Freddy!
Not that mimi ji mshamba wa K, ikumbukwe kwenye mambo hayo nishakuwa Master Maestroooo. Lakini kitendo cha yule binti kunjia ghafla usiku ule, kwanza kilinishtuaaa sanaaa. Manake nilikuwa sijajitarajia, of course ile timing ya mchana ilikuwa golden nikajipanga kutupa kete zangu, ila i just wanted to give her space ajipange. Kuna siku alikuwa kazubaa zubaa nikaamua kumkumbatiaaa, nilijitoa tu ufahamu , alikuwa kapendeza na mimi nikaona walau ninawe, japo kula sili hata kunawa nisinawee inakuwajeee. Nikamkumbatiaa then wote tukajikausha.
Kuja ndani kwangu nikajiuliza ina maana ananipima au, baadae nikahisi labda kavurugwa sanaa sio bureee. Nijikuta nasita kumlaaa manake huenda kuvurugwa tu you make a lot of erong choices bila kujijuaaa. Then kaja kihasara hasara ananipa ultimatum now or never, nikasema wacha na mimi nipige tu muhuriii basi. Manake sasa namuachaje kwanza. We all make wrong choices but we learn the hard way.
Ila kitoto sikukifaidiii sanaa, manake kilikuwa kimelewa chakariii, nikawa najiseviaa, sema mimi mwenzenu napenda ushirikiano, nikifanya jambo nione response, i am not savage ile najifanyia fanyiaaa sioni response naendelea tuuu, hapana not my style kwa kweli, sasa kitoto kimelewa nikawa nashindwa kujua kama response ni genuine au grants zimekimbilia chini. Na another turnoff kalikuwa kananiita uncle Freddy, it made me feel savage.
Ila nilikala hivo hivo kibingwa, na niliji enjoy sanaaa. Na kiukweli nilianza na condom ila tatizo katikati nikahisi kama show sio show vile, kama kuna kitu kinamisiiii design ndo nikaamua kuivua sasa nipite ile kavu, nikapita. Daaah. Mambo matamu, japo ilikuwa one mans show but i cant complain kwa kweli.
Asubuhi nilivoamini yule binti bado mtoto ni alipo nitoroka, wakati mi namuona kabisaa, nikasema nijikaushe nimelala. Huyo katoka mkuku. Nikaangalia news, baadae nikaenda ofisini , nilipofika nikamuona kafika nikaingia ofisini kwangu, baadae tukawa na meetings, mchana kwenye lunch nikaambeep kwanza, ile naanza "About last night .... " Kabla sijamalizia akadakia " I know it was a one night stand, na ukilala na mwanamke humrudiiii, i know you dont have to tell me. Z told me already." Nikakaa tu kimya, i dont know why but sikupata maneno ya kuongea wala maelezo ya kueleweka, i just kept quiet, just like that.
Basi we grew tense, ila genuinity ya Uncle Freddy ikaisha kabisaaa. Tukawa tupo tupo tu. Mi mwenzenu kubembeleza wanawake sio mtaalamu sanaa. I am used to women throwing themselves to me. Ila nikawa naumia, when she gives me a cold shoulder naumiaa kinomaa, wish could do something ila nashindwaa cha kufanyaaa nabakia nipo nipo. I was helpless.
I dont know what i was thinking ila nikataka Zaina aniweke pale kwa Anna, i just though Zaina was smart nikimuhadaa hadaa anaweza fanya kitu na kuniweka pale. Nikaa kaa nae chini kabisa nikamcha Zai eeeh, mwanangu niwekea pale kwa Anna basi. Akastukaaa. Akalaumu why simpendi yeye sijui nini. Akasema hawezi kuniweka hata iweje.
Kikaja kimbunga cha tornado Mariane kaja kunitaka ushauri kuwa alimtuma yule mwanae Lorraine ajifunze pass word ya baba yake ya simu. Kakawa kanaangalia kwa makini zile paterns zanavochora akawa kazijua. Alivozijua mama yake siku akamwambia nifungulie, akamfungulia simu kitu waaaaa. Akajifungia kwanza chumbani asome sms kwa sms bila bugudha.
