Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Weekend Story! All is Fair in Love and War!

The Humble Wife

i am assuring you my reader i am such a nice, humble bubbly person you have ever met, perharphs the most nice in this entire story. Once you know me i promise you will fall in love with me.

Well they say i like copying, but i consider it drawing inspiration from others. I just love being inspired. What is wrong with that? I dont see anything wrong do you ndugu msomaji. Kwanza hakuna jipya chini ya jua kila kitu kinakopiwa.

And what pisses them off more is my husband can afford it and he loves spoiling me as a hobby. I am his little trophy wife. Before you get too jelousy ndugu msomaji My husband is hancaped. Ni mlemavu. But he is flithy rich. Ana NGOs zake 2 za kusaidia walemavu believe me forex keeps pouring money to his banks. And most of it i get to use it the way i want.

This life has its price, kama kuyakosa mastyle ya kifo cha mende, I phone X for a living, ni balaaaa. You know once your hubby is like mine, options are limited. There is little he can do kwenye uwanja wa fundi seremala.

My husband alipata ajali akakatika mguu mmoja akawekewa wa plastic. So his motion is limited. Ukimuona anavotembea tu utajua ana tatizo. Sio kwamba kapatwa hayo majanga nikiwa nae, no nimemkuta hivo hivo.

Growing up i had a share of my misfortunes. Kwanza mdogo wangu mmoja alikuwa mentality disabled. So i grew up with the stigma dada wa tahira. Nyumbani kwao kuna chizi. Children can be deadly mean and rude. My sister came to pass away and i still miss her. Sisterly love, though she was not perfect i loved her either way.

Being me was hell. I suffered fatal heart breaks and breakups just because my sister was not perfect. I would love a guy but he would be mean to me, or want to hide me kwa washkaji zake, si dada yake chizi tena hapo kuna kilichobakia? Hamnaaaa! Roho ikaniumaaa sanaaaa. Nikaamuaga sitaki mabwanaa kabisaaa. Yani sitaki kama preventive mechanism ya kuji protect.

Huyu mume wangu siku ya kwanza nakutana nae nilikutana nae bar. Amekaa, fimbo kaificha chini ya meza huwezi kumstukia kabisaaa. Na mi bar hapo nilienda kufata mchemsho na hot pot langu. Nikamkuta kakaaa. Akaniita sikwendaaa. Nikasema kama ananitaka sanaa atainua tigo yake kuja huku kuniomba namba. Nae alivo kibri akaikalisha pale pale ananitazama.

Yule kaka wa mtori akaniambia kwa heshima yangu naomba ukamsikilize mwenzio. Nikamwambia siendiii. Akajambe mbelee. Angetaka sanaa namba angeleta vuzi zake hapa. Muuzaji akase!a yule mgonjwaa mwenzio. Nikasunyaaaaa sonyo refu saana. Nikamwambia hata mi naona Dr. Kamuandikia konyagi bapa kubwa kutwa mara 7. Muuzaji akacheka.

Akaniambia yule mwenzio mbovuu miguuu, ndo maana kashindwa kuja hapa. Nikamwambia mwenyewe mbovuuu wa uchi aikwambieee mtu. Ndo maana siwezi kwenda pale, nikitembea unaniuma hatariii. Muuzaji akazidi kucheka. Akaniambia acha bangi yule mwenzio mlemavu. Hana mguu mmoja. Ana mguu wa bandia. Ndo maana kuja anaweza ila mpaka ajipange sanaa.

I felt bad! Realy bad cause i know how it feels kuwa na kasoro au kuishi na mwana familia mwenye kasoro. Nikaenda mwenyewe pale. Nikamwambia nimekuja. Si uliniita. Akasema basi si ushakataa. Nikamwambia basi hio imechelewa ndo nishakujaaa tena.

Nikachukua konyagi ilikuwa nusu nikapiga funda 2 dry kabisaa. Akastukaaa. Akaniambia dada nishakwambia hutakiwi hapa mezani. Nikamwambia kama huniombi namba basi mi nasepa zangu. Nashukuru kwa puff hizo za konyagi. Nikainukaaa.

Akaniuliza mpishi kakwambia nini mpaka ukaamua kuja? Nikataka kujibu nikaona najikausha uzazi tu. Nikaanza kuondoka. Akasema umekuja sabavu kakwambia mi mlemavu si ndio? Sina mguu moja? Umekuja sababu unanionea huruma, unanionea imani. Kukataa wito wa mlemavuu.

