Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Hii ya leo kiboko nmecheka walah pasta kufumwa... doh pale kajiegesha kwenye dispencer viola kiboko
 
hahaaaaaa! ndo zile sehemu laki si pesa millioni deni! hahaaaaa! Nilipataga mwanaume wa hivi laki si pesa millioni deni, nilikula bataaaaa. Siku ya kuachana niliumwa Malaria 8. Sitosahau. Hahahaaaaaa!
Najua kilichokuuma ni kukosa bata tu hamna kingine......!
 
Hahahahaaaaaa! Watu wengi wanambeza Tito ila kiukweli wengi wetu tungetimkaaaa. We dude la 88,000 si balaa hilo. Ndo kwanza kaanza.
Huyo Tito ni bwege! hela huna halafu unajidai kumwambia mtu kama lara 1 achague kiwanja! Ukiwa na laki unampeleka sehemu unajua hata akukuruke vipi 80,000 hamalizi!
 
wanaume wameumbwa mateso teh huo mshahara augawe kwa vitu vingi,sasa hapo T alikuwa akope kisa dinner ya siku moja,bado hata hajamla V teh teh... mpaka siku ya kumpata kweli kweli sijui angekopa saccos... lakini cheki pastor mpaka sasa hajatumia hata laki kwa viola....
Pastor tuko chama kimoja #FreeP kama sio mjanja huwezi kuwa chama hiki....
 
Pastor tuko chama kimoja #FreeP kama sio mjanja huwezi kuwa chama hiki....

Huoni pastor kanawa mara moja, Raul alitaka hadi kuzaliwa mtoto ila akazingua tu.
 
Huoni pastor kanawa mara moja, Raul alitaka hadi kuzaliwa mtoto ila akazingua tu.
Ndio kawaida wenye nia njema hawazimikiwi.....mtu anatangaza hadi ndoa lakini anatolewa nje
 
Hahahahaaaaaa! Watu wengi wanambeza Tito ila kiukweli wengi wetu tungetimkaaaa. We dude la 88,000 si balaa hilo. Ndo kwanza kaanza.
ila violla nae alikua kama anamkomoa bhana duuh!!.....shisha tu laki naishirin doh!!
 
Rule number one, marufuku kukolea! sasa usipokolea mkali wako atatokea wapi?
haya mambo hayana formula mkuu,wewe sio wa kwanza walikuepo walisema ila walipata wajanja wao,there is always a first day of everything, teh
 
Simlaumu Tito, hakujua Violla ni wa namna gani. Violla muhuni kitambo kama Lara 1 tu, watu wa namna hii unawachana tu, "Chips kuku?!! Daah Lara sio kihivyo hapa nina buku tu, chukua hata chips kavu mbona zinalika tu!"
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Stress free zone... hii episode imenikuna kunako teheeeeeeeeeeeee.....
 
Mmmmh! Violla akawa anawaza na kuwazua, ile chupi yake ila sio aliovaa jana, ni zile za kitambo alizoacha humo sovenia. Akajikagua, haikusadia kitu maana dalili zote zilionesha kaogeshwa. Akawaza tu, coz Raul danga lake la siku zote sio kesi sanaaaa, kama aliamua kujiseviaaa. Roho ikawa imemuuma kuwa atakuwa alijisevia kibandidu sio kidogo na ugwadu aliokuwa nao itakuwa hakufanya ajizi kujiseviaaa. Akampatia picha anavompindua pindua kama mkewe vile, nyooooooooo! Ila ndo hivo alizimaaa angefanyaje? Akawaza tu pombe, bangi, sigara, vyote basi. Anastaafu rasmiiiii.

Akaoga fastaa, kutafuta nguo zake akakuta zimejaa matapishi sio kidogo. Akaamua kuchukua za Raul. Akatafuta ufunguo wake hauoni! Ila akaona ufunguo wa Raul, akajua tu, kamuacha pale kaondoka na funguo yake ili kumpiga pini. Akasema hunipati labda si mimi. Akachukua funguo ya Raul akachimbaaa kwake. Kaingia, kavua ile miguo ya Raul, akaitia kwenye mashine akaifungia humo bila kuwasha. Akawa kajilaza kwanza chini ya feni kupata upepo. Ile bangi bado alikuwa akiisikia kwa mbali. Akamuandikia boss wake sms anaharisha hawezi kwenda. Akiwa bado kwenye hangover analala akasikia honiiiii. Akajua tu Raul kajia gari yake kamletea lake, Akafungua geti kubwa directly.

