The Weak Wife!
Yes! I am the weak wife! Perharps weaker than you may imagine. I dont know why, how, when or where i becamw permanently sentenced to this life. Nyumba yangu mwanzo niliona chungu, sasa nimekuwa suguuu hata uchungu siusikiii tena najione baridaaaaa tu. Siumizi kichwaa.
Niambiwe mume yuko mtaa wa pili ana mkaza mtu ndo kwanzaa naagiza pepsi na kuchange channel. Amkaze mpaka dada ake afaidi yeye si aona sifaaa. Anajikomesha mwenyeweee! I seriously dont care.
Nikiona mtu ka!a Joyce Wanawake live anavo haha na ndoaaa, ana weweseka najua huyu si mkomavu. Bado hajapata manyota kwenye hili game na kupewa vyeo vya juu sensei master shivooo, hiki ndo nipo mimi cha kutokujali kabisaa. Kuwa neutral! Non allied movement. Passive. Unahimili vishindo. Hata uambiwe mumeo shoga upo gadooo! Mwenyewe basha vile vile. Kwenye ndoa hii singoki kwa winch wala grader.
Kuna vyeo vya juu zaidi kama Comandoo kipensi. Hawa ndo wale mume is exempted of all charges, at all times, ni permanent benefiteer of benefits of doubts. Lakini sasa msalaba wa makosa ya mume wataubeba washirika wake, wanawake zake watauona motooooo! All hell will be set loose on themUnasulubisha mwanamke mmoja mmoja kisawa sawa kutuma salamu kwa michepuko yote na wenye nyege mshindo wote kuwa huyu bwana choo cha kiume, napoteza yoyote popote. Unaacha kuwa boga kuignore the reality na kuanza kuface your ghosts one by one. Unaingia front sasa jino kwa jino. Not that with the unleash of all this violence and masacre it changes a man even to the slightest No it does not! Belive me oooh boy not one tiny bit. The only thing that it changes is you my dear. Your sweet inocent self turned to dark, venomous, vampire like soul. Ndo maana wake za watu tuna sura ngumuu. Hatukuolewa hiviii nawaambia. Maisha tu.
Ukimaster ukomandoo kipensi you graduate to a silent killer. Hii ndo stagemama zetu wengi wapoo. You murder him silently day by day, slowly! You take your time, enjoy your weapons. Enjoy watch him die slowly. From spiritual death process, to dignity death, happiness death, charisma death, Mind death, inovative death, and finally after mudering him part by part you sit aside let these common diseases like Sugar, BP, KidneyFailure do you one last favor and take the blame. Only you knows how the MF fought for his life day by day and how you made sure he didnt have a chance and he has paid in full plus interest for all that you never became, for all that you missed in life, for becoming the sacrifice since you didnt sacrifice for what you wanted.
Mudering process is usally simple but fatal! You start with people he loves the most. His precious kids. Ubaanza mapemaa kuhakikisha unawagubiria na mnakuwa page moja DAD AINT SHIT. Wanakua wakilijua hilo. Not that he is shit or something but you make it cristal clear and underline it. Bila mimi mama yenu mngeteseka sanaaa. Until you become a dad and a victim yourself you will never understand this.
Unamuua kwa marafiki zake na majirani. Kwani una hasara gani? Yeye si ana wanawake wengine. Unammaliza tu. Jogoo wake hana nguvu. Akifanya kimoja tu hoi. This comming from you dearest wife is priceless news mtaani. It spreads fast. Akisikia mwenyewe kwanza na panic akijua source ni wewe ana data na kuanza kuona kweli atakuwa na matatizoo. Anaanza kunywa dawa za instagram super shaft kienyeji. Heheheeee!
Unamuua kazini anakoheshimika kwamva hana lolote, boya tu. Kwanza kodi ya nyumba unalipa wewe. Ada anyeee? Kwa mshahara gani. Bila mimi huyu mwanaume hamnaa kitu. Mimi ndo kila kitu. Watu wananza kumsisitiza mkeo jembeee. Usimuache yuleee. Maestrooo yuleee. Mzee baba nae ana panic waru mbona wanasema hivi basi kweli mke wangu kanizidi akili na kila kitu. Bora nivifumue tu hivi vischana vijinga.
