met some one ila nilishindwa kumwambia cause he aint as good as Freddy. Ningezidi kumboa tu.

Back to this someone nae tulikuwa tupo tupo, nahisi nimelogwa mwenzenu. The guy is not everything ila he was something. Ana kazi, ana maisha yake ya kawaida tu, mzuri all the reasons to be happy and exited ila hamna kitu. Nikawa nipo nipo kama Zombi. Ule msisimko na cocacola haupo kabisaa, ila nikasema this ti e na act mpaka kieleweke.

Nikawa naongea na z why sina msisimko lakini, nishalala nae ila ndo hivo hamna msisimko wala nini, Z hana maana anadai itakuwa unapenda ma gangstar hahaaa. Analalamika tu itamlazimu kumloga Freddy kama hatokubali kwa hiari yake basi ataenda kwa Tina mkinga, this time hatokubali matokeo. Atapindisha matokeo vovote itavokuwa lazima aibuke mshindi.

Basi ananisimulia Freddy anajua kufanya weweee, aaaaah acha kabisaa. Sijawahi kufanywa vile nakwambiaaaaaa. Usingekuwa mshamshamba ningekwambia kapige nae mechi ya kirafiki uonje tu ytamu wa uncle wako afu basi hahahaaaaa! Mxiiiiiiuuu najua jeuri hio hunaaaa.

Unajua mwanamke unatakiwa uwe na mwanaume mmoja tu anaejua mamboooo kama Freddy. Having sex with Freddy is like an art, and he bevomes the artist sio some gross experience ambayo ukikumbuka inakuchefuaaa, mnafanya fanya tu mambo bila usanii na vipaji vyenu kuonekana.

We Anna ungekuwa an akili ungejifunza mapenzi kwa sensei master shiffuuuu Fredy hamna mwanaume angekusumbua dar mpaka unguja. Hakunaaaaa, hakunaaaa. Mi mtaalamu ila kwa freddy alamanusuraaa NIMSUSIEEE mwili anifanye atakachooo, yaani niligika stage nikawa helplesss, inshort nilimsusia mwili, sema sikumtamkia nakususiaaaa mwili hio, fanya unachotakaa, ile unaziraaa sasa baada ya kuzidowa nguvu mchezoniii. ?

Dont sex seriously, it is just sex, haki nakwambia ukifika 70 hiko utajilaumuu sanaa why you didnt have enough sex in 20s and 30s. Hawa kina freddy unaowaacha itabakia regrets tu. Kipapa unacho gawaaa mpaka kiwake moto. If you like a guy sleep with him, anakudai nani? Hata ukibane vipi mwishowe kitaliwa tu nyenyere chini ya ardhi. We only live once if you live well once is enough. Shauri yako. Banjukaa wewe ndo raha ya dunia, unabanaaa kipapa mpaka basi. Hahaaaa!

Mawili ma 3 yaliniingia, hasa hapo kwenye regrets aisee, i was wasting my life. Na kiukweli this new guy kazi haiweziii haiweziii but he is a nice guy, ila Freddy is my uncle siwezi kujikosesha heshima kwa mambo ya kipuuzi, Freddy is off limits.

Siku hio sina hili wala lile, Natoka corridor hivi namawazo kinomaaa, Nikashangaa mtu kanikumbatia, simple normal hug, nikastukaa, Manake kama shoti ya umeme ilinipigaaa. Kuangalia Freddy huyu hapa. Basi ananisalimia long time sijui nini. Low key ndugu wasomaji chupi iliniloa. Sijui kwanini. Nikajikausha pale as if its nothing kumsalimia na nini.

Nimerudi home, my Bf wa sasa Raul, siku hio yuko so romantic, mi nawaza tu hug la Freddy sielewii yaani, sijui zaina aliokuwa anasema kweli sijui. Ukapita mwezi ndo kusahau sasa na kurudi nirmal, ila Raul nae nikawa simsomi, mambo mengi namuona. Ila hikasema labda mimi mkali sanaaa ngoja nimvumilie tu. Isitoshe nishamtambulisha kwa kila mtu kijiweni, nikiachana nae itadhibitika Anna nina gundu wallahi si bure, hata miezi mi 3 bado.

Simu hio sina hili wala lile niko ofisini THE SNITCH akanitembelea inbox. " Anna gundu lako limechukua sura mpya, your new love Raul, is a lie. Hamna Raul wala nini, jina lake Richard, he is just a fack boy, hana kazi yoyote zaidi ya kuwatongoza wadada wenye hela na kazi nzuri na kuwachuna, same old pitch, anakaa na wewe anakuvisha pete, then anakwambia msaidie 20m biashara ziende vizuri mfunge harusi ukimpa ADIOS AMIGO, girl bye! You are such nice person you dont deserve an end like that. Natuma supportings docs. Yours trully THE SNITCH". Nilipiga yoweee. Zikaanza kuibgia picha za raul face book profile kibao piacha zake ana wa engage wadada wa 3 tofauti. Nilichokaaa. Kumbe lile yowee Freddy alilisikia akaja akanikuta nalia, akachukua ile simu akasoma. Akasikitika jamani Anna you dont deserve this.