Tobaaaaaaaaa! Kumbe pastor. Na geti ashafungua. Akawa hana jinsi, Pastor kaingia kapaki. Akawa akabungaaa, kwanza hangover inamchanganyaaaa, pili of all the people hakutaka kumuona Pastor. Akawa kajisimamia bila nguvu. Pastor akaisfia ile gari, gari nzuri sanaaa hiii, its a rare car, Audi sio common sanaaa. Ya nani? Roho ikafanya paaaaaaaaaaaa! Akakumbuka dada yake ana Audi akampiga kanzu moja takatifu kuwa ile gari ya dada yake, wamebadilishana kwa mda. Pastor akasema oooohhhh! Kuna siku uliniambiaga abt the car kuwa inamsumbua she wishes for a BMW. Nakumbukaaa. Mbona nzuri sanaa lakini why would she wish a BMW with this latest model of Audi. Violla akachuna maana ya dada ake ni model cheap tu, no wonder anatamani BMW huwezi fananisha ni hii ya Raul, creative director. Basi Pastor bought it ile gari ni ya dada yake. Akawa anamshauri tu its an expensive car to maintain bora aombe arudishiwe ki Toyota chake.Ikabidi akubaliane nae tu manake hali tete.

Wakaingia ndani, Violla hajiweziiii kajiegesha tu kwenye kochi, kichwa kinampasukaaa hangover. Pastor anajielezea kuhusu jana, it is not what it looks like, Florida alitokea kumpenda Pastor, and her dad is super loaded, wakaja kuinvest kwenye hilo kanisa, na ni kati ya watu walio kuwa nae in most difficult times. Mda wote alikuwa bega kwa bega. Sasa baba yake Florida now anafosi Pastor amuoe Florida. Wakati Pastor hana uhakika kama ndo jambo sahihi. Amemuomba sanaaa Mungu hapati majibu ya kueleweka, ikiwemo akiwa katika maombi mara katokea Violla kumvuruga zaidiiii, maana mambo ndo yamezidi kuwa magumu.

Akawa tu honest, yupo njia panda amuoe nani kati yao, Ofcourse akiwa na Violla anakuwa exited, the rush is always there, possibilities are limitless, Na ndio mtu anaemtaka ku spend his future with cause tomorrow will not be just another day, tomorrow will be a myth akiwa na Violla maana she always always surprises him. Ila on the other side, out of layality lazima aoe mtu wa kanisani kwake, how will it look like kama yeye Pastor akiwa mfano akaoa mwanamke wa mataifa, itaonesha all the girls in his church are not good enough for him, italeta picha gani sasa kwa waumini? Also position ya mrs Pastor in a new ministry kama yao comes with expectations. Atatakiwa awe mfano kwa wanawake wote na mabinti. Florida is already doing that, je Violla ataweza? Hio not only includes kufunga mifungo yooote na waumini, kutolala usiku hata wiki ukiitwa kuna muumini ana majini, mavazi ya heshimaaa, Unyenyekevu hata mtu akikukosea, au kukukera ni lazima usamehe kama Yesu but also kuishi watu watakavyo, sio wewe utakavyo. Hio commitment nzito sanaaa, maana unaacha maisha yako uliozoea unaenda kuanza maisha mapya ya kufurahisha watu. Tobaaaaa! Florida ameweza mda sanaa, je Violla ataweza hio kazi? Ni mambo ya msingi ambayo Pastor ameyatafakari na hajapata majibu.

