Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Kazini wiki hio kukawa Pendo kaandaa event ya watoto yatima, watu wote ofisini wakaambiwa kama una madabwada yako nyumbani huyataki, we yalete, kama una sadaka yoyote lete tunaenda kuona watoto yatima. Muamko ukawa mkubwa kweli, sanaaa, ikawa watu wengi sanaaa wakaleta vitu, boss akaisapoti event na ikatoka budget ndo event ikazidi kuku kubwa mule ndani, wato wengi wakawa wana i anticipate.

Kikosi cha mizinga kikaa kikao cha dharura na kumuuliza Violla inakuwaje sasa Kamanda, tuhujumu au tufanyaje, hapa Pendo anapata credit za kufa mtu baada ya tukio hili tu, atakubwa unbeattable! Hapa kuchomoka inabidi kufanya manuvaaaa, manuvaa kweliiii na kufanya tukio litakalo kuwa invicible! Yaani boss na Pendo warest in peace. Kimbembe ni tukio gani? Wakakuna vichwa weeee, holaaaa! Violla nae holla! Ikawa siku zinasogea hawana la kufanya, ikawa kama kuna msibaaa, defeat was all over.

Weekend akaenda kwa Raul, kajijengaa sio kidogo, jumba jumba kweli, unazungusha macho round kadhaa na bado nafsi yako hairidhikii kabisaaa. Akawa kakaa chini kwenye kochi. Raul anapika huko mambo byeeeeeeee. Akauliza chooni wapi, akaelekezwa go that way on your right. Kufika that way kaanza kukagua chumba kimoja komja fasta fasta uvunguni, kabatini just incase anaishi na mwanamke mwingine.

Akakuta holaaa, ila kabati ya master imefungwa. Akatoka kaingia bafuni kakuta mswaki mmoja, kakagua shower gelly zote just incase kuna ya kike, hakunaaa, kakagua vikopo vyote chooni just incase kuna cha kike hakunaaa. Akaflash uongo akarudi sebuleni. Basi Raul anamsemesha yeye akili zote zipo kwenye ile kabati iliofungwa kule chumbani ina nini na kwanini ifungweee? Kila akikaaa, moja haikai mbili haisimamiii. Akaona hata asintanieeee, akaaga tena tumbo linanisumbuaaa sanaaa, akaenda tena chumbaniiii.

Kafungua bedside droos hakuna funguo, kaangalia juu juu hakuna funguo, bookshelf hakuna funguo, Akapanda kitandani kugusa juu ya kabati just incase manake nae funguo yake anaiwekaga pale, ile anagusa tu, akasikia "looking for this key?" Raul yupo ndani mule, funguo kaishika afu yeye ndo kabambwa ready handed. Ikabidi tu uso umshukeee. Akashuka tu kwa upoleeee.

Raul akaja kumfungulia kabati ile, ina suit upande mmoja na Safe vault katikati na nguo kushoto. Akawa mdogooo. Raul akasema "Ngoja nikifungulie na safe kabisaa uridhike usije kukonda kuwaza kwenye safe kuna nini? Hahahaaaaa! Akaifungua safe, kuna PC tu moja ya apple basi. Ikawa kamgeukia sasa kumuangalia usoni vizuri, aibu zake mwenyeweeee. Violla akapiga mahesabu ya haraka haraka akaona mmmmh hili sasa ni balaaaaaa. Keshaharibuuu, afu kweli mule ndani hamna mwanamke, na ashaonekana hana ustaarabu tayari. Ikabidi sasa atumie mbinu ya kizamani, mbinu ya mabibi.

Sleeping your way out of your situation. Akamdaka na mabusu moto moto! Denda la nguvuuuu, mipapaso ya fast fasta, si unajua tena mjini mipango, jembe unataka kulima lami? Raul nae ndani, although it is not how he planned the whole thing but when in Rome live as the Romans do, go with the flow of the river and you will be amazed where it will take you. Kidume cha mbegu kikaaingia kizima kizima uwanjani kupambana na Kamandaaa, Komandoo kipensi Violla.

As predicted, he was fat so automatically it made him lazy in bed! Plus he was pretty much average in size! It was another day of average sex! Not bad for sleeping your way out of a a situation. Basi Raul anahema juu juuu. Jasho mwili mzima ki round kimoja tu. Violla akawa kajipumzisha tu. Akajua kwa dose ile habari za ufunguo haziwezi kuuliziwa tena wala upeku peku wake hautokumbushiwa milele daima.

Baadae Raul akamletea ule msosi in bed! Loooohhh! Hiko chakula kibaya kwa macho tu, kwanza wali mbichiii, mboga haina mvuto wala ushirikiano. Violla akamchana tu live i am not eating that dear! Not a single bite. Raul akabadilika sio yule mkarimu tenaaa, lady we are eating this, nimepoteza hours and hours kupika huko jioni, and sorry my time is so expensive kuliko chakula chochote cha serena. Anza tu kula dear! Loooohhhh! Kumcheki hacheki na kimaaa hata kidogoo. Violla akaomba maji. Akawa anakula anshushia maji, tonge maji, tonge maji nusu glass. Chakula kinaisha jug limeishaaa. Hana hamuuuuuu. Sio kwa kubananishwa kule.

Baada ya kula Raul ndo anaanza kujichekesha sasa kama sio yeye, kujifanya romantic. Violla akawa anawaza tu when can she go home. Baadae Raul anaomba msamaha, anajifanya kujua makosa, yake, i shouldnt hav made you eat, we should have gone out blah blaha blah, i am sorry, i dont know why i get this way sometimes. To make up to you twende out sahivi. Violla cause ashavurugwa akakubali tu watoke jioni hio. And he was sweet and romantic the whole evening.

Akarudi home hoiiii! Si kwa mechi ya ghafla namna ile, si kwa kibano cha kula msosi wa vile, kukaa kidogo kaharisha si kidogooo. Jpili kashinda anaendesha tu uani. Balaaaaa! Jioni yule shoga ake akamwambia Pastor kakuulizia huku. Akapuuzia, akaangalia zake movies weekend ikawa imeishaaa.

Mpaka alahamisi kazini hawana counter plan. Ijumaa ikafanyika event ya watoto Yatima very successfully, watoto wakafurahi hatari. Pendo nyota yake ikazidi kungaaaaaa kama taa za kichinaaaa. Wenzie wakiwaza event ya Pendo imewarudisha nyuma, Violla anawaza kwanini ile Computer iwe kwenye safe? Lazima aikague iliroho yake itulie. Ina nini? Kwanini iwekwe kwenye safe? Akawa kakumbwa na kihoro cha kutaka kujua muna nini mle? Akawa anawaza au shogaaa, mule mna picha zake za ushogaaa? Au usalama wa taifa? Au freemason? Akawa anapata kizungumkuti kuiwaza ile Pc ina nini. Weekend hii hawakuchekiana wala nini akawa busy na mambo yake mengine.

Jumanne wakiwa kazini wakasikia kuna ajali mbaya sanaa ya daladala imetokea, majeruhi wengi sanaaa, damu hakunaaaa. Watu wakawa wanasikitika kijiweni hapo job! Violla akawaambia huu ndo wakati wetu wa kungaaa! Twendeni tukatoe damu. Wakaangaliana wenzie. Damuuuuu? Sasa itasaidia nini? Akawaambia niaminini mimi, it is not how small the gesture is it is all about how big you market it.

Twendeni sasa hivi, chukueni tshirt huko stoo. Sessy akamuuliza hatumwambii Boss? Violla yupo mda hakunaaa, twendeni sasa hivi kabla media hazijaondoka eneo la tukio. Wakachuka Tshirt na kutoka kama watu 8 tu. Njiani akampigia shoga ake headmistress kama bado atataka sponsor wa ile event yake? Akasema ndiooo, akamwambia sasa sikia njoo na wanao hapa Amana, kwenye majerui wa hii ajali waje kutoa damu salama. Mwalimu akawa na mashaka! Violla akamwambia sikia kuna media zote paleee, wenyewe tuko pale fanya uje. Kodi coster nakurudishia hela yako na watoto watapata tshirt za kampuni yetu na 10,000 nauli. Mwambie na mkuu wa shule mwingine kama itawezekana tukiapata wanafunzi coaster 3 sio mbaya ujue.

Wakawa wamefika na box za tshirt zao, Violla akamcheki Fariji shoga ake wa Mwananchi kama wapo Amana, kamwambia washatokaaa, akamwambia waambie news cast na mpiga picha warudi kuna tukio kubwaa la ktoa damu shule tatu, Red Cross ndani, na wao. Fariji akasema nakuja mwenyewee na mpiga picha nini news cast. Akamwambie waambie na shoga zako wa daily news, the guardian, Nipashe. Akasema usijali napost group ya waandishi wa habari, patafurika hapooo, ushindwe wewe tu.

Redcross kama alivowasiliana nao wakawa wamekuja tayari, washaweka mahemaa, zikaja coster 6 Zimeshona wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Wakagawa tshirt za kampuni yao, manake zilikuwa ka pc 150 tu. Wakaanza kutoa damu mstari mrefuuu ndani ya uniform, mapicha ni aje sasa. Ikafika media time. Kuuza sura kwenye kideo. Akavuruga nywele kidogo ionekane yupo busy si kidogo.

Akaongea na vipaza kibao kawekewa, Tukiwa kama kampuni iliopo Tanzania tuliguswa na tukio hili, tukishirikiana na shule flani flani tumeona tuitike wito wa mganga mkuu wa Amana kuomba msaada wa damu baada ya bank ya damu ya Amana kuzidiwa kutokana na ajali ya leo asubuhi. Tunamshukuru Mungu zoezi lilienda salaama, damu imepatikana kwa wingi ambayo ni salama. Na tumefanikiwa kuokoa maisha ya wenzetu wengi ni jambo la heri sanaaa.

Naushukuru sanaa uongozi wa kampuni yangu flani kwa kuwzesha hili, kuruhusu muda wa kazi utumike kuwajali wanjamii ambao ni wateja wetu na ndo wanawezesha uwepo wetu kila siku kwa kununua bidhaa zetu. Asanteni sanaaa. Wakahojiwa kina Sessy, Side, Willemi akakimbia camera. Walimu wakuu nao wakahojiwa, Msemajiwa red cross, mganga mkuu wa Amana. Ilikuwa a blast! Kina Sessy na Side wakajiona kama wanapaaaaa vileeeee. Akawashikisha wakuu wa shule 300,000 kila mmoja ambazo anajua wanafunzi hawakuambulia hata 10. Tukio likaisha, wakaanua barner zao, wakarudi ofisini.

Wakamkuta boss akawauliza tu, tukio liliendaje? Wakaangaliana, wakajibu tu safi boss, tumetoa damu, tumefanikisha. Boss akadai meseji yenu niliipata late ila jambo zuri mmefanya. Baadae ndo kujua kumbe Sessy alimtumia sms. Wakarudi home saa 1 yupo kwenye TV. Channel 10, wamerushwa kwenye taarifa ya habari, Saa 2, ITV, TBC, Saa 3 Star Times. Akajua tu ishakuwa blast! Simu kibaooooo, tumewaona kwenye tv, tumewaona kwenye tv. Kesho magazeti yote, mengine front page, mengine katikati mengine habari picha, kampuni flani yafanikisha upatikanaji wa damu kwa majeruhi wote wa ajali ya janaaa.

Kuingia ofisini, wanawakutwa wazungu ndani mule, pongezi kibaoooo, pongezii za kutoshaaaa. By Saa 8 mchana mauzo yapo rocket high! Sales kumeelemewa. Boss akawa hajafurahi kabisaaa, maana yeye hakuonekana. Pendo akwa yupo happy anawapongeza akauliza zilitumika sh ngapi aandikie budget wakaongeza sio kidogo wote wakatoka na hela ya maana. Hela ikatoka wakagawanaaa. Wakawa wanaona kama wapo mbinguni sasaaaa. Siku hio Lau aliandika Paragraph 2 kwenye hio resignation letter yake. Wako we can make things happen, we should do this more offen guys. Willemi yupo nasikitika sanaa, sanaaa mda tuliopoteza hapa kufanya ujinga wakati tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa shetani mwenyewe akatetemeka. Sahivi hapa ni plan juu ya plan hakuna kulala.

Akarudi home siku hio mwepesi sio kidogo. Akakuta message "The man you are seeing now is not the one for you! See me! " Pastor Bryan!

ITENDELEA SAA 2 USIKU.
 
Doh pastor nae amekuwa nabii loooh ila violla dooh.......
 
Wapi palikukuna zaidi pale kwa kufanya kazi au?
Ndo maana yake, Violla yuko so Brilliant and talented.

BTW, Hiyo party ya tar 30 huko Coco Beach haizingatii umri ama!!

Because siye wengine ni under 23 years isitoshe na huo muda saa 10 hadi usiku Mmmhh!!

Naumiza kichwa kuja huko maana naishi mita chache kutoka hotel ya Bahari Beach,

Anyway nitakuja ila usiri muhimu sitaki mumjue Kamwendo yuko vipi.

Msalimie Babu Mtambuzi mwambie tumemmiss bora arudi maana jukwaa halina mvuto tena,kila siku vitoto vinapost utumbo.
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Hilo la kunenepeana nalo neno, nimekula sahani ya pilau nzimaaa, na soda! Mange anangenifuma kunipa hesabu ya calories mbona ningedataaaaa. Inabidi tu ninywe dawa za kimasai diet yataka nidhamu na mimi sinaaa.
Hesabu ya calories, teh
 
Duh kumbe mademu ndivyo mlivyo hiyo pekua pekua haa!!
Umenifungua macho kuna demu (Enzi zangu) aliniomba funguo eti akafanye usafi....kumbe kilichotokea ni Violla afu hakuambulia kitu,kidume sikuwahi jua hilo mpaka hii leo Lara moko ulivyonitoa tongotongo.

Big up mdada unaweza sana mpaka kero.
 
Hahaha yani huyo mke ndo kauza mechi, ndo watamkalia kooni vizuri coz wanajua hana cha kufanya teh. Me naona bora tu alivyorudi muda huo huo, huyo mumewe kichwa panzi na wifi yake wangeweza mfanyia makusudi. Unashangaa unarudi usiku na mabegi yako mlangoni kuna bonge la kufuli. Ila mwanaume wa kushikiwa akili jamani ptuuuu
Ila huyu wifi kampata mnyonge wake,mfyuu
 
Mtulie kwa waume zenu, waheshimuni mawifi zenu oooh! Wengine stendi kwenu mbali na bags nne mtachoka mjue. Hahahaaaaaaa!
Hahaha mawifi tuheshimiane, sio heshima ya upande mmoja. Hata habebi mabegi mtu
 
Mtulie kwa waume zenu, waheshimuni mawifi zenu oooh! Wengine stendi kwenu mbali na bags nne mtachoka mjue. Hahahaaaaaaa!
Lara...muendelezo ni saa ngapi?
Hii kitu ni tamu sana!
 
Mtulie kwa waume zenu, waheshimuni mawifi zenu oooh! Wengine stendi kwenu mbali na bags nne mtachoka mjue. Hahahaaaaaaa!
na kweli, mtu ukimwachia nyumba yako atajiona ka win pakubwa. Muoneshe maza haus ni nani. Ila hawa mawifi sometimes unaweza ukaona kuolewa na ndugu yao was the biggest mistake of your life.
 
Back
Top Bottom