Katika sms zote akakuta sms ina namba tu haijaseviwa, imeandikwa " Asante mkwe, umetutunza vizuri, umetuhudumia vizuri sanaa kipindi chote upo na mwanetu, wewe ni mkarimu japo tulikuwa na shida nyingi sanaa, hukuwahi kutuchokaa, wala kutususa kwa kweli sijui tukushukuruje K.
Japo mwenzio katolewa mahari na tumepokea kwa shingo upande, tunachokuasa ni kwamba hata akiolewa muendeleze mahusiano yenu kama kawaida na sisi bado ni wakwe zako usitutupe kabisaa. Ndo isiwe kikwazo kwa mahusiano yenu kabisaa, nyie watu wazima myapange yapangike mtaendeleza vipi uhusiano wenu mtamu. Mkiachana itatusikitisha sanaa sisi wazazi, na kama wazazi tushazungumza na mwenzio na hatuko tayari kuona jambo lisilo la kheri kama hilo likitokea. Ndoa ni hatua tu ya maisha ila moyo ndo unapendana na mioyo yenu iendelee hivo hivo.
Nina mengi ya kuandika ila naishia hapa, mfanyie kazi haya mawaidha. Mi mkweo Jabir. "
Mariane akachoka kabisaaa, akasoma reply ya K kwenye mawaidha ambayo hata shetani anatetemekaaa, kajibujeeee. Akakuta kajibu " Nimekusikia baba nitafanyia kazi." Akakuta na sms kibao za msomali akazisomaaa tani yake. Basi ananisimulia Freddy kama K katerero ndo ilimchanganya si angenielekezaaa. Kweli shemeji mi alinifanyia hio katerero siku moja nikaona utelezi hauishiii nimenawa pipa 3, kidogo nitumbukize sabuni humo humo kiukweli ilinishindaaa, kama muhimu angeendelea kuniomba labda ningeizoea, sasa huyo msomali ndo kawa teja kabisaaa, anamuitia "baby nimeimiss katerero! Nyoko zake"
Nikamuuliza sasa umemwambia K kuhusu hizo sms ulizoona, akasema sijamwambiaaa. Wala simwambii, wewe mfikishie taarifa kwamba nimejuaaa. Na Huyo Saida namtafuta huyo mume anaetaka kumuoa nimpe hii sms aisomeee. " Nikamsihi usifanye hivo Mariane, we deal na K yule muachie Mungu a deal nae. Sasa sijui alinielewa au vipi.
Nikampigia simu K alishtuka hatariii. Akadataaa. Badala afikirie anajiokoa vipia yupo " Nani ataniuzia gari jipya fasta fasta, yaani yule bibie bila kwenda na gari jipya hanisamehi. Nikamwambia wewe twende kwanza ukajue ya kwako kumekaaje. Tumefika kwake tunagonga Masai anachungulia, K anamwambia nifungulie, Masai anagoma "Mama kasema nisikufungulie mlango." K akaja juu " Masai usiniletee ungeseee, nani kakuajirii hapa, na nani anakulipa mshaharaaa? Embu fungua geti kabla sijalivunjaaa." Masai kagoma kaenda kumuita Mariane.
Mariane akaja kuchungulia mwenyewe, K akawa mpole. Akakosa la kuongea. Tukashangaa mabegi yanarushwa toka juu ya geti. Mmmmhhhh! Nikayatia kwenye gari tukaondok. Namuuliza unaenda kwa Saida? Akanijia juu " Acha ungese nikienda kwa Saida si ndo sitorudishwa milele ndani kwangu. Daaah! Hapa naishi kwako mpaka aone nimebadilika."
Marriage changes people, mi nilijua K atashangilia hatari his new found freedom kumbe tofautiii kabisaa. Zamani ikifika saa 5 analalamika kurudi kwake kama adhabuuu, analaumu kwanini aliwahi kuoa, sahivi nikajua atakuwa anakesha kumbe walaa saa 3 anarudi nyumbani. "Naenda kuwapigia simu wanangu. Watalala kabla sijaongea nao. Twende basi home mi nitakaaje peke yangu" Kufika kule anawahi anaongea nao wanamuuliza "Daddy when are you comming home" anajipangusa pangusa makalio tu, maana anaona aibunkusema katimuliwaaa. Siku hio mkubwa anamwambia " Mom told aunty tinna you had an affair and you are getting divorce, will i be getting another mommy and daddy, i dont want another mommy and daddy" Akabakia angaa tu sharubuuu.