Violla japo ana hangover akawa anasikia baadi ya maneno, baadhi anaona tu vyuma vinagongana kichwani kwake kwa hio hasikii, afu anasikia tenaaa. Pastor akamwambia nenda kalale chumbani hapo kama unapata shida, Ile kunyanyuka hoiii, akajilaza tenaaa kama dakika 5. Pastor akatikisa kicwa tu kumuona Mrs Pastor yuko hoi kwa hangover. Akamkokota mpaka bafuni kafungua maji baridiii. Sasa muhusika anayumba yumba. Akaamua tu avue nguo zile maana ndo alizo nazo pekee, inaweza pigwa simu ya huduma ya haraka akchinaaa. Akabakia hivi hivi alivozaliwa. Violla akahema kwanzaaa. Mambo mengi yanaenda kichwani mwake siku hizi 2. Ashaliwa na Raul jana usiku. Hapa asipoliwa na Pastor Mungu saidia. Hangover inamuua, kweli anahitaji msaada. Akawa mpole. Basi kwenye shower maji yanawamwagikiaaa, anapata picha za x tu kwenye mawazo yakeee. Hapo pia roho inamuuma soo la jana la kudanganywa kashindwa kulishikia bango mpera mpera akawa tu anaangalia aone mwisho wake.

Basi yale maji yakimtirirka Pastor na lile body, analegea na kulowa kabisaaa kwa vingiiii. Network ikawa inamrudi sasa ndo shetani anazidi kumpanda. Anawaza sasa nguvu anazo, aendeshe kesi au ahairishe mashtaka ipigwe mechi kali, ataykumbusha mdogo mdogo mbeleni? Akaona bora tu aendelee na tiba mbadala, upo mda mwingi sanaa wa kuendesha hio kesi, siku hio wala hapo havikuwa mbadala kwa zoezi la kesi. Basi badala ya kupata nguvu akazidi kujilegezaaa, kumuegemea pastor, madai hana balance! Mmmmmmh! Pastor akambeba akampeleka kitandani, Akamwambia ngoja nikakukorogee kitu flani, hangover yote itaishaaa. Akaenda jikoni hivi hivi mtupuuuu. Basi kuwa na body zuri kuringishia huko vepeeeeeeeeeee! Violla hakufanya makosa, akachukua simu akam blacklist Raul incoming calls. Zinaingia ila haziiti. Angemblock Raul angejua tuuu. Akarudi sate ya simba mgonjwa. Akasikia brenda linalia. Akakimbia kupiga mswaki, just incase Romance zikianza asijekuwa kama panya alieoza. Akaweka nywele vizuri, akachana nyusiii.Akarudi kujilazaa. Kimyaaaa.

Pastor akaja na kikombe kina madude, akamwambia kunwa hiki. Akauliza nini? Akaambiwa kunywa acha maswali. Akanywa kwa kuziba pua. Alitapikaaaa! Alitapikaaa! Alitapika pombe yooote! Akarudi gado kabisaa, ikabidi aoge upyaa na kupiga mswaki. Kurudi anamkuta Pastor yupo vile vile mtupuuu. Mmmmh! Akaguna tu na kujilaza. Pastor akamletea maji. Akjifanya hana kiu, si kapata nguvu za kudindaa. Pastor akamwambia kunywa hayo maji, tiba inaendeleaa. Akanywa anyway. Akajua tu yale maji lazima yaambatane na mechi. Na yeye yuko tayari kwa mechi kali.

Alivomaliza yale maji akashangaa tu feni inawashwa mpaka mwisho, na yeye anavutwa mtanange mkali ukaanza. Wote mafundiii. Nipe nikupeee, nipee nikupeee, ufundi huooo. Hawana harakaa, si unajua mechi za mchanaa zinakuwa za kivivuuu mda upo. Wameenda wote wakali, hamna zoba kati yao. Mmmmmmh! Baadae Pastor akaanza kutumia mbinu za kivita, akatoka kabisa kwenye hizi kanuni za kawaida 4,4,3 au 3,3,3,2 akaanza kuinvent kanunizake sasa sasa 5,5,1 au 6,5 yaani anchotarajia Violla Pastor atafanya hafanyi iko, au anafanya kwa mpigooo. (Story msome buree, na ufundi mchukue buree thubutu yenuu! Hahahaaaaa!)