Nikamjibu Hapanaaa! Nimekuja sababu mwanaume umeniita na mimi mwanamke niliekamilika, na nilikuwa na nyege za kuombwa namba. Naona mambo hayakwenda nilivopanga. Na ulemavu ulionao utao kukosesha wanawake sio wa mguu bali ni ulemavu wa akili kushindwa kuomba namba hata mtu akijileta. Mi nayeyaaa basi.

Nikasepa zangu. I wanted him to feel better and i knew he felt better for once some one saw the man in him not his missing leg. Sikwenda pale bar kama wiki 2. Nikaja kwenda tena. Nikamkuta tena. Nikaenda kumsalimia mwenyewe. Akacheka. Akajibu naomba namba yako. Nikampa. Nikaenda kununua mchemsho.

Mpishi anabiambia yaani umemkolezaa sanaa. Afu sio mtu wa wanawake yule. Kauliza watu wote kama wanakujua ila hamna anaekujua atiii. Makubwaaa. Wiki hizi ambazo hujaja kwake kama mwaka nakwambia mimi. Mpishi mpanaaa huyuuu balaaaa.

Nikaondoka na kumfata pale namuuliza sasa naondoka, huninunuliii bia? Akasema kaaa. Kaniulizia wiki 2 pale anajitia mkavuuuu. Akaniambia agiza. Nikaagiza glass tu. Yeye anakunywa soft konyag kaweka pepsi, mi dry naenda nae man to man.

Katika story sikumuuliza mguuu ulianzaje wala nini. Akaanza yeye kujieleza nikamkatisha sio story za bar hizo. Tumekuja ku relax kila mtu akianza kueleza simanzi yake konyagi bapa kubwa hili litatutoa nishai. Hapa kunywa mpaka kieleweke.

Bapa 3 ziliisha na ule mchemsho tukaunywa pale pale woote. Akaniambia kama vipi tuondoke wote. Nikamwambia yeye tu. Wasomaji msinione malaya au mdangaji noooo, noooo mimi ni reputable cashier wa strong room in a reputable bank. Niliamua kumpa bonus track tu na yeye. A night to remember. Kamkuta msichana mzuriii bar, zali la mental kambeba juu kwenda kumfokonyoa kwa bapa 3 za konyagi. Atasimulia nini uzeeni? Sio kwamba kinaishaaa.

Kutoka kaita tax,namuuliza mbona hapa hotel zipo? Anasema anapenda zaidi kwake sababu ya hali yake kuna facility nzuri zaidiii. Ananipromise kwangu kama hotel uta enjoy. Mxiuuuuuu.

Kweli kwake ni apartment hapo Upanga. Pazurii. Full Ac. Mapicha pichaya familia yao. Mi nilikuwa kikazi zaidiii. I wanted to blow his mind that day. He was kind of cute i admit. Tumefika naanza kutambulishwa picha huyu Mama, sijui baba, sijui kaka, sijui nani nikamwambia tusikaushane uzaziii.

Tumekuja kupeana majambozzz, tufate kilicho tuletaaa. I dont have forever. Akawa kama kaghairiii. Kajitutumua kuuparamia mnazi kucheki juu mrefusanaa ananza kugwaya gwayaaa. Asinitanieeee.

Nikamsogelea. Anaanza ooh mi leo sijisikiii. Namwambia mi najisikia inakuwaje sasa. Anaanza kubabaika. Nishajua inferiority complex ishamvaa anataka kujistiri kwamba viwango vyake sio vya FIFA. Nimembeleza bembeleza wapiii kagomaaa. Ikabidi sasa tucheki movieee. Analeta story yake ya mguu nikajifanya nakoroma. Saa 10, nikamuaga. Akasema unaendaje mda huu! Namwambia nawahi kazini.

Basi anajitutumua acha hio kazi nitakulipa mimi mshara. Nikamuuliza kazi yangu unaijua? Akasema kazi gani ticha au? Nikamwambia usalama wa taifa. Akacheka sanaaa. Akasema ningekupeleka ila dereva hayupo. Nikamwambia we tewende mi na drive afu nitakutaftia dreva wa kukurudisha. Hakuamini na drive. Kabla hatujatoka akanipa 100,000. Nikamuuliza ya nini? Ooh si mda wako? Nikamuuliza wa kipuangalia tv au? Oooh hamnaa chukua tu. Nikachukua nikaziweka chini ya mto alivogeuka tu.

