Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

My dear sis,know it please au ? i am your admirer na sitoacha,please kindly uwe unanijibu baby,hujui tu jinsi gani nafarijika na kukuzimia zaidi na zaidi baby,Lara 1 .you are such a talented writer ever.
Unabore, kwan lazima u quote uzi mzima? Au uliambiwa ukijibu tu kawaida Lara haoni msg yako?
 
Khakhaakhaa Mujini mipango ila kuna wanaume mizimu yao ipo sensitive sana yani ile unawaza kitu juu yake tu nywele zishamsisimkaaa
 
Mjini kuyapatia shamba mavuno Mkinga umetisha ila Mungu anakuona
 
Khakhaakhaa Mujini mipango ila kuna wanaume mizimu yao ipo sensitive sana yani ile unawaza kitu juu yake tu nywele zishamsisimkaaa

Watu wana kazi, muke ya muhaya ndio kanikosha.
 
Unabore, kwan lazima u quote uzi mzima? Au uliambiwa ukijibu tu kawaida Lara haoni msg yako?
Basi unisamehe mrembo,unajua Lara akirudi jukwaani napata mfazaiko,yaani ni mtoto wa kishua,sasa hapo wewe mwenyewe utanisamehe.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HAPPY NEW YEAR PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Maxence Melo sijui hata nisemaje, was watching the news, and everything, HEART BROKEN kwa kweli. Yaani hata kuja humu nilikuwa sinaaa. Thanks God now uko home with your family.

Japo niko busy kuliko busy yenyewe, but we need to celebrate, mwanakondoo mwenzetu umerudi kundini salama, tuna rejoyce na kastory ka kufungulia 2017 just to celebrate your freedom. Ingekuwa amri yangu ningeandika kumchana yule ngoshaaa, mavitu vina vya PETALS OF BLOOD vilimfanya James Ngugi aka Ngugi wa Thiongo alituburudisha sanaa sec na dude lake The river between afukuzwe kenya kabisaa au vina vya ARROW OF GOD la baba la baba Chinua Achebe vilivomfanya atimuliwe Nigeria jumlaaa. Yaaaani walivokuwa wana kuparade mahakamani, my envy, bitterness only God nows nilikuwa na flow hata page 20 NON STOP. Imbeciles kabisaaa. MAY THE ARROWS OF GOD PIERCE THEM AND THEIR FAMILIES. Hili dude la kumchana Ngosha naliweka kwanza iko siku.

Kitu kitawajia SAA 5 USIKU huuuu. Episode 1 hio, si ya kukosa. Sio la kumchana Ngosha lakini. We cant start a new year with bad luck of such magnitude.
Lala 1 ni Not yet Uhuru kilichomuondoa Ngugi wa Thiong'o Kenya...baada ya kukandia Maana ya Uhuru wa wananchi wakati walifaidika wachache tena hata hawakutoa jasho katika kuusaka Uhuru huo..
 
Wanaume wa siku hizii Mweee...nani kasoma kitabu cha On Becoming, cha Toke Mankiwa yule dada mnaijeria...wanaume wa kiafrika ni zaidi ya balaaaaaaaaa.... Ukiwaendekeza unajifia walahiiii,.,
 
Yani mda mwingine ukiwawazaaa hawa wababa hawa...haya bwn
 
The Kingdom Of Men!

Ilikuwa siku ya mahari ya Troy. Pastor Steve alikuwepo, Muhaya alikuwepo, Jumanne wa Halima bonge alikuwepo mzee wa kitongaaaa, Dr. Mark alikuwepo, Troy nae alikuwepooo, Regan mchizi wa Troy alikuwepooo, Kapima mume wa Tina Mkinga alikuwepo, Na Fredy senior Bachelor alikuwepo..

Muhaya, Pator Steve, Juma mzee wa Kitonga, na Fredy walikua gari moja. J4 mzee wa kitonga akaanzisha mada, jamani Troy anaoaaaaaa, anaingia chamaniii, weraaaaaaaaaaaaa, yule demu wake Z sahivi mwanangu oyaaaa oyaaaa tunajipigia tu, tunavotaka, inaitwa NO MANS TERRITORY hiooo. Yani Oyaaaa oyaaaaa mwanangu J4 kapitaaaa, Muhayaaa kapitaaa, Kapima kapitaaaa full kujiseviaaa"

Muhaya akamkatishaaa "J4 nitakushusha mambo yako ya kizandiki huko huko, kunitaja kwenye ufirauni wakati mimi nina mke na watoto 2 nyumbani isitoshe usivojielewa unaleta matani hayo mbele ya baba mchungaji unanitafutia nini lakini au kunichafua kanisani. Afu jiangalie maongezi yako, kuna uwepo wa mtumishi wa Mungu, na kuna uwepo wa Mungu vile vileee katika hii safari ya Bw. Troy kupata mke, Halleluyaaahhhhh" Wengine wakadakia "Amen" Ikawa safari ya kimya kimya, muhaya kwa ufirauni akaweka cd ya Christopher wimbo ule wa Elia.

Fredy akachukua simu yake akawa anachat. J4 akapiga jichoa, akapayukaa Haaaaaaaaaa! Freddy anatuchezea foul, anatupiga hatrick kwa Z." Muhaya akawaza akadakia mtashuka sasa hivi kama hamuwezi kujiheshimu."Wakawa kimya Fredy akarudisha simu mfukoni. Pastor anasoma zake bible tu. Muhaya akamchokoza pastor, baba mtumishi vipi maono yako yanaonesha ndoa hii itadumu kweli?" Pator akafunga biblia "Hilo ni juu ya Mungu baba, tuiombee hii ndoa idumu maaan akiunganichasho Mungu binadamu asikitenganishe.


Wamefiak ukweni, hali duni sanaaa. Ila wakarimu hio familia hamna mfanoo. Wakatoa mahari ile, wakapigwa na fine binti mjamzitooo, ukaja mda wa kula, wakwe hawajiwezi kwa kweli wakawauliza mnakunywa nini, kibaya wakamuanza Mzee wa Kitonga, J4 akadakia Serenngeti, wakaja kwa Muhaya akasema Fanta Orange, Pator Pepsi, Freddy Mirinda, wa mataifa wakaagiza bia, unaona kabisa familia inaenda kupiga doneee kikao wakafata hizo bia dukani.

Pastor akawahi kuaga anaenda kuchunga kondoo wa bwana. Heheheeeeeeeeeee! Freddy akamwambia J4 embu kashushe vituz kwenye buti la gari. Creti 5 za bia, windhoeck za kutosha na heinken za kutoshaaa, grants, sminorf, Amarulla. Haaaaaaaaaaaaaaa! Kukawaka. Nenda bar ya jirani agiza mbuzi 2 wachomewe wenyewe. Wakiwa wamekaa ghafla wao akaja mbio, jamani nimemuona Patro karudi na gari lake anapaki kule, sasa hii mi biere inakuaje sasa. Muhaya katupa fastaaa kwenye majani mzinga wa Grants, akarudia ila Fanta orange yake ilikuwa robo, Na Freddy katupa fastaaa. Muhaya Freddy unatupa nini we kunywa kwani baba yetu yule, mi basi tu niliwachota yeye na Mke wangu kuwa nimeacha pombe sasa akiniona hapa atampigia simu hapa hapa. We huna mke stress za nini? " Freddy akamjibu nina target zangu.

Pastor karudi akasema udhuru umeahirishwa akaona waje wamalizie kujumuika wote. Muhaya na Freddy utawajuaaa sasa? Kama sio wale waliokuwa mabingwa wa story za kishenziiii. J4 kashapendeza anadakia Troy falaaa tu huu sio ukoo wa kuoaaaa, mzee wa kitonga nae, Muhaya akaaga jamani nampeleka mgonjwa nyumbani kabla hajatuharibia shughuli, Akaaga, akamwambia J4 twendeeee, Freddy akainuka kwenda nao, muhaya akashangaa kanyamaza.

Troy anamuuliza Bro K tuletee chupa kwenye gari, hizi empty. Akazuga fasta fasta "Jamani nyie wa mataifa vipi mwenzenu nimeacha pombe , mbona hivo, Mshindwe kwa jina la Yesu." Wakabaki wanamshangaa si kwa zinga lile la Grants aliokuwa anajidunga double double hahahaaaaaaaaaaaa. Kwenye gari sasa full kujiachiaaa. Kumponda Troy basi Muhaya ndo anakunya kabisaaa. Yaani Troy kajipiga dole, familia ile ina dhiki hatariiiiii. Bia zinawapa mawazo aiseeeee Mungu amsimamie.

