Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Teh ulivyosifia body la pastor, nikakumbuka body la undertaker mcongo uwii. Bonge na nyota yake, naomba na yule alokimbia nyumba kisa wifi na yeye nyota ya Jaha imuangukie
Kuna watu wanatafuta wanawake ambao ni wife material haijalishi una kilo 300 au 20. As long as youre beutifull inside someone will notice that and love you. Ila diet usiache
 
Hawa ndugu wanataka ukiwa bonge, uwe tu bonge kwenye hips na tako, futuka na huku juu uone mweee. Ila ni vizuri kumaintain mwili bana, hata kama ukiwa bonge unakuwa ubonge wa afya. Kuna unene unazidi hadi unakuwa threat ya afya yako wewe mwenyewe jamani
 
Ila mbona na wao umri unavyosogea wanapata vitambi Ila hatulalamiki
 
Kina baba chanja wetu wana shida sana, mi mwembamba lkn bado mtu anakwmbia angalia usiongezeke... chaaa!
 
We acha tu nshawahi ambiwa nimenenepa kama ng'ombe nikasema kuanzia siku hiyo ntafia gym.ila ukiwa in good shape hata self esteem inakuwa juu hasa ukiwa tayari umezaa.
 
Aisee kwakwel ulikuwa na haki ya kushinda gym... teh!
 
Kina baba chanja wetu wana shida sana, mi mwembamba lkn bado mtu anakwmbia angalia usiongezeke... chaaa!
Hahahaa, ni mtihani,nilishaambiwa hivyo niangalie kitambi na hapo niko very slim nikilinganisha na wengine,sasa sijui niwe na abs kabisa,teh
 
Jamani Story Saa 2 usiku, kuna redandancu huku kazini kwangu wameweka hela ndefu uondoke mwenyewe, au ubaki ucheze kamari. Sasa ndo nahangaika TUICO, kwa Recruitment agent wangu, NSSF, Lawyer. Saa 2 ndo nitapata mda.
 
Hahahaa, ni mtihani,nilishaambiwa hivyo niangalie kitambi na hapo niko very slim nikilinganisha na wengine,sasa sijui niwe na abs kabisa,teh

Size 0 is the new Size 2! Oooooohhhhh!
 
Back
Top Bottom