Freddy!
Kiukweli nikiulizwa kwanini sina mke sina jibu la moja kwa moja. Yaani na uwezo wa kumpata mwanamke yoyote mda wowote ule na nikamuoa akanipenda kufaaa. Maybe ukiwa shababi sanaa wa wanawake you get bored along the process. And i got bored i guess. Nilijiachia sanaa na wanwake sampuli zote wanene wembaba, wasomi, kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa ikafika mahali sasa nothing amuses me anymore.
One thing about women they always have ulterior motives always. Unaweza mtongoza demu akakukubali ukajua she likes you for you ila hamna kituuu. There is always an ngle give it time and utasikia tu, nisomeshe, sina kodi, nioe, walinisema sina mwanaume wa maana, always there is an angle. All i always wanted if for some i love for who they are to love me back for who i am. Sasa naempenda mimi anampenda mwingine, and i am a proud man, siwezi kubembeleza, na nisiempenda najisikia vibaya kublock chance ya yeye kumpata anaempenda.
Of lately i was bored, manake sampuli za women i like ran extinct. Sikuwa na chalalnge anymore, na hela inakuja na umri. Basi sasa nina hela natongozwaa, nikibeep tu napigiwa, the years if being a hunter were over now i became a prey. Hahahaaa ! Karma is really a bitch. Wanwake wengine nishawala kitambo bado wananitafutaaa niendelee kuwala kwenye ndoa zao with expectations ofcourse.
Life became boring almost a year sijamla mwanamke yoyote. Nimechoka tuuu. Hata umalaya nao ukiufanya sanaa nao unakinaishaaa. Sasa mimi ndo ukawa umeshanikinai. Na kilichonikinaishaaa siku ya siku mwanamke ALINISUSIA MWILI NIMFANYE NACHOTAKA! Haaaaaa! Sasa sijui ndo style mpya mjini sikuwa najua. Demu tumeenda nae fresh kunikuta sio kibamia, mawe ninayo, mchezo nauweza, demu akadataaaaa ndo kunisusiaaa.
Mi namla demu mara anasikia baby nimekususia mwili! Khaaaaaaaa! Nifanye unachotakaaaaaa. Mwili wangu huo nimekususiaaaa. Tobaaaaaa. Mmmmmmh! Mxiuuuuuu! Daaah! Mi sikuelewa sijui ushambaaaa sijui uzeee i called the match off. Nikamwambia demu nakuja naenda kuchugua sigara, shati nimeliacha kabisaa, huyooo motooo. Wanawake wengine ni mental case.
Kukaaa na K kumsimulia ananiambia demu alikuelewaaaa yule, alitaka umpeleke DUBAI. Mtumeeeeeeee. Ndo ananifungua machooo. K akajitia mjumviii, shuzi likapata mjambaji haswaaa. "Demu alivokususia hakujilaza tigo kawekea juu, kakususiaaa kabisaaaa, ile utakavyoooo! Hahhaaaaaa!" Nikabaki natoa macho. K anaendelea bora ususiwe nawe unaweza kususaaa huliii, wenzio wanajikosesha njia, unajikuta ushaenda DUBAI bila kupendaaa" Haaaaaaaaaa! Astakafiru kabisaaa mabinti wa sasa. K anajimaliza " Mi ndo maana piga piga zile hiemacha kabisaa naweka makoloni, sahivi nimekuwa colonialist, bepari la kihaya, hahahaa. Nikiona demu decent anaeleweka naweka ikulu ndogo natulia. Eeeeeeh! Kama kwa Suraya mtoto wa kisomali meneja bank, pale nimewekeza. Sababu demu yule ananijulia, mambo mke wangu aliyoshindwa kunitimizia yuel ananitimizia wanagawana idara za kuniridhisha, hahaaa! Sasa nahangaika nini tena, nguvu zenyewe ndo zinaenda ukingoni. Times have changed man, sio kama enzi zetu tunafanya umaluuni, duni ya sasa mali ya shetani." Daaaaah! Toka hapo nikawa skeptical na wanawake, nikajipa kwanza likizo ya mwaka mzima.
Anna i liked her very much, mwanzo sikuwa na uhakia nikajua maybe umalaya wangu tu, nimemtamani. Nilikuwa nakaona pale kwa k, nikajizuia kabisaa. Ila kila mda namfatilia. Nahangaikaaa huku na kule nakuja kumkumbukaa , au jikimuona nitamuwaza mpaka mwezi. Tatizo nae heshima nyingi, uncle uncle sasa kumuanza nashindwa. Bikipata nguvu za kumuanza nakuta anatoka na mtu mwingine, basi naghairi, haipiti round huyo mtu wanatibuana nae, najipanga upya. All in all sikuwahi kufanya serious efforts kumpata.
Juzi ile dinner nikajua mwanangu K amenitengenezea mazingira, kufika pale Zaina nae was throwing herself on to me, mpaka aibuuu. Nae wa ukweli na mambo anaonekana anayajua afu alikuwa ready kuliwa, i just had to make the call. Wakati Anna bado mtoto mtoto sanaaa. Nikawa caught off guard. Luckly nikampeleka kwake, ingekuwa mwanamke mwingine angeningangania nilale kwake ila Anna bado mtoto sijui u uncle anauendekeza sijui. Ila anakuja leo kazini hapa.
Kiukweli nafasi ya kazi hamna, ila nataka tu kuwa nae karibu it will be interesting, Kubadili tu mazingira, isitoshe uncle wangu anateseka huko kwa watu wakati uncle nipo nawalipa watu vizuri sanaa.Acha aje hapa kubadilisha tu mazingira ya kazi.