Violla akaanza kuona kaelemewa na mechi, akawaza aombe pooh ya kukojoa vipi akajipange upya chooni. Hawezi kutolewa KO na mtumishi wa Mungu. Ni aibu kwa kungwi wake. Akasema mkojo umenibanaa, nakuja Bryan! Bryana akacheka kwa sautiii, umezidiwa mapigo unaenda kujipanga upya sio? Violla akamfinyaa. Kufika chooni anasikia kama mkojo umembana lakini hakoji, kajikamua wapiii. Ngachooka! Akakumbuka ni mechi baadhi inatokea hio hali kabla hajafika kileleni bt it is usually too fast, na hakuwahi kwenda chooni kabla ya hiko kilele. And it last for few seconds. Ila chooni kaakaa kama dakika 5 na bado ile hali anajisikia. Akasema leo ukisikia jua kupatwa na mwezi ndo hukoooo.

All the guys ambao walifikia that stage couldnt control the situation wasingemruhusu kwenda chooni but Pastor mambo yalivoonesha was in full control 200% of the situation. Akainuka kurudi kitandani. Pastor akamuuliza umekojoa? Akamdanganya ndio. Pastor akamtega mbona sijasikia uki flash? Akachunaa. Pastor akachekaaa. Violla akaju ama kweli kapatwaaaa. Mtanange ukaendelea ulipoishia, ila mpinzani ikawa kaelemewa, maan mambo yashaanza kumchanganyia habari. Ikafika mahala akawa hoiiiii, Akamuomba Bryana dusheee, Bryana alipokuwa anataka ni hapo tuuu. Badala ya kumpa dushe, akampandia juu na misuli yake ila akawa kambanaaa afu anamngonezaaa, huku mikono iko ikulu ya V. V kalegea kama mlendaaa.

Bryan katika hali kama hio, mda kama huo, huwezi amini akafungua lile jalada la kesi upyaaa."V baby umenielewa lakini point zangu nilizokwambia why is it so complicated for us to be together? I just wanna make sure you understand what is on the table, it is complicated and all ila i love you" Mpo hapo? Tobaaaaaa! V moyoni kwa mbali nyuma ya ubongo wake akawa anatukana matusi ya nguoni maku la baba koya wewe mngese unanifanyia mimi hivi, kilimuuma sanaa, ila sasa ikulu yake iko chini ya utawala wa kimabavu wa B. Anavomwambia anamuangalia machoni kumsoma body laguage akaona hawako same, page, not reachable. B akabadili gia, akaingia ukuni kidogo afu basi. Anamuuliza sasa unaniambiaje baby, hapo anamngata sikio na kuendelea kumfanyia mandinga mandinga mengine yanayomfanya iashiwe nguvu kabisaaa. Kuwekwa ile mashine ndo ikawa kama chokoza nyuki. Moja haikai mbili haisimami. Akazidi kudataaa. Na jibu ndo linangojewa kazi ianze.

Akasema tu Yes! Yeeeeeesss! Naelewa haina shida! Atafanyaje na kiu ya mabo anayo na ashaonjeshwa tone la mma? Mmmmh! Ikasogezewa yote sasa, akapose kwanza, anakisikia kitu full length. Hoja za kikao zinaendelea. "So you fine with the what is on the table? I dont want you to think i took advantage of you or something? That is why we have to discuss this before. Just to be on the same page." Myoni anawaza maku la mama koya, discuss this uko full length ndani yangu maninaaaaa zako. Ila ndo yupo body sate mbayaaa sanaaa. Anavibrate tu kwa rahaaa, ila just the thought there is more to this inammaliza kabisaa inabidi akubali yote. Akatia tu "No problem, naelewa Bryan, naelewaaa, can we proceed PLEASE! Jasho lamtoka tu. Bryan akamalizia "So we good? Hutokumbushia mambo ya Florida anymore?" Hapo sasa kaanza movement, V akasikia akitoa ukunga tu WE GOOOOOOOD. I wooont! I said I wont! Huku B anakazia You sure? V anapayuka tu Yes! Yes Baby im sure!, Baadae network ikaenda likizo kurudi anaulizwa umefikaaa? Mmmmh! Akasema hii kiboko alijua asha bust longtime, kumbe bado kabisaaa. Akabakia kutingisha kichwa tu. Akaulizwa are you sure? Jamaniiii Pastor huyu kwa mbwembwe, Akaambiwa Ndio, akasema Okay! Na yeye B ndo akaanza kujihudmuia kufika yeye sasa.

