Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Acha kabisa hapa nasubiri nime masta kabisa,ila nasubiri episodes zisogee nitangaze team yangu ya kufa na kupona
Mi mwenyewe team bado bado kwanza naangalia upepo make mambo ya humble wife na handicap tena kidogo yamevuruga. Humble wife kweli atamvumilia kaka wawatu kweli?? I doubt hukoo mbele hachelewi kutuambia anamis ma styles [emoji15] [emoji15]




Cc Smart911
 
Mi mwenyewe team bado bado kwanza naangalia upepo make mambo ya humble wife na handicap tena kidogo yamevuruga. Humble wife kweli atamvumilia kaka wawatu kweli?? [emoji15] [emoji15]




Cc Smart911
Hapo ndo penye mtihani tusubiri si wajua fanani hataki mbwembwe za utabiri
 
Daah nimesoma kidogo tu nshanogewa...Lara moko is bae[emoji8] [emoji8]
 
Lara 1 after all those efforts embu uje nikupe course moja ya anti-aging isiyohitaji manguvu wala chemicals. Hii trick tulio na damu za kilatini tunaiita 'Instrumentum Laboris' kwa lugha ya Shakespere - Working Document. Baada ya hiyo course kazi itakuwa nyepeeesi zaidi ya kutoa uchafu masikioni.
 
Back
Top Bottom