Nikapigiwa simu Anna kafika, nikaenda kuongea nae, basi kanoga hatariiii, daaah, uncle jamaniii nae. Nikamwambia nafasi ipo ya personal assistant sio secretary wa kupiga chapa, hapaanaaaa, tunakaa tunapanga mipango ya kampuni almost ni vice wangu. Akafurahiii huyo. Nikamuuliza anataka bei gani akasema 1m, nikamwambia tutakupa 3m sio kwamba nilimlopa sababu ya nyege hapana ndo scale za pale kwenye kampuni yetu, na patners wangu walikuwa wazungu, so ndo scale za kwao huko. Akaoneshwa ofisi yake. Ndo kazi ashaanza hivo.
Kiukweli sio mpenzi wa kukaa ofisini, ila siku hio nilikaa yote, mchana nikamuita Anna tujadili kesho kulikuwa na kikao. Nikambrief tu kwamba tuna consultancy firm yetu hio, nikampa list ya clients wetu, nikamuuliza sasa kesho partner wangu ambao ni mzungu na mkewe wa Canada wanakuja kujadili mwaka huu ameendaje na mwakani tunafanyaje. Nikamuonesha numbers na kumtaka ideas hapo kwenye mwakani. Nikamsikiliza she is bright, na ile kazi angeiweza, not as bright as me, but uelekeo anao.
Mchana nikamwambia twende lunch, anajistukia stukia akakubalim mi sili cheap hata siku 1, tukaenda sehemu ya maana, nikamuashua ofisi ina cover ndo maisha yake mapya ayazoee. Alikuwa kama kadataaa. And it was nice to have some one to talk to. Jioni akaja K, akamsalimia na Anna basi K hana akili anasema ushamla? Hahaaaa" Tukatoka.
Anna was doing okay bado anasoma mavitu ayaelewe anapitia clients files, akutane nao, she was dead busy. Siku akaja Z, as usual throwing herself at me, ofisi kwangu mikao ya kihasara hasara mwanzo mwishooo. Mi nikawa najitia sielewi, ila Z ni wanawake ambao the more you push her away the more she wants you more, ndo unamrogaaa anaongeza kasi. Dawa ya wanwake hawa nia kuwala japo mara moja tu ili aone nothing special. Sasa na mimi sikutaka kumla cause ingesumbua kumpata Anna si unajua tenaaa.
Jioni nikamwambia Anna kuna social meeting na client she is expected to come, client ana harusi. Anna akaja ni kibwana chake. Alinikeraaaaa. Ila sababu tu mimi veteran nikajikazaa na kutafuta kampani huko huko harusini. And the sad part hiko kibwana nakiona kabisaa kinampotezea mda, macho juu juu mda wote. Kuona niko peke yangu asimuite Z aje anipe kampani, aliniwezaje sasa. Usiku ulikuwa mrefu sanaa, na alishanitibuaa, na pombe, na Z vika click.
Nikaondoka nae nikaenda nae kwangu, mwaka si mdogo jamani wanaume wenzangu na Z sio mbaya ikumbukwe. Kufika na kufika kama nilivowaambia Z mtu mzima na ligi zake next level, kavua nguo mwenyewe, haaaaaa! Akaona namchelewesha kaja kunivua na mimi, mmmmmh, hahaaaa, sio kwamba mgeni wa haya mambo ila basi nikawaza kilichomshinda Troy ni nini?
Nikamwambia slow down i just wanna talk first. Kanajichetuaa, talk about what honey, i am so horny! Jamaniii. Namjibu anything. About you, politic, Troy, the weather, anything. She was bright and sexy, sema still nilikuwa nawaza kama nimle au nisimle sipati jibu la kueleweka, na yeye alikuwa tayari kuliwaa. Tukaongeaa mda sanaa. Nikamwambia leo tulale tu tutafanya siku ingine.
Akakubali kirahisi kabisaa, ila anaogopa kulala peke yake, so tulale wote. Usiku akaanza visa visa mpaka nikamla kishingo upandeee. Na condom, na alikuwa mtamu kwelii. Asubuhi anaomba nimpige cha asubuhiii, nikampiga tena cha kuondokea. Sema kabla hajaondoka nikamwambia this is one night stand, na what next itategemea na utunzanji wako wa siri on what happaned. Anajiapisha hasemiii.
Nafika ofisini namkuta Ana kawaida nikajua hajamwambia, mchana kwenye lunch Anna anamsifia Z ni mwanamke mzuri tu, uncle Freddy, Troy ndo muovuuu muovuuuu shetanii. Mxiuuuuuuu, nikajua Z ashamwambia ndo keshaniharibia kabisaa. Why do women have to kiss and tell. Nikataka uhakika, nikamtuma dukani mbali kidogo anifatie leso. Akaenda, nikaidaka simu yake nikakuta ina lock. Nikairudisha.
Nikaichukua tena nikajaribu Marriane haikufungua, nikajaribu Lorrine mtoto wa kwanza wa dada yake, haikufungua. Nikajaribu Laura wa pili holaa. Nikajaribu Mina jina la nyumbani la mtoto wa dada yake ikafungua, nikachungulia whatsup kweli Z kamsimulia kila kituiuu inside out, mpaka one night stand, loooh!
Nikachokaaa, bwawa lilishingia lubaaaa. Damn these women.
ITAENDELEA SAA 4 USIKU