I felt played, i felt bitter, sikutaka kumwambia Maria angeumia zaidi yangu. Nikawa nimekaa kwangu kupya baada ya kupa vi million nimekaa tu kwenye sinki, nawaza nimemkosea nini Maulana why me?" Nikampigia simu Zai. Akaniambia girl go have sex, inatibu broken heart. Ukilala hivo hivo unaweza hisi kama unakufa hufi, sio feeling nzuri kabisaaa. Umekuwa mwema loyal and shit keeps happening to you, bora tu ujiachieee hata if shit happens to you you deserve it. "

Nikajikausha nikavaa, nikamtext uncle Freddy upo?" Akasema nipo. Nikamuuliza mariane kwa uncle Freddy wapi kaniambia nimtume mtu wa boda na file. Akanielekeza. Nikachukua boda mwenyewe na kwenda. Nikagonga kengele. Akaja mlinzi. Nikamwambia mwambie Anna. Akatoka mwenyewe. Anna vipi mbona usiku. Karibu.

Nikaingia mpaka ndani, anauliza kwema, K mzima kweli, mbona ghagla usiku. Nikamwambia i just wanna talk, you know. Umalaya nacho kipaji, kujitoa sandakalawe kwa mwnaume kusikie tu kwa ma pro kama Zaina, nawaza mara anitimue na kazi anifukuze, kiranga komo. Ila nikikumbuka mikosi yangu nakaza tu moyo. Nimevaa bukta fupi ya hello kitty, na kaush, nilivaa na koti nikalivua, hata chupi sijavaa. Nikaona min bar. Mi sio mnywaji sanasana wine, nimekaa pale nikaona Grants, nazijua shem Ka anakunywaga, nikaanza kugida mzinga, kooni inapita kama moto. Najikaza kike oraaaaaa.

Freddy bado akawa anashangaa what the hell. Anajieleza ni maisha muachie Mungu sijui nini. Pombe i kitu safi sanaa, nikaenda kumkalia mapajani, basi anapata shidaa ila anajikaza. Namwambia i wanna fack you. Anasema pombe tu hizo, are you sure. Ila mijicho ya uchu imemtoka. Akajikaza akasema i cant fack you, you are drunk, its not you.

Nikamwambia basi kama hutaki naenda kutafuta mtu mwingine, i need to fack to night, i like uou a lot, if you dont like me, fine, nikawa napepesuka naondokazangu hivo sijui hata naenda wapi. Akabakia njia panda, akasema okay okay! Lets talk first.

Why me? Akauliza. Cause you cant hurt me i know you! You are uncle Freddy. But if you dont want okay. Anawaza haraka haraka kuku kaingia bandani afanyaje sasa. Jasho likaanza kumtoka anapiga mahesabu ya now or never. Akapiga kura ya now. Na mimi nikavua nguo zote, basi ana mashaka kama anaoga nje haelewi afanyaje.

Nikasikia fack it, akaja mzima mzima, asubuhi kuamka nimelala na uncle wangu tayariiii. Tobaaaaa. Ila sikumbukiii details nililewa snaaa. Kujigusa kanila kweli uncle hataniwi. Details sikumbuki hangover ya balaaa. Nikamtoroka nikamwacha kalala.

ITAENDELEA KESHO SAA 7 MCHANA.
 
Lala jaman plz tube hata nyingine moja sio kutuacha juujuu hivi
 
Nimegundua nakupenda kinoma!mastori,swaga,chai,mipasho yaani mie hoi!sijui ukoje???
 
Yaani iishie patamu hivyo alafu useme kesho mchana!!
Fanya hata asubuhi mama.
 
Mmhh ilivo traaamuuu nimejikuta narudia kusoma story yote kwanzia mwanzo
 
We mwanamke hata unapowasilisha nonsense zinakuwa zina mvuto wa ajabu. yaan unaweza ukaandika pumba zenye kiwango cha lami ila zinakuwa na mvuto wa ajabu... uko vizur sana hongera aisee
 
We mwanamke hata unapowasilisha nonsense zinakuwa zina mvuto wa ajabu. yaan unaweza ukaandika pumba zenye kiwango cha lami ila zinakuwa na mvuto wa ajabu... uko vizur sana hongera aisee

Mkuu unajitakia ban, unawezaje kuuita UBUYU pumba?......
 
Sijui kwanini mwanaume anaweza akakuacha yeye ila wivu tena akapata yeye!! Mfyuuuuu!!

And that is the very reason we are called MEN, hata kama sina mpango wowote na wewe as long as tulishawahi kuwa wote...kukuona na njemba nyingine inahitaji PhD ya ujasiri kuvumilia...
 
Uncle Fredwaaaaa asije tu akawa ndio anahusika na kumwaga sumu. lara 1 kwa hii episode ya mwisho haina namna acha niwahi kutoa stress....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom