Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Ooh ok!!but mbna kwa simu haizingui wala nini?mi natumia simu pia au kuandika kwa simu unaona untek tym ndefu kutype??
Hata me pm kwa simu hazifungukag aisee na siwez soma we unafanyeje?
 
Ooh ok!!but mbna kwa simu haizingui wala nini?mi natumia simu pia au kuandika kwa simu unaona untek tym ndefu kutype??

Simu hazifanani, mimi natumia mchina hapa, unasumbua sanaaa sio kama Iphone 6 yako dear. Nikitulia nikafungua I pad au Laptop nitakujibu tu.
 
Mbio nazo ni ujuzi ndo
Hahahhaha! Namhurumia sana huyo Tito hiyo mvua ya matusi atayokula huko ofisini kesho yake...Yaani sipati picha....Una laki unatoka na demu? Hata Uswazi siku hizi laki haitoshi!
maana kuna watu wengi wamekuwa matajiri na umaarufu mkubwa sababu ya mbio.
 
Yaani wadada huwa mnatutesa mjue, sasa hizo pressure za Tito hadi nimemuonea huruma
 
Hahahaaaaa! Mishahara yenyewe 500,000 kutoka ukachoma 100,000 nzima ujue sio rahisi. Mi ndo maana namshukuru Mungu kila siku nimezaliwa mwanamke, sipati picha ningezaliwa mwanaume ingekuwajeee. Ningeteseka sanaaaa.
Haahhaaahhaaahh!! Nimecheka sana, So ww kuzaliwa mwanamke unashukuru sana kuliko ungezaliwa mwanaume.

Kisa!!

Kupiga mizinga.
 
Hahahaaaaa! Mishahara yenyewe 500,000 kutoka ukachoma 100,000 nzima ujue sio rahisi. Mi ndo maana namshukuru Mungu kila siku nimezaliwa mwanamke, sipati picha ningezaliwa mwanaume ingekuwajeee. Ningeteseka sanaaaa.
Haahhaaahhaaahh!! Nimecheka sana, So ww kuzaliwa mwanamke unashukuru sana kuliko ungezaliwa mwanaume.

Kisa!!

Kupiga mizinga.
 
Hahahhaha! Namhurumia sana huyo Tito hiyo mvua ya matusi atayokula huko ofisini kesho yake...Yaani sipati picha....Una laki unatoka na demu? Hata Uswazi siku hizi laki haitoshi!
Acha hizo wewe.....ukiwa na laki kuna sehemu zake unatoka na demu bila shida! Ujanja ni kujua sehemu tofauti sio una laki unavamia CT fish market au Mediteranno lazima uumbuke.
 
Raul deilee anaokoa jahazi kwa Violla na Violla anajua sana kumtumia I wish ndio mtu wanawezana waoane tu hakuna namna nyingine
hapo kinachofata ni viola kubeba mimba ya Raul, issue sio tu muokoa jahazi,he is not that good in bed kama nakumbuka vizuri,kila siku mambo yanazidi kuwa magumu kwa pastor na viola kuwa pamoja..sijui kwanini always love life zinakuaga complicated arrgh
 
Acha hizo wewe.....ukiwa na laki kuna sehemu zake unatoka na demu bila shida! Ujanja ni kujua sehemu tofauti sio una laki unavamia CT fish market au Mediteranno lazima uumbuke.
hahaaaaaa! ndo zile sehemu laki si pesa millioni deni! hahaaaaa! Nilipataga mwanaume wa hivi laki si pesa millioni deni, nilikula bataaaaa. Siku ya kuachana niliumwa Malaria 8. Sitosahau. Hahahaaaaaa!
 
Hahahaaaaa! Mishahara yenyewe 500,000 kutoka ukachoma 100,000 nzima ujue sio rahisi. Mi ndo maana namshukuru Mungu kila siku nimezaliwa mwanamke, sipati picha ningezaliwa mwanaume ingekuwajeee. Ningeteseka sanaaaa.
wanaume wameumbwa mateso teh huo mshahara augawe kwa vitu vingi,sasa hapo T alikuwa akope kisa dinner ya siku moja,bado hata hajamla V teh teh... mpaka siku ya kumpata kweli kweli sijui angekopa saccos... lakini cheki pastor mpaka sasa hajatumia hata laki kwa viola....
 
hahaaaaaa! ndo zile sehemu laki si pesa millioni deni! hahaaaaa! Nilipataga mwanaume wa hivi laki si pesa millioni deni, nilikula bataaaaa. Siku ya kuachana niliumwa Malaria 8. Sitosahau. Hahahaaaaaa!
Hhhhahhh malaria 8 munguuuuu me ningeumwa malaria 20 mwanaume mwenye hela alafu asiwe bahili ana raha yake bwana
 
Back
Top Bottom