Mzee baba unakuja kugundua kwanza wanao who you sacrifised a lot wanakuona mdingi siooo siooo. Sio kabisaa. Wanaanza propaganda maza anateswaaa. Mazeee anasumbuliwa na dingii. Moyoni mzee baba unasema hata mimi nilingia kwenye huo mtego mfalasi mtao na mtazaa ngojeni mjue mfumo dume au jike.
Na mimi nishawajaza upepo isingekuwa upunguwani wa mzee baba wenu mngefika mbaliii sanaaa. Everything and by everything i mean everything is his fault. Hata akiraka kubond nao, the hate is already too deep inside. Anajikuta stranger kwa nyumba yake mwenyewe. Akija tu, watu wanakisanua sebuleni wanamuachia mchawi kaja. Nduli idi amini baba!
I somehow hope ill never graduate nitabakia hapa hapa sensei master shivooo! Niwe namtizama tuu. But he only has to push few more button kama sijavuka stage na kuwa kubwa la maadui.
I love him, i wish we become best of friends. Ila namuona machoni kabisa mkavuuuu. Hana upendo hata lepe. Yaani kinachombakisha ni watoto wa 3 tu hawezi kunisusia. Jamii haitomuelewa. Ila moyo ushasepa kitambooo.
Kila nachosema kibayaa. Mashushu je? Hatariiii kabisaaaa.
Niliomba ninunuliwe gari, ofcourse i deserve a car, cause yeye ndo kabiachisha kazi nilee watoto. Na kama mke yes i deserve a car na anajua pesa ya kunua anayo. Nikahibiwa BABA YAKO ANA GARI? Mbona mama yako karidhika mwaka wa 30 huu. Imagineeee! Niliufyata kimyaa nikajiapizaa afe kipa afe beki nitanunua Morrano kumnyoosha tu huyu. Nitatoa papa hili na minyonyo lapa hii, labda salama yake lisitakiwe. Ila Morrano is a must.
Nikaanza kuangalia kwenye list ya marafiki zake nani anaweza kuninunulia Morrano la fasta fasta na umri huu, papa limechoka nimeshusha engine 3 sio mchezo mchezo wasomaji zote kawaida, nyuzi zisizo na idadi.
Ukitaka usifumwe umalaya usifanyie mbaliii. Hata akimbiwa unate!bea na huyo mtu ana puuzia cause anajua huweziii kumbe ndo kweli ilio ya kweli. Nikawaza pale fasta fasta nikamuona Mungure sema huyu anapenda watoto wadogo sanaa. Zake miaka 16 mda mwingine mpaja 14 na havuki 19. 20 bibi kikongwe. He was too fetish to like me. Ila pesa alikuwa nayo nyingiiii si ya kubeep.
Nikawazaaa nikakumbuka kuna rafiki yake Mwita, huyu mwita kaishi sanaa nje, so hatuna mazoea nao kihivooo. Afu mke wa Mwita mbishiii. Anafanya kegel excercises. Gym sana, anti aging ndo usiseme. Kichwani ndo kabisaa mkew wa mwita mbishi. Watu wana import yeye ana export maninaaa! Pesa anayooo. Afu anapenda vijana wadogo sanaa, yaani hataki uzee kabisaa. Kazaa mtoto moja tu wa kiume. Baaaas.
Sasa na mimi nimejiachiaaa. Miaka 30 na kitu kama 40 kama sio 50. Sipoin shape kabisaa. Afu mchafu mchafuu. Sio kwamba siogi no, i am hygene sensitive ila nimefubaaa. Sifanyi manicure na pedicure. Sijasuka mdaa. Sifanyi waxing na singo. Nipo nipo mradi nipo.
Nikaingia ndani nakutoka na pensi la shemeji yenu na vest nikapiga round 10 kuzunguka nyumba. Wanangu nao wakaona mchezo wananifata nyuma. Nikatoka hapi jaza chupa za kilimanjaro mchanga na kupiga zoezi kukaza nyama za mkono. Situps zangu. Kichurachura cha kuongeza tako kidogo. Nikaingia bafuni mwepesiii.
Yaani mwezi huu ndugu msomaji wa 2 mbona utanitaka. Nimepungua kilo hata 10. Nakula mboga na matunda tu. Hamuwezi amini kupungua kilo 10 zoteee mzee baba hajaonaaa, hajagunduaaa wala hajastuka kabisaa. Sasa ataona Mwita.
ITAENDELEA.