Baada ya mechi Violla akawaza jambo moja tu, nalo ni huenda Pastor kabahatishaaa ile round moja. He cant be that expert. Akasema hata ikibidi afe hapo kitandani lazima amchallange for Re macth. Aone je yaliyomo yamo au liote tu hio round moja. Hakutaka maneno mengi sanaaa, akatulia tu kimyaa anatunga kanuni za rematch. Pastor hata hajapoa sanaa, kaomba tena mchezooo upyaaa kwa kuanza kumshika. Safari V akasema anazuia style zote zinazompa mwanaume advantage ya kumili mchezo aone kama ile hali ya kubanwa na mkojo itajirudia. Akapanga kabisa round hii anaenda na woman on top, side ways, style ya kiti na style ya mwanaume kupiga magoti, hapo hachomokiii. Akajua tu akimuwekea minyongaa katikati wazungu hawa hapa. Akajua B mjanja atazichomolea zile style maana anjua zitamuangusha.

Kipenga pyeeee, B hana hata shidaaa, katumia style zile zile, ajipimie mwenyewe, nyonga akate mwenyewe, kele apige mwenyeweee, na ile hali ikaja tenaaa, hata hakujisumbua kwenda kukojoa this time. Akasikizia raha tu, na kama kawaida akauliwa umefika mama? Akatikisa kichwa baba nae akafika. Round ya tatu hakujisumbua kushindana akatulia tu mashine imuingie asikize utamu baasi. Mechi kuisha 3 bila! Yuko hoiiii! Kigiza kipo nje totoro. Pastor akaenda kuoga, bibie bado kajilaza. Pastor akakumbuka simu yake, kuicheki imezima chaja. Akapanic akauliza saa ngapi akatajiwa. Akamwambia V naomba simu yako nimpigie Cate nijue nini kinaendelea huko, nitakuwa nilitafutwa sanaaa. Ashapanic, V akatoa pattern tu akampa.

Akashangaa mtu anakaa kwanza? Amebadilikaa, akajua mambo si mazuriii? Akamuulliza jana ulilala wapi? Tobaaaaaaaaaa! Akajikaza, hapa hapa kwani vipi? Akamuuliza tenagari hilo nje la nani? Akasema la dada yangu, Haki ya Mungu Vile la dada Tracy. Mpigie umuulize akajua hawezi kumpigia. Akamrushia simu yake. Akaenda dirishani Violla kuikagua akakuta sms ya Raul, kumbe haku blacklist sms. Tobaaaaa! Imeandikwa "Ystdy was wonderfull, it was so much fun, i had a blast, sleeping next to you was a bonus. Japo still unaongea usingizini though kama zamani. Kiemojiii. I can wait for us to be an item again. Sijui nisemaje but i love you. Gotta have my car back though! If you wanna keep it i may think about it if you put more on the table. Kiemoji cha mtu anakimbia." Akawaza tu kimoyo moyo so sweet! Pastor akarudi dirishani akachomeka simu yake chaja, safari imekufa hivooo. V kaa kimyaaaa kama sio yeye. Akaipiga ikiwa kwenye chaja, Bwana Asifiwe! Naomba uniangalize hii plate number ni jina gani? kama haupo ofisini mwambie alie ofisini aniangalizie. Akakata simu. Ikaja sms Pastor akamrushia simu yake Violla imeandikwa Raul na majina yake matatu. Aibuuuuuuuuu. Aibuuuuuuu, juu ya aibuuuuuuuu.

Akanyamaza kimya Violla. Pastor akasema so ulilala nae jana, ndo akakupa gari yake urudi nayo. Kinachoniuma sio kuwa umelala nae, but there are lot of chances you could have come clean, na kuelezea hey i made a mistake na nini, ila ukajikaushaaa. So many times ungeweza kuniambia ukweli but you chose not to. It pains me really! It cuts me deep! Did you tell Raul the reason you were nice to him ystdy is because we fought? Or you keep using us both? Use me, use him whoever suits your moment? And the reason you were nice to me today is because ystdy you slept with another man? You are pathetic.

Akavaa, akajikusanya akaondoka zake. Violla akabaki anatamani kulia, machozi hanaaa! Mijicho tu imemtoka. Ikaingia simu ya Raul kwenye balck List, akaiacha. Akaamua kumtoa balck list. Akampigia.

ITAENDELEA KESHO SAA 7
 
Back
Top Bottom