Tukaenda anawazi landrover yake njia nzima. Tumefika kwangu saa 12. Sikutaka afike kwangu. Nikamkabidhi kwa dreva nikawagi kuoga na kwenda kazini. Mchana katuma sms. Ndo nini kukataa pesa yangu? Nikamjibu na wewe si umekataa K yangu. Anajitetea sio hivo. Mzunguko mwingiii. Nikamuuliza kwa hio lini sasa tutafanya matusi? Asitake kunikimbia kizembe. Anababaiujinga

Mara nasafiri kwenda Arusha jioni. Uongo mtupuuu. Nikamwambia aya. Basi ananitumia sms niko Arusha baridi sanaa. Saa 3 usiku hio. Nikasema hanijui huyu. Nika drive mpaka kwake. Nikagonga. Likaitika karibuuu. Namsikia gongo lake anakuja kufungu. Kidogo afe kwa pressure.

Nikamuuliza za Arusha? Kawa mkaliiii balaaa! Chezea mtu mzima kubambwa. Akanifungia mlango nje. Nikaondokaaa zangu. Namba yake nika i block. Siku nikaenda bar nikamkuta kakaa sikuingi nikapiga U turn nikasspa. Ulipita mwezi mzima.

Siku hio kukawa na upungufu wa ma cashier, nikaombwa nikae kidirishani. Nikatunaaa pale kidirishani. Lipstic langu nimelikolezaa balaaa. Nipo busy. Huku na huku Huyu hapa mlemavuu. Sikumuuliza jina ndugu msomaji. Nikajifanya simjui namuhudumia kama wateja wengineo.

Nikasoma kwenye slip yake jina lake Robert. Anajisemesha namba yako imepoteaaa. Nikamwambi sina simu. Akaondoka zake. Na mimi nikaendelea na kazi. Akaja mtaani kaniulizia ulizia mpaka kapapata kwangu.

Akaja nikamkuta, nikamkaribisha kwangu. Basi anajielezea kweli alienda Arusha ila akarudi ghafla how pathetic. Nikamkatisha sikia Robert. Usinikaushe uzazi. I gave you my number, came to your home, nimekupa uchi wangu umeukataa mara 2. Ya 2 uknibamizia mlango. Basiii. There is no point of us talking and talking ili hali unajua fika kabisaa hutaki kuwa na mimi, hunipendiii wala hunihitajiii. Unakaa kunizuga uko Arusha wakati upo its pointless. Bora kila mtu akashika 50 zake.

Anababaika, no its not like that, its complicated. Unajua mi mlemavu. Nikamkatisha ulemavu ulio nao wewe wa akili tu si mwingine. Una ulemavu gani wewe. Kuna watu matahira, machizi, wame paralyse we una ulemavu gani bwanaaa? Usinikaushe uzazi kabisaa. I am not playing your games za Arusha sijuiujinga gani. Nakutakia maisha mema.

Anababaika cha kusema hakitoki mdomoni. Mi nimemtulizia jicho la kiboko haram sitaki ujinga. Akaondoka zake akajambe mbele. Nikawa nishaanza kumsahau kabisaaa nimerudi kwenyd mingo zangu za kawaida.


Akabaili namba akaanza kunitongoza as ni mtu mi nisiemjua. Mi nikawa nakubali mpaka ikafika kuonana. Akaanza mimi nina kasoro kidogo ni mlemavu usistuke ukiniona au usinikimbie. Nikamjibu siku ulemavu wako wa akili ukipona ukaanza kujiona mzima kabisa and you grow some balls nitafute na nambniutajua. tena maana hii hapa nai block pia kama ifatavyo.

Akajibu usi iblock kwanza, walau tumalize hata kuzungumza. Akaniuliza kwanini hutaki kukubali mimi ni mlemavu wakati mi nishajikubali? If you just accepted that oone thing we could be something you know. Nikamjibu hapaanaaa! As long as you consider yourself incapable ill never date you.

Akauliza why? Why should i consider myself capable while i am incapable? Jamaniii hunioniii au kama sina mguu mmoja we mwanamke jamaniii. Nikamwambia nakuona vizuriii sanaa. Tatizo sio mguu, tatizo akili yako yote ime focus kwamba huna mguu huo moja badala ya kufocuskwamba una jimwili kamili llina viungo kamili kasoro huo mguu. Sasa mi siwezi kudate na mtu anaji victimise. Anajiona mlemavu tu na all his world revolves arround that tinny fact. I cant and i wont. Siku ukichange mindset yako nitafute. Siku ukiona yes you are missing one legbut youhave an entire life to enjoy call me baby tuendeleze pale tulipoishia pa kufanyana matusi. Otherwise Chao!

Akatuma Sms I am capable njoo basi sasa hivi! Mxiuuuuuu! Wanaume kwa uchi hata kama hawana mguu mmoja lao hili mojaa. Nikamwambia nakuja hukooo,ukinizingua naondoka na huo mguu wa bandia ndo utajua sasa kuwa capable sio jambo la mchezo mchezo.

Nimefika pale anaanza kuwaya waya upyaaaa. Lets just talk first! Nikamkanya mapemaaa let it not be about your leg i warn you oooooohhhh! Akacheka tu kwa masikitiko. Nikamshauri tu dont let the leg define you and tell me about you forget about the accident just the other happy you, your brighter side. Thats you whom i want to know.

Uzuri mambo mazuri ukiyasimulia yanakurudisha kwenye mood fastaa! Hapo hapo na mimi nikaanza kumbusu kidogo kidogo na story inaendelea ya happy childhood! Atleas he had a happy childhood. Huku na huku mwenyewe kaingia kingiii. Tukapiga mechi moja balaa! Kavuuu kavuuuu hiooo. Ofcourse with his disability alijitahidi sanaaa!

Kupiga nae mechi moja ikawa kosaaa! Kosa la jinaiii. Kila siku anataka mzigooo mkavuu mkavuu. Nikamuuliza unataka kunitia mimba? Anajibu kwani nina kasoro gani nisikupe mimba? Nikasema kwelisasa umeponaaa akili. Mwanaume anagangania balaaa! Kwangu anakujuaaa. Kumnyima nisilale kwangu au kwake ndo salama yangu.

Akanipeleka kwao. Kwao walikuwa kwanza hawaamini kama na uzuri wote huu ndugu yao kanipata. Wakajua nimempendea pesa. Ila wakaja kuona walaa sina mda na vipesa vyao. Nikawa naenda kwao mpaka wakanizoeaa kabisa.

Akakomaa nimpeleke kwetu. Nikamwambia bado hujakomaa kiakili kuwamudu wakwe wewe. Kangangania. Wakwe wakwe walimtoa upepo. Isingekuwa mimi kumsimamia upande wake alishamalizwaa.

Mpaka tunakuja kuoana, tunaelewana balaaa! Mwenyewe akakubali kabahatika kunipata mimi.
Daah
 
lara 1 unatupa wakati mgumu sana sie wazee wa kuchagua team. Hadi sasa naona maruweruwe tu. Kila jiwe unaloshusha linakua la moto.

Kama utaweza, tunaomba uziwekee namba au uwe unaandika pale juu post ya ngapi vinginevyo tutapishana na ubuyu.

Nimeshakwambia nimevurugwaaaaaa. Nielewe tu.
Vuta subra,mwenyewe najiona kuvurugwa ila huyu smart wife huyu sijui
 
Wakati mwita anaandaliwa papa jipya,utaambiwa mama mwita ni kibonge mchafu mchafu asiyejipenda[emoji23][emoji23]

Safari hii nakaa na oxford karibu sitaki kosa uhondo
Hahahahaha weak wife si ndo ataka kumvamia mwita??? Picha bado hili ujue Kuna weak wife , strong wife, mwita mwenyewe,, kitombi, handicap sijui nanani.... Mambo bado kabisa najua KLM atatuingizia wahusika wengine tubaki tukashangaa na roho zetu


Cc Smart911
 
Hahahahaha weak wife si ndo ataka kumvamia mwita??? Picha bado hili ujue Kuna weak wife , strong wife, mwita mwenyewe,, kitombi, handicap sijui nanani.... Mambo bado kabisa najua KLM atatuingizia wahusika wengine tubaki tukashangaa na roho zetu


Cc Smart911
Yaani fanani ananichanganya acha tu.
Acha niwe mpole kwanza kabla sijachagua team.
 
Back
Top Bottom