Basi ananimbia Freddy mke wangu ananiacha ujue, na alivo na kinyongo yule ni scorpion ana hold grudge till hell freezes over, yaani kunisamehe yule mpaka jehanamu kuwe umegandaa barafu ya Antactica. Nisipofanya jitihada ndo naachika hivi." Namuona kabisaa inamuumiza sanaa. Sasa nikamuuliza kama mkeo alikuwa wa maana sana why cheat? Anabakia anatikisa tu kichwa.
Katika jitihada za kujirudisha akampelekea gari jipya na i am sorry note. Gari ikachukuliwa, akakuta na mlinzi kabadilishwa wapo wa kampuni sio Masai. Akamuuliza Masai akaambiwa amepata kazi kwa kapima. Anatuma maua ofisini kila siku ya i am sorry, holaa. Simu haipokelewi messeji hajibu. Loraine ana ipad ndo anawasiliana nae kwenye hio Ipad, na hapo hakuwa akikumbuka. Kaitwa vikao vi 5 vya ukoo, haji wala sms hajibu za mtu yoyote na simu hapokei. Wanae anaenda kuwaona shule tu. Yaani ikawa kama anamtongoza mkewe upyaaaa.
Basi mkewe alitaka kwenda Marekani na watoto Disney akawa kamgomea kwa maisha ganiii wajiachie hivo, ka fight ka fight mpaka akapata tiketi 4 na yeye ndani manake, na hoteli kalipia, akamtumia vyote kwa email risiti na tiketi. Mkewe kabadilisha tarehe yake na watoto ya kusafiri. K akawa busy kweli kweli kutaka kurudi kwa mkewe.
Na Anna nae akawa katengwa vile vile mshtakiwa namba 2 kwenye kesi ya K, K alishtakiwa kwa adultry, Anna yeye ni accessory to commit adultry, obstruction of justice kwa kumsemea uongo K, na first degree Lies, Anna nae akawa hafunguliwi mlango wala hasogei Mariane alipo. Wakawa wakimbizi wawili peke yao. Anna aliumia sanaaa, sanaaa.
Nikamuuliza kwanini hukumwambia Maria, it would have put you on safe side, akasema alijua itatokea kama hivi, Mariane hasamehiiii, hakutaka familia itenganeee, sema ndo kinacho mcost. Mimi Freddy baada ya kushindwa kumuombea k msamaha nikaenda kumuombea Anna, Mariane alikuwa anaona Anna mkosefu kuliko hata K. Anna alikuwa anahukumiwa makosa mengi sanaa.
Analalimika Mariane " She looked me in the eyes and lied to me, anaweza kukuua yule mtoto hivi hivi anakutizama machoni. Nimemuuliza mara 5 uso mkavuu ananihakikishia sio kweli kumbe anajua ni kweli. Isitoshe kala njama na Troy kunichuuza kunipoteza maboya nisifatile ukweli, Mungu alivo waajabu yamebumburuka yotee wamebakia uchi wanatapatapa. Naweza kuja kumsamehe K ila sio Anna. Ndugu yangu wa damu yule, nimelea mimi kama mama yake, ila hana uchungu na mimi kabisaaaa, hanaaaa. Freddy usione nilimkata siumii ananiumaa damu nzito ila kwa alioyofanyaa baaaaaas. K sio nguu yangu, ila Anna should have been on my side all along. Siwezi kumsamehe leo wala kesho. Tena mwambie atahangaika sanaa, Radhi ya mimi dada yake, ambae pia ni mama yake mlezi HANAAAAAA." Nikamuombea msamaha wapiiii.
Kwa K kulikuwa hakuishi wageni, barbecue, vi function visivo na kichwa wala miguu, sahivi kukawa kimyaaaa, hali shwari kabisaaa. Hakuna nini wala nini. Kupata Mariane ujasiri wa kumtimua K, kukawapa wote ujasiri. Tina Mkinga aka file for Divorce wa kwanzaa kabisaa, akitaka wagawane mali pasu kwa pasu na Kapima. Divorce was going Nasty, maana Baby Mama alikuwa mjamzito, na Tina alisue kwenye grounds za adultry. Kapima alimu underestimate Tina, kuwa sababu hajasoma she will take anything he will offer. Sababu alikuwa mwanamke wake wa ride or die, anachomwambia sawa anakubali akajua Kitonga. Weeeeee! Alivotembelewa na wana sheria wa Tinna alitia akili, it turned out the divorce was gonna cost him more that happiness aliokuwa anaitaka. He was not ready to lose half of his property to baby mama bulshit. Akakimbilia kwenye ukoo wayasuluhishe akili zimerudi sawa, hataki talaka tena wala nini, ataka kupigania ndoa yake na Tina. Alishtuka umri umeshaendaaa hawezi kuchuma kurudishia nusu atayoondoka nayo Tina, anamjua Tinna out envy na dawa zao za Kikinga akipata hio nusu atampiga gape la hatari afu yeye ataonekana mngese tu mjini, akajitafakari upyaaaa na kughairi.
J4 akaacha kufugwaaa, akawa hapewi hata 10 na Alma, ikabidi akafanye kazi zake alizosomea za ufundi viwandani apokee laki 6. Na majukumu anaachiwa kama kawaida. J4 akawa anamlaumu k tu kwa yote, ndo alieleta mfarakano kati yao na kuwaharibia wote.
Ile nyomk iliokuwa kwa K ikahamia kwangu sasa, mda wote K akiwepo ni dhambii watu hawakosiii kwangu, basi na matizo yao wanaaga kabisa tunaenda kwa Freddy. Kwa Freddy huko vipi. Basi sababu kwangu basi inabidi na mimi niwepo. Wakawa wamenibanaaa nashindwa hata kufanya mishe zangu zingine. K hachoshi kukaa nae, manake bills zikiisha analipia, vinywaji ana reload, yaani sio mzigo kabisaa. Ila life style ya wanaume kujaa kwangu kila siku ilinichoshaa, huwezi hata leta demu ukamla kwako kwa amani, utampitisha wapi wakati sebule yako kijiwe. Mda mwingine narudi kichwa kinauma natamani kupumzikaaa nashindwaa itaonekana Freddy katuchokaa mbona hakai na sisi.
Na siwezi kuchukua hoteli watajisikia vibaya nimewaachia nyuma na kwenda kulala hotelini. Basi nikawa sijapata usingizi mda mpaka naanza kuzeeka. Ikabid nimuombe Anna, aje aninyofie pale. Maana wale wote anna anawajua so aje pale nimsindikize. Ajifanye kaja kumuona Shemeji K. Afu nimsindikize nisporidi wataelewa kiutu uzima
Kweli kaja, kasalimia, story 2 , 3 akagaa. Nikajitolea kumpa lift. Basi nikampeleka mpaka kwake, najua najua sikaribishwagi ndani. Nikashangaa nakaribishwa ndani. Daah kufika kule naona kitanda kupo kimya hamna miziki wala nini, nikamwambia Anna naomba nijinyooshe hapa kidogo afu nirudi kule kwangu. Akasema poa Uncle Freddy we lala tu. Nikaona kama paradiso.
Nimesinzia hivi nashangaaa nastuka nabusiwa busiwa mdomoni, Nikasema sasa hapa hamna namnaaa, na leo hakajanywa sina budi zaidi kusema Familliah! Sijauliza nini wala nini, nikamsogeza kwangu kwanzaa, 0 distance ile yenyeweee, nikamuuliza "Semaaaaa! nambie," Nilitaka tu anitamkie Uncle Freddy i want you! Au Uncle Freddy nipe mambo." Akaamua kuweka gia namba mbili mkono ukazama kwa babuuu. Daaaah! Nikabaki nasikizia utamu tu.
ITAENDELEA SAA 4 USIKU.