Anamwambia Freddy na wewe ujiwekee kwa Zai sasa unazeeka huna mke, unachagua sanaaa, unaoa unaendelea kujiachia kama mimi MBA (Married but available ) Hahahaaaaaaa. Namna hio Freddy watu wanahisi labda una mambo ya ki Cameroon. Mtu una hela za kutosha na maisha mazuri huoi, hata mimi ingekuwa haujawahi kuingia anga zangu tukagombea mademu ningehisi unapenda wanaume labda hahaa ila nakujua mwiba mchungu hata ukiwa uancheka na Mke wangu naacha kila nachofanya kukufatilia. Kwanza siku hizi kwangu sikukaribishi maana wanawake wanazeeka vibaya, unaweza kuwa huoi kumbe unamla mke wangu nyokooooo. Hahahaaaaaaaaaaa! Niliona kuna mda route za kwangu zimekuwa nyingi, hata kama mke hunaaa, unakula kwangu, unashinda shinda kwangu sanaa, nikiamka uko ushafika dining table mke wangu kakutengea chai nikakupotezeaaa, Just admit it for once ulikuwa unamtaka my wife, i wont be mad, ila admit it" Hahahaaaaaaaaaa! Freddy akacheka akamwambia hivi wewe unasahau mimi ndo niliekupigia chapuo kwa Mariane? Mi ndo nilimshauri you deserve her japo nakujua malaya mbwaaa, ulitomba mji mzimaa, nikasema no sweat nikukabie mwanangu, ulivonikata kwako, you broke my heart! Really. Sema nimekusamehe we good! Ila ill collect that favor soon." Muhaya akastukaa SOON! SOON hio vipiiii akapotezea.

Wakamshusha J4 kwa Alma, akawa anataka kumpeleka Freddy kwake, Freddy akagoma aksema anataka kuwaona watoto longtime Uncle hakaribishwi. Muhaya akakubali, kufika watoto wakafurahi Uncle Freddy! Mariane akaanza kumpaka mbona umetususaaa, Freddy anajitia busy na maishaaa. Sasa Anna akatoka chumbani, Uncle Freddy shikamooo, kitambo upo? Freddy anazuga nipo. Sasa Mariane akasema vaeni slipper tumdrive mamdogo kwake. Vikavaa malapa wakaondoka na mama mdogo. Freddy anamuuliza Muhaya, K Anna anaishi wapi sahivi, kumbe alishahama hapa kwako mbona hujaniambia. Muhaya akastukaaa. Akadanganya "Hajaama wala nini, bado yupo hapa hapa ameenda tu kwa mama yao mkubwa kumsaidia" Freddy akawa anamuangalia machoni like Come on men! Muhaya akajisuta akamwambia "Freddy you my friend and all but she is family okay, she is off limits"

Freddy akakaa kimya like 5 minutes akashindwa " K ujue wakati Mariana hajakukubali she looked me in eyes and asked me kama wewe ni mwanaume sahihi and i chose you over our friendship with Mariane, she was my best friend in school, i pitched in for you, akakukubali, and even baada ya kumuoa i covered your cheating habits mpaka now una dada wa bank and still akiniuliza will be on your side, thinking that kukuliza simple question about the sister you cut me off dry like that kujifanya family and all that shit breaks my heart. Goodnight. Freddy akaondoka zake, K akabakia angaa ngaa sharubu.

Kiukweli Freddy alikuwa mtu wake kishenzi na alihisi anamtaka mkewe ndo akampotezea, sasa now he is back anamtaka mdogo mtu what is this. Angekuwa msichana yoyote yule apart from Anna angemuweka Freddy kwa nguvu kubwa, but it is Anna. Kamlea Anna mjue. Alafu Mariane akijua yeye ndo kamuweka Freddy kwa Anna atamnyonyoa. Akawa torn between friendship and doing the right thing. Kiukweli yeye na Freddy ni Pals from heaven made, ila Anna kamlelea watoto wote wa 2, kamfumania mara 2 na wanawake wa 2 tofauti akaja home akakuta hajamwambia dada yake wala nini, hawakuulizana nini nini but she earned his respect. Akawa anawaza na kuwazua.

Mariane akarudi, kamakuta kavua nguo zote yupo kwenye shuka. Akaja akamdaka juu uu, Mariane akamstopisha ngoja nikasome bedtime storries, tumezeeka sahivi, K anasisitiza chap chap tu, wakasikia "Mom when are you comming its is sleeping time." Akamwambia umeonaaaaa. Akaenda kusoma bedtime stories.

