JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 999
Mwanaume wa hivi ukitumia nguvu nyingi siku zote atakuwa mshindi yeye tu.Mxiewwwwwwww,sometime muwage humble basi mnazani Sie hatuumii.....yani ningekuwa mie ningekuwa simjali pia na asirogwe kuniuliza chochote au kunisemesha,coz kila jibu lingekuwa kamuulize Dada ako,kashauriwe kwa Dada ako,kamuombe dadako
Tunajijua sisi wala utakuwa humkomoi kwa sababu hata yeye atataka kukuonyesha kuwa anaweza/anajua bila hata uwepo wako,Kwenye mawazo yake atakuwa anataka kukuonyesha anaweza wewe unataka ajue unamkomoa utakuwa ukiumia tu.