Akarudi kapaka mask ya manjano sijui na nini. K was like Damn wama nao. Ikabidi angoje ikauke kwanza ndo mchezo apewe. Baadae ikatolewa bible mda wa sala kwanza sio kutaka mchezo . Kuja kupewa mchezo hamu yote imemuishaaaa. Mariane akasema "Najua kuna kitu unataka sio rahisi unidake juu juu hivo nini?" K anajikosha unajua Freddy bwana kama design kamuelewa Anna sasa nikawa najiuliza nimpe namba yake nisimpe" Mariane akafurahi tofauti na K alivotarajia, "Whaaaaat? kwa hio umempa hio namba au?" K akazuga nimempaaa ila nikaona nikutaarifu. Marriane yuko "Basi kesho tuwaalike wote Dinner you know to start things up" K akakubali ila hakuelewa why Marriane alikuwa na msisimko wa coca cola. Akamtumia Freddy namba ya Anna anamjua mnyama atamalizia mwenyewe.

Freddy akiwa amekaa ikaingia namba, akatabasamu akajua mnyamwezi hawezi kumuacha kavuuu kisa tu ushemeji, aaaah. Akaisvu ile namba kwanza akaendelea na mambo mengine.

Troy akiwa amekaa kwake anawaza is he reaaly over with Zaina, ikaingia sms naomba nitumie 20,000 huku umeme umekatika baby najisikia joto na hili tumbo sitoweza kulala. Akawa pissed some how ila akautuma, na sms nakupenda sanaa baby. Baadae akajibiwa asante baby wangu. Akawa anawaza if he made the right choice or not. Akasema Z atakuwa na matatizo why amekaa nae 5 years ila wazo la kumuoa halijiii halijii kabisaa huyu hata mwaka hawana he is so sure anataka kumuoa. Akajiambia i made the right decision.

Kapima akiwa amelala na mkewe Tinna mkinga akawa anawaza how he wasted his life, pale alikuwa anapitaa tu, one thing led to another na pesa hakuwa nazo wakaanza kuishi wote, wakazaa akalipa mahari ndo ndoa tayari. Bu he reaaly reaaly loves this other woman, mda mchache anaokuwa nae ana ji enjoy mpaka basi. Anafurahia maisha. Tina kachoosha kamchoosha.

Akaamua sasa hajui afanyaje, maana yupo njia panda. Akamuonea raha saaanna K Muhaya, the guy mwanamke wake huyo meneja ni muelewa sanaa, na K has a way with women, kashamzoesha meneja kuwa Mkewe Mariane is always 1st yaani hio ni nafasi yake no matter what, anawependa wote ila RANKING iwepo. Hata shughuli akiwepo Mariane yeye asiwepo kabisaa na ahatakiwi in any way kumthreaten Marriane, Bank meneja mzungu yule kakubali kabisaaa, akiwa home simu hazipigwi pigwi, K mwenyewe anatafuta mda wa kuwa nao wote

Yeye mwanamke wake ni single mother, basi anamfosi awe baba kwa mwendo kasi, mda wote anamuhitaji, akiwa nae haachi kugusia jinsi anavosubiri kuwa mke halali. Jamaniii. Na Tina kuachika kagomaaa kagomaa. Na kinachomshinda Kapima haoni kosa lolote la kumuacha Tina zaidi ya kumchokaaa tu. Tina sio malaya, Tina sio mfujaji wa pesaa, hata asipompa hela mda gani hamuombi na anatoa zake hana shida, Mkinga na fight Kariakoo hatariii. Yani basi tu moyo hauna shukrani ndo maana anawaza waza amuache kweli. Ila sasa hana hamu nae inapita miezi hawajapeana mambo, Tinna hana neno, ila yeye kwa kiasi flani anaona hamtendei haki Tina. Ila atafanyaje moyo ushaamua. Kule kwa single mother zikipita siku 2 hajapewa mambo kama kakumbwa na kifaduroo anavo weweseka. Hahahaaaa! Akafumba macho aka lala.

Pator Steve akiwa karudi kwake akamkuta mkewe chiu wa mnyama chumbaniii, akafunga macho tu, akaingia kuoga akavaa pajama akaingia kulala. Mke akaanza kulia, analilia mshedede wa pastor. Moyoni pastor anakemea mapepooooo maana yuko kwenye mfungo wa siku 30 si mnajua tena kazi zetu za u pastor, mke siku 30 nyingi bila mshedede, heheheee haloooooooooo.

ITAENDELEA KESHO SAA 5 